Mchawi mpe mwanao akulele, ndivyo unaweza kusema baada ya Rais wa Congo , Felix Tshesekedi, kumteua aliewahi kuwa kiongozi wa waasi bwana Jean Pierre Bemba kuwa waziri wa ulinzi.Hii tafsiri yake ni kuwa "mchawi mpe mwanao akulele". Au ndio tuseme Tsheseefi ameanza kufuata nyayo za Tanzania za...
Nimekataa uwapo wa uchawi na wachawi kati yetu. Tulionao ni wababaishaji na watu tunaowatuhumu kwa kuwasengenyasengenya tu. Wachawi kiukweli hawapo na bado ninawatafuta. Ninataka wajitokeze na nimesema kama kuna anayewajua awataje, atuitie au atuoneshe
Nisikilizeni vijana na wasomaji wangu. Ni...
Jamani me naanza kuamini msemo wa Ajibu kuwa Bocco mchawi. Why Bocco anapewa nafasi na Phiri anakaa nje? Hivi kweli Phiri wa kukaa benchi na Bocco kuanza?
Pili, kwanini mpaka leo Simba inasajili wachezaj ambao wakija hawachezi badala yake tunaona watu waliochoka wanapewa nafasi akina Mkude na...
Na ndio chanzo kikubwa cha biashara nyingi zilizofanikiwa kuanza kuyumba pale baba akifariki kila kitu kinaparanganyika.
Unakuta familia tayari inajiweza kiuchumi inaingiza makumi ama mamia ya mamilioni kila mwezi lakini wazazi wanawakomalia watoto kusoma tu na matuisheni utadhani sio familia...
Habari ndio hiyo,
Kama anakula tu za wenzake ipo siku watamwambia alete ya ampendaye ambaye ndio wewe mme/make.
Ukiona mshirikina jibu ni moja dini kama hatak mwache usije ukawa msosi.
Wakristo wengi wanamwomba Mungu awape maarifa ya kutafuta Mali.Wengi wanafanikiwa; wakifanikiwa Tu wenzao uacha kumtukuza Mungu Kwa kumpa utajiri mwenzao badala yake umwita freemason.
Wachungaji wote waliofanikiwa nchini wanaitwa freemason. Wafanyabiashara nao freemason.
Je, Mungu wa wakristo...
Wanabodi hali ni mbaya sana huku majumbani.
Madaktari Madakatari Madaktari....
Sijui mmevurugwa na nini? Sijui ni kwa maksudi au kwa sababu ya Utaalamu kiduchu au Mshahara hautoshi?
Au mmeamua kutukomesha?
Usiombe Mchumba /Mkeo wako ajifungue kwa njia ya kawaida kupitia kwenye Uzazi wake...
Tukisherehekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar niwakumbushe tu
1. Namna ambavyo Zanzibar ni Maarufu Kwa utalii wa fukwe. Ila kikwazo Ni Tanganyika,
Mfano, Mtalii Lazima apate viza ya Muungano ili kuingia Zanzibar (ambao mgao wake haueleweki).
Mkristo anataka apendeze ndipo aende kanisani, mchawi anaenda kuwanga akiwa uchi.
Mkristo anahangaika sana kuuremba mwili wake kwa mavazi mazuri, lakini roho yake imejaa uwongo, chuki, masimango, uchoyo, na vitu vingi vibaya. Mchawi hana muda na mwili wake, ameikabidhi roho yake yote kwa...
Leo naona wanashangilia kama mazuzu, hawana tofauti na mtoto aliyechapwa akaanza kulia akapewa pipi akanyamaza akiulizwa nani amekuchapa anamnyooshea kidole mtu aliyekuwa anambembeleza kipindi analia kabla ya kupewa pipi na mtu aliyemchapa.
DJ hana chakupoteza keshalamba asali toka siku ya...
Cambodia!
Nahitaji mtu anifundishe (anitrain) uchawi
Kama ni hela nitamlipa baada ya zoezi. Bajeti yangu ni laki5.
Ninataka mtu anitrain kuamka usiku na kuacha mwili kitandani na kuanza kutembea katika ulimwengu wa roho, kuingia ndani ya nyumba watu wamelala na wasikuone, Kuwapa usingizi wa...
Bunge hili lililotokana na Uchafuzi Mkuu ndilo limetultea
Tozo lukuki
Mfumuko wa bei
Mkwamo miradi ya kimkakati
Mgao wa umeme
Wastaafu kutolipwa mafao
Wizi wa bando
Ongezeko la uhalifu
Utendaji holela serikalini
Uchawa
Ni bora Bunge hili likastaafishwa kwa lazima 2025.
Kila hoja hapo juu...
Jamani mwezi wa pili nilitoa uzi kuhusu kutafuta babe, wakaja wengi wazuri. Loh, kumbe ni lichawi! Visa nilivyovipata mpaka niliamua kwenda kwenye maombi.
Akikupigia mkapigana usiku, unamuota kashika fimbo meaning anakuuliza, utanisamehe au hii fimbo inakuishia yote? Nasema nimekusamehe...
Amani iwe nanyi:
Natoa pole kwa vilabu vya Tanzania vilivyoumaliza mwendo katika mechi za awali za Mashindano ya Afrika ,nazungumzia Yanga,Azam na Kipanga.
Mara baada ya mechi za jana nilitulia kidogo kufanya tathmini kujua mapungufu ya vilabu vya Tanzania katika soka la Kimataifa, nikagundua...
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane.
Miaka ya fulani baada ya kumaliza shule ya sekondari,niliamua kwenda kumsalimia Ba'mdogo aliyekuwa mkuu wa shule fulani ya sekondari hapo kwenye hicho kijijini.
Wana kijiji walikuwa wakimpa heshima kubwa Ba'mdogo kwasababu wanafunzi wote waliosoma...
MCHAWI WA VIPAJI VYA MTU MWEUSI
Kipaji, ni uwezo wa asili wa kutenda mambo makubwa na yenye matokeo bora, kwa kutumia nguvu na rasilimali ndogo ukilinganisha na watu wengine. (tafsiri kwa mujibu wa kitabu cha KIPAJI na Emilian busara na mrembo Grace, 2015 ). Kwa ujumla kipaji huambatanisha...
Story: MCHUNGAJI MCHAWI.
Mtunzi: Nellove😎
Episode: 01
WhatsApp: 0759941164
"Naitwa Juliana. Napenda kumshukuru sana Mungu mwenyezi kwa kunitendea muujiza mkubwa maishani mwangu. Sikuwahi kutegemea kama Mama yangu ataweza kutembea tena lakini kwa uwezo wa Mungu anatembea sasa" ilikuwa sauti ya...
Nahitaji mawasiliano ya mchawi au mganga yoyote ambae ni proffesional, nina ndoto ya kuanzisha college ya kufundisha teknolojia ya uchawi ivyo basi nahitaji kuonana na proffesional wa hii taaluma ya uchawi ili anithibitishie juu ya uwepo wa hii teknolojia na anipe mwongozo mzuri wa kutimiza...
Habari!
Kichwa hapo juu kinajieleza
Kuna watu kila mwaka Magufuli alipotangaza kugoma kuongeza MISHAHARA kwa watumishi wa umma wao walufurahia huku wakitoa sababu eti Magufuli analeta maendeleo, mara Magufuli anapambana na kupunguza ongezeko la bei ya vitu .
Lakini cha ajabu kila mwaka vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.