Msimu uliopita mashabiki wa Simba walikuwa smart, waligundua tatizo la timu Yao kuwa ni viongozi Kwa kusajili magalasa akina Jobe, Onana, Saido, Sarr na Magalasa mengine
Walishinikiza uongozi kuingia sokoni na kumshawishi arudi na kuwekeza
Cha kushangaza viongozi Matapeli waliendelea...
Kosa kubwa la Ahmed Ally ni ubinafsi na kulinda kibarua chake kuliko kupigania ubora wa timu...anatumia nguvu nyingi sana kushindana na kina Ally Kamwe na na akina Hashim Ibwe ili aonekane kama yeye ndo semaji namba1 wa mpira hapa nchini.Simba inahitaji wachezaii wake waambiwe ukweli kwasababu...
Mchawi hana shida na wewe kuwa tajiri as long as your not happy with your money ( mfano uugue Maradhi ya kukusosesha furaha: E.g kukufanya ushindwe kusimamisha vizuri, usile baadhi ya vyakula mfano vyakula vyenye chumvi, sukari, usinywe pombe etc)
Mchawi hana shida na wewe mtoto wa kike...
Habari wakuu Leo nmemkuta mdada dukani anaongea na simu nikashtuka mno
Huwa simuamini anavaa bangili za kiganga nyeusi mkono wa kushoto hujitanda shungi
Leo jioni naenda kununua kitu dukani kwa kaka yake yeye ambapo huuza nikasikia akisema tumia UNGO.
Nikaomba nachohitaji uku akiongea kwa...
Five men have been sentenced to death by hanging in Nigeria's Kano state for the 2023 murder of a woman they accused of witchcraft.
The convicted men attacked Dahare Abubakar, 67, as she was working on her farm, beating and stabbing her to death.
Ms Abubakar's family went to the authorities...
Bado uwezo wa kumkimbia Mjapan sina, ingawa Mchina na Mmarekani wanashawishi ila hamna jinsi.
Kwa trend anatoenda nayo Nissan kutokea 2020 aisee nadhani ndio kituo kifuatacho.
Kama nitabaki na ICE (magari ya mafuta) nitamfikiria Nissan Note 2020.
Engine ndogo 1.2L hybrid itafaa sana hapa...
Miaka ile Yesu anazaliwa, kulikuwa na kijiji kimoja kiitwacho Gitta, kilichopo ndani ya Samaria, hapo hapo nchini Israeli. Katika kijiji hicho, alizaliwa kijana mmoja, ambaye twaweza kusema alikuja kuwa adui hatari zaidi kuwahi kutokea katika historia nzima ya Ukristo.
Tunathubutu kusema...
SURA YA AROBAINI NA SITA
DESTURI YA KUTAFUTA WACHAWI, NA JINSI YA KUWAADHIBU
Hapo zamani mtu akifariki, akiwa mwanamume au mwanamke, wenye ndugu baada ya kumaliza kilio tu huenda sehemu mbali mbali kutafuta ni kisa gani kimemwua yule ndugu yao. Basi safari hiyo hufungwa kwa kuambatana kwa...
Nilikua napita Twitter nikakutana na Clip ya shabiki mmoja wa Simba yule Tomboy wa Rasta anasema Kauli ya Ally Kamwe ichunguzwe ety kwanini alisema vile Kwa kujiamini na kweli imetokea.😂😂😂😂
Ally Kamwe alisema "Simba hii haiwez shinda Match 5 mfululizo Kamwe"
Yana anasema Viongozi wa wajibike...
Sijamtaja mtu nimekumbuka katuni ya Kirikuu. Chama cha kijani kinaandwa na laana ya kuropoka ropoka
Alianza Waziri Pena, Akaja, Mama yangu Kumwita Mnyama jina la Binadamu.
Mara Mbwa.
Chura
Simba
Muwe na usiku mwema.
Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika...
Nataka Ufahamu Neno Moja wewe mwana wa Mungu Ambaye Umekuwa ukitishwa na Hawa manabii wa Uongo na wanataja Jina la Yesu na Umekuwa ukichanganyikiwa Sana unapo sikia Jina Hili likitajwa na huenda Umekuwa ukijiuliza Kama Ni washetani mbona wanataja Jina la Yesu, ngoja Sasa nikufungue macho leo...
Five Signs of witchcraft
Here are ways to know if you are involved in witchcraft:
1. You are happy when others fail
2. You secretly wish for others downfall
3. You trivialize the pain of others
4. You wish to use people’s downfall to create social media content
5. You want others to fail to...
Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
Najua wengi itakua ngumu kunielewa.
Huyu jamaa amewekwa pale Ili kuwapumbaza wanasimba na wanasimba bila kuwa na uelewa wanamuona kama ni Mtu wa maana sana. Hivi hamjiulizi kila siku anaropoka vitu nje ya uwanja ila ndani ya uwanja timu inachofanya nadhani mnakijua halafu baada ya mchezo...
Hii tabia ya kuwaita wazee ni wachawi au wanga haijaanza juzi ila imekuzwa na vijana kuona wazee ndio washiriki wa mambo hayo.
Je ukifika umri wa uzee na wewe utakubaliana kuitwa mwanga au mchawi.
Tukomeshe:
Habari Wakuu!
Watibeli ni bora tufe lakini kamwe hatuwezi kuwafuata waganga au wachawi. Ushirikina na uchawi kwetu ni kama kosa la mauaji, au kosa la usaliti.
Binafsi siwezi ishi na mtu ambaye anapenda mambo ya kishirikina, anaenda kwa waganga, au anadalili za uchawi uchawi.
Mke akijihusisha...
Mchawi ni mtu mshenzi, hapaswi kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Uchawi dhima yake kuu ni wivu.
Anaweza akawa na duka kubwa la vifaa vya ujenzi akapanga wateja kutwakutwa lakini akapandwa na pepo la wivu (uchawi) juu ya mtu anayeuza mihogo ya kukaangwa pembeni yake eti kisa Jamaa anauza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.