Alichozungumza Mbunge kwa Podcast ya M&S Podcast ambapo amedokeza kuwa CHADEMA sio chama kikuu cha upinzani kwa sababu hawana mbunge yeyote bungeni kama ilivyokuwa zamani
Nachukizwa ninapomwona Mbunge kama Musukuma anahojiwa na kudai haoni umuhimu wa CHADEMA kutambulika kama Chama Kikuu cha...