King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Kwa Muktadha wake kwamba hawana Mbunge Bungeni yupo SAHIHI ila kwa muktadha wa kuwa chama kinachopendwa na kuwa na wanachama wengi hayupo SAHIHI.Alichozungumza Mbunge kwa Podcast ya M&S Podcast ambapo amedokeza kuwa CHADEMA sio chama kikuu cha upinzani kwa sababu hawana mbunge yeyote bungeni kama ilivyokuwa zamani
Nachukizwa ninapomwona Mbunge kama Musukuma anahojiwa na kudai haoni umuhimu wa CHADEMA kutambulika kama Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania.
Huu ni ushamba
Leo hii Musukuma hajui kwa nini CHADEMA haina Mbunge ?