Jana jioni kupitia Radio one nimemsikia Muwakilishi au Kiongozi wa Wamiliki wa Usafirishaji Dar akiongea kwa jazba sana kulalamikia nauli kutokupanda kwa namna ambavyo wangetamani.
Bwana huyu alienda mbali zaidi na kuwalaumu sana LATRA kuwa ndio wanaowaangamiza wao Wamiliki wa Vyombo vya...
Tofauti ya mkristo na mwanasayansi. Mwanasayansi anapoishia mkristo ndipo anaishia.
Kuwa mkristo ni kuamini unauwezo wa kuongea na kuvielekeza hata vitu visibyoongea na vikatii. Katika sayansi hiki kitu hakipo. Ikiwa unaamini Biblia na huamini haya, imani yako iko chini kuliko imani ya wachawi...
JE MWISHO UTAKAPOFIKA NITAKUWA NA CHAKUONYESHA? NISIJEGEUKA MCHAWI!
Anaandika Robert Heriel.
Hapo nilipomtembelea Babu yangu, Yule aliyenifundisha mambo mengi ya zamani na ya milele, ya Raha naya taabu! Ya gizani naya Nuruni, yote aliyojaliwa na Mungu kunifunza. Nikamtembelea siku zile...
Polisi mkoani Njombe imeonya wananchi kujihusisha na vitendo vya ushirikina na kubainisha kuwa yeyote atakayemuita jirani yake mchawi na kukamatwa kwa tuhuma hizo itapelekea kuhukumiwa kwenda jela miaka saba bila ya kuwa na dhamana.
Hayo yamebainishwa na Sajenti Thobias Nyagawa wakati Polisi na...
Habarini wana JamiiForums,
Nimejaribu kujiuliza maswali, Kuhusu Uchawi na Uganga, sasa nikaja kugundua kwamba Hakuna Mganga asiye Mchawi na ingawa siyo wachawi wote ni waganga.
Sasa kinacho nifanya nije kwenu nikujua wataalaamu wa haya maswala kama wanaweza nipa Jibu ya swali langu, Kwamba...
Ninakumbuka Waziri Angela Kairuki alivyopewa tu Wizara hii basi huyo akachikichia shimoni kutoka siasani. Wizara hii wakati huo ikiwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Mara baada ya Kairuki kuchikichishwa shimoni ikaonakena kuboresha mambo ya uwekezaji Wiazara hiyo ikavutwa kwa Mh. Rais mwenyewe...
Habari wana JF
Mimi ndugu yenu nina makubwa ambayo yamenifika na sijui nitayatatua vipi?
Nina mke wangu nilimuoa mwaka 2015, baada ya kuishi nae miaka kama 7 sasa kuna siku juzi nipo kazini nikapokea simu kutoka kwa mdada wa kazi pale nyumbani akinitaka nirudi haraka nyumbani, bila kusita...
Sipo hapa kumshawishi mtu aingie kwenye ushirikina, sipo hapa kudharau Imani ya dini ya mtu yoyote. Ila Nipo hapa kusema ukweli.
Watu wanatupa moyo kuhusu mafanikio, wengi wao husema kufanya kazi kwa bidii ndio njia ya mafanikio! Wao huita hiyo ndio Siri!
Lakini Ndugu zangu nipo hapa kuwapa...
Leo wakati nadamka asubuhi, mishale ya saa 12 nikasikia kelele uko mtaa wa pili, sijui mchawi kanasa
Kijana nikajitusua kwenda kushuhudia maana sikuwahi kushuhudia mchawi kunasa naskia fununu tu mbalimbali
Wakati nikielekea nilikuwa na dada mmoja, ambaye tuko naye nyumba moja yule dada matusi...
Kisa hujuma: Yanga Kupumzisha nyota wake
.
🗣"Tutakuwa makini zaidi kwenye mechi yetu dhidi ya Mbeya Kwanza, tunajua mipango iliyopo, tutafanya hivi kujiweka katika nafasi salama kwa sababu tunahofia kupata kadi za njano na kupelekea baadhi ya nyota kuukosa mchezo dhidi ya Simba hapo Desemba 11...
Kwamba ukiwa Na hirizi ya Simba uta demonstrate sifa, nguvu Na uwezo kama WA mnyama Simba kama vile kuogopeka nakadhalika.
Muumini WA Dini ZA kiafrika ( ambae anaweza kuwa muislamu au mkristo) mchawi WA kiafrika, mganga wa kiafrika, mchawi WA kiarabu, mganga WA kiarabu akitaka hirizi ya Simba...
Nimeiona hii video ya tukio lililotplea tarehe 4 ikimuonesha mchawi akiwanga, pia anaonekana live anapotea
Teknolojia ya ku edit nayo imekuwa sana siwezi kuamini moja kwa moja
Najua uchawi upo maana nimewahi kukaa mitaa ambayo ikifika usiku kuna fujo zao zinafanya wengi walale kw wasiwasi...
Nimeona bwana Crescentius Magori ametweet kwamba wamesalitiwa kwenye mechi ya leo na inaonekana kuna baadhi ya wachezaji wataangushiwa jumba bovu muda si mrefu kuwa wameisaliti timu.
Kitu ambacho bwana Magori na viongozi wenzake awataki kukubali ukweli kwamba timu waliyonayo kwa sasa ni tofauti...
Tufike mahali tuwe tayari hata kumfunga paka kengele.
Tanzania ni nchi nzuri sana yenye kila kitu watu, madini, ardhi, mafuta, gesi, mito, maziwa hadi bahari.
Mvua za uhakika na urithi mkubwa wote bure toka kwa Mola. Iweje tufikie kufarakana kwa sababu za kisiasa?
Kwamba ni CCM, Chadema...
Msaada jamanI
Nina mdogo wangu wa kike ana miaka 18 mwanzo nilikua naota wachawi wanakuja kumuiba nyumban nikawa nikawa namuokoa na kuna siku nilikua nimeenda nyumbani na tulilala wote usiku nikaota ananikaba tulipambana kweli na asubuhi yake nikamwambia kuna mtu kanikaba usiku akaniuliza...
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu wa mbinguni hakuna laana.
Niliwahi kuishi na mdada mmoja wa kiha.
Kuna matukio mawili niliwahi kutana nayo wakati naishi naye. SIku moja usiku nzito Sana nikiwa nimelala na Yule Dada nikiona ndoto naona mle chumbani Kuna watu wanaingia huku mmoja akiwa amepanda...
Mara nyingi unaweza kudhani kwamba upo salama na umezungukwa na watu wanaokutakia mafanikio na kumbe ni kinyume chake.
Kuna mtu pale Halmashauri nilimuomba nimuweke kwenye CV yangu kama referee akakubali.
Nikampa rafiki yangu namba yake ampigie ajitambulishe kama HR officer wa shirika fulani...
Mwanamke anataka jamii imtambue kama mtu dhaifu anaehitaji kulishwa, kutunzwa na kutunduliwa na mwanaume, anaona ni sawa lazima atolewe mahari na kuhurumiwa sana na kupewa upendeleo na wanaume.
Mwenyezimungu amewaumba viumbe wake wote sawa bila upendeleo wowote ila tofauti unazoziona baina ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.