1.Historia ya ukuaji wa teknolojia
Teknolojia ni utumiaji wa maarifa ya sayansi kwa ajili ya kubuni, kuunda, kuboresha na kutumia zana, vifaa, mifumo, na michakato ya kufanyia kazi ili kuchangia maendeleo katika maisha ya binadamu au katika utendaji wa shughuli zozote za kibinadamu kwa uharaka...