mchawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GoldDhahabu

    Wasioamini juu ya uwepo wa Mungu wanasemaje kuhusu mchawi aliyedondoshwa na nguvu za Mungu?

    Walitaka "kumshughulikia" Mchungaji aliyekuwa akikwamisha kazi zao, lakini wakaishia kukutana na nguvu za Mungu na hatimaye kiongozi wao kudondoka na ungo. "Atheist" atalichukuliaje tukio hilo? Mungu Yupo, na watu wanaomwamini si wa kuchezewa na wachawi. Video hiyo hapo. Sheria inasemaje...
  2. LIKUD

    USHUHUDA: Vision Board inaweza kufanya upate kila kunachokiweka, 90% niliyoyaandika mwaka huu yametimia

    Vision board ni nini? Vision board ni mkusanyiko wa picha na michoro inayo represent dreams zako au mipango yako. Kwa mfano una ndoto za kwenda kusoma Havard,basi utachukua picha ya Havard utachukua na picha yako utafanya Photoshop inayo depict picha yako ukiwa Havard au unaweza kutumia...
  3. Magical power

    Wenye tabia za kichawi, acheni kuwanga

    MAMA MCHAWI **************** Habari za leo wapendwa.... Nina kisa kimoja kimetokea juzi tarehe 11,😢😢😢😢😢😢 Iko hivi kuna rafiki yangu mmoja alipata mchumba,baada ya kuridhiana wakaanza maisha,kijana alienda kumtambulisha binti kwao ila binti hakuwahi kumtambulisha kijana kwao,basi wameishi kwa...
  4. GENTAMYCINE

    Mchawi wako akifanikiwa tu Kukuroga kupitia Jezi zako kupitia Mwenzao Uliyenae utalia tu kila Siku

    GENTAMYCINE ni Kit Manager wa Timu ya Ukwamani FC, ila Kiuhalisia na Kiukweli Mimi ni Shabiki Tukuka wa Timu yangu pendwa ya Kawe Rangers FC. Nawaonea mno Huruma Mashabiki wa Ukwamani FC kwa Kuniamini Mimi GENTAMYCINE ni Mwenzao na kunipa Tenda ya Kutengeneza Jezi zao kwa Fedha nilizoingia nao...
  5. Mhafidhina07

    Napata furaha sana simba inavyotapatapa kumtafuta mchawi

    Kipigo cha 5G siyo mchezo jamaa wanatafuta mchawi ila wamesahau kulitufunga 5, walipigwa tano tano kwenye CAF pia wamesahau kuwa yanga imekuwa kawaida yake kushinda hizo goli mwisho niseme mjipange isije tena mechi ijayo mkafukuza mpaka mwekezaji (bwana mpata hasara asiye jivua) maumivu yapo...
  6. J

    Fanya yafuatayo kulinda afya ya uke

    Usafi wa uke ni jambo muhimu sana kwa afya ya wanawake. Mambo usiyostahili na unayostahili kufanya ili kutunza afya ya uke Usiingize kidole ndani ya uke kwa lengo la kujisafisha hiyo huondoa asidi ya asili ya uke ambayo ni muhimu kwa sababu huzuia bakteria kukua. Aidha usitumie sabuni kuosha...
  7. GENTAMYCINE

    Kwanini nikimshauri Mtu Jambo Kiupendo na kwa Nia Njema na Kumtahadharisha nalo pia akinipuuza na Likimharibikia ananiona Mchawi na nimemroga?

    Huenda ikawa ni Zawadi ambayo Mwenyezi Mungu amenipa kwa Kuniumba nayo, ila kwa Wanadamu huwa inanipa wakati mgumu Kwao kwani huniona kama ni Mchawi Kwao kwakuwa nikiwashauri Jambo au kuwatahadharisha nalo Wakinipuuza tu na kufanya Wajuavyo huwaharibikia na kuanza kuniona ni Mchawi na...
  8. george aloyce

    Fahamu jinsi ya kutengeneza ndege ya kichawi, kwenda kokote Duniani

    WAKATI baadhi ya watu wakiepuka kabisa mijadala kuhusu uchawi na kutilia shaka kuwepo kwake kwa sababu ya jamii zetu kupokea imani ya Kikristo, na imani ya Kiislamu, wengine tunaendelea kutafiti mambo hayo kinaga ubaga. Miongoni mwa vielelezo vinavyopatikana huko ni kwamba uchawi ni elimu ya...
  9. kavulata

    Uteuzi wa Dkt. Biteko ni mchawi mpe mwana amlee

    Dk. Biteko ni "mchapa kazi" wa viwango vya Dk. Magufuli na serikali yake kwa vipimo vya wapinzani wa Dk. Samia na serikali yake. Biteko alikuwa waziri wa kutumainiwa na ndugu wa karibu wa JPM ambae kwenye awamu ya Tano ya JPM alipewa wizara nyeti sana ya madini. Inasemekana kuwa wakati wa awamu...
  10. Money Penny

    Kumbe ni mchawi amechukua nguvu zangu za kiume kuendeshea ungo usiku...

    Kuna mwamba hapa amekamatwa, ni mchawi Anasema kuwa yeye hutumia mguu WA kiume kuendeshea ndege yake ya usiku ya ungo kwenda kuwanga Dah ila wanaume jamaan poleni Sana Mnalia Lia hamna nguvu za kiume kumbe mchawi anazitumia kuendeshea ndege yake usiku kama usukani, kusafiri kwenda ulaya So...
  11. GENTAMYCINE

    Kwanini ukiwanyamazia Maadui zako kwa Kunuachia Mwenyezi Mungu, baadae yakiwakuta Mabalaa Maishani wanaanza kusema Wewe ni Mchawi na Umewaroga?

    Asante sana Mwenyezi Mungu kwa kuendelea Kutujibia Sisi tusio na lolote, uwezo wowote na tusio na baya kwa Mtu huku Wema wetu na Roho Nzuri zetu zikiwa ndizo Fimbo za Kutuchapia, Kutunyanyasa, Kututesea na Kutusimangia hapa duniani. Kama kuna Mtu yoyote unajua fika kuwa kwa Makusudi au kwa...
  12. Roving Journalist

    Wawili akiwemo mchungaji washikiliwa na polisi kwa kulaghai mchawi kadondoka na ungo kanisani kwenye mkesha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashilika watu wawili akiwemo Emanuel Paul Karata (35) mchungaji wa kanisa la PENTEKOSTE GOSPEL MISSION lililopo Kibaha kwa ulaghai wa kutaka kupata waumini kwa kusingizia mchawi amedondoka kwenye maombi ya mkesha wake na waumini. Wamewashikilia kwa mahojiano...
  13. MSAGA SUMU

    Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

    Niko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi. Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao. Mchakato wa kuwapata hao...
  14. K

    Namna mchawi sugu alivyouawa

    Kuna mchawi mmoja katika kijiji kimoja, jina la Kijiji limehifadhiwa. Huyu mchawi aliua vijana wengi sana, kwa mfano Kijana akija mjini siku akirudi nyumbani na kupeleka zawadi kwa wazazi wake, asipo mpelekea na yeye, ni kosa unastahili kufa au hata ukipeleka zawadi kwa wazazi inayozidi ya...
  15. Nyendo

    KWELI Bundi si mchawi, ana uwezo mkubwa wa kunusa seli zilizokufa

    Nimesoma sehemu kuwa ndege aina ya Bundi, licha ya kuhusishwa na imani za kichawi kama mikosi, mtu kufariki akionekana au kusikika akilia jirani, kutokea ghafla nk eti si kweli kwamba ni mchawi bali ana uwezo wa kunusa mtu aliyekaribia kufa. Je, ukweli wake ni upi?
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Mnaosema kuwa hakuna mchawi anayeweza kuiba Bank mnajidanganya

    Hivi unavyosema Bank kichwani inakujia bank gani? Je, bank zote zindiko lao ni moja? Je, hakuna nguvu inayopita nguvu nyingine? Ikitokea mtu au mchawi ana nguvu kuzidi nguvu ya zindiko la nyumba yako , biashara au bank yako basi jua kuwa anaweza kukuburuza atakavyo. Mzee wangu anaweza kuingia...
  17. beatboi

    Mwenye Nyumba ameleta mganga wa kienyeji anatulazimisha tulambe unga anahisi kuna mchawi kwenye nyumba yake

    Habarini ndugu wanaJF, Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake. Binafsi nilikataa kulamba vitu...
  18. KING MIDAS

    Mjue Rais wa zamani wa Haiti, François "Papa Doc" Duvalier aliyewahi kuwa mchawi kuliko Marais wote Duniani

    KUMBUKUMBU: JE, WAJUA? KWAMBA HAITI NDILO TAIFA LINALOSEMEKANA KUONGOZA KWA UCHAWI DUNIANI? Rais wa zamani wa Haiti, Dikteta François "Papa Doc" Duvalier, aliyechaguliwa na wananchi wa taifa hilo kuwa rais wa 32 wa Jamhuri ya Haiti, kuanzia mwaka 1957 hadi mwaka 1971, anasemekana kuwa mchawi...
  19. NetMaster

    Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

    Leo wachungaji wa mchongo kina Mwamposa na mafuta yao tuwapumzishe kidogo tuangalie upande mwengine. Nimekuwa katika magroup ya tiba naona kuna hivi vikaratasi watu wanapewa ama kuelekezwa kuvichora na wa kuitwa mashehe wakiwaambia ni tiba, ulinzi, kuongeza, mvuto, n.k. niwarahishie tu kwamba...
  20. Lycaon pictus

    Hakuna mchawi anayechanja chale watu usiku, acheni kulalia vitanda vichafu.

    Habari za watu kuchanjwa na wachawi usiku zinaaminika sana nchi hii. Lakini ukweli ni kuwa hakuna wachawi wa kuchanja watu chale. Zile Inazoitwa chale za wachawi huwa ni matokeo ya kukwaruzwa na mchanga usiku baada ya kulalia kitanda kichafu. Mchanga ni mgumu na una ncha kali kama za wembe, na...
Back
Top Bottom