mchawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mchawi wa Simba ni Mashabiki na Wachambuzi uchwara

    Msimu uliopita mashabiki wa Simba walikuwa smart, waligundua tatizo la timu Yao kuwa ni viongozi Kwa kusajili magalasa akina Jobe, Onana, Saido, Sarr na Magalasa mengine Walishinikiza uongozi kuingia sokoni na kumshawishi arudi na kuwekeza Cha kushangaza viongozi Matapeli waliendelea...
  2. Simba wasitafute mchawi ...mchawi wa simba namba1 ni Ahmed Ally...siku huyu jamaa atakapofukuzwa kazi simba itarudi kwenye ubora wake

    Kosa kubwa la Ahmed Ally ni ubinafsi na kulinda kibarua chake kuliko kupigania ubora wa timu...anatumia nguvu nyingi sana kushindana na kina Ally Kamwe na na akina Hashim Ibwe ili aonekane kama yeye ndo semaji namba1 wa mpira hapa nchini.Simba inahitaji wachezaii wake waambiwe ukweli kwasababu...
  3. Anachokitaka mchawi kutoka kwako sio kingine chochote isipokuwa furaha yako. Sababu hizi hapa

    Mchawi hana shida na wewe kuwa tajiri as long as your not happy with your money ( mfano uugue Maradhi ya kukusosesha furaha: E.g kukufanya ushindwe kusimamisha vizuri, usile baadhi ya vyakula mfano vyakula vyenye chumvi, sukari, usinywe pombe etc) Mchawi hana shida na wewe mtoto wa kike...
  4. Kwa kauli hizi, Je huyu ni mchawi au ?

    Habari wakuu Leo nmemkuta mdada dukani anaongea na simu nikashtuka mno Huwa simuamini anavaa bangili za kiganga nyeusi mkono wa kushoto hujitanda shungi Leo jioni naenda kununua kitu dukani kwa kaka yake yeye ambapo huuza nikasikia akisema tumia UNGO. Nikaomba nachohitaji uku akiongea kwa...
  5. Nigeria: Watu watano wahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua Mwanamke waliyedai ni Mchawi

    Five men have been sentenced to death by hanging in Nigeria's Kano state for the 2023 murder of a woman they accused of witchcraft. The convicted men attacked Dahare Abubakar, 67, as she was working on her farm, beating and stabbing her to death. Ms Abubakar's family went to the authorities...
  6. Utatumia mbinu gani kujua mpenzi wako ni mchawi?

    Wataalamu kwa jinsia zote njooni mfunguke ili atleast mtuokoe vijana tusiangukie matopeni uko. Natanguliza shukrani
  7. Mwakani nahamia Nissan: Either Leaf, Note au Ariya!

    Bado uwezo wa kumkimbia Mjapan sina, ingawa Mchina na Mmarekani wanashawishi ila hamna jinsi. Kwa trend anatoenda nayo Nissan kutokea 2020 aisee nadhani ndio kituo kifuatacho. Kama nitabaki na ICE (magari ya mafuta) nitamfikiria Nissan Note 2020. Engine ndogo 1.2L hybrid itafaa sana hapa...
  8. R

    Untold Story: Mjue Simon Magus, mchawi tishio kutoka Israel aliyekaribia kuufuta Ukristo Duniani

    Miaka ile Yesu anazaliwa, kulikuwa na kijiji kimoja kiitwacho Gitta, kilichopo ndani ya Samaria, hapo hapo nchini Israeli. Katika kijiji hicho, alizaliwa kijana mmoja, ambaye twaweza kusema alikuja kuwa adui hatari zaidi kuwahi kutokea katika historia nzima ya Ukristo. Tunathubutu kusema...
  9. Mbinu mbalimbali zilizokuwa zinatumika na zinazoendelea kutumika ili kufahamu kama mtu ni mchawi

    SURA YA AROBAINI NA SITA DESTURI YA KUTAFUTA WACHAWI, NA JINSI YA KUWAADHIBU Hapo zamani mtu akifariki, akiwa mwanamume au mwanamke, wenye ndugu baada ya kumaliza kilio tu huenda sehemu mbali mbali kutafuta ni kisa gani kimemwua yule ndugu yao. Basi safari hiyo hufungwa kwa kuambatana kwa...
  10. Mchawi wa Simba hua ni Simba nyie wenyewe

    Nilikua napita Twitter nikakutana na Clip ya shabiki mmoja wa Simba yule Tomboy wa Rasta anasema Kauli ya Ally Kamwe ichunguzwe ety kwanini alisema vile Kwa kujiamini na kweli imetokea.😂😂😂😂 Ally Kamwe alisema "Simba hii haiwez shinda Match 5 mfululizo Kamwe" Yana anasema Viongozi wa wajibike...
  11. Mtukufu Malkia,Vikaragosi wameanza kutoa Siri huku, wanaropoka huku wanajirekodi Kikaragosi mkuu alisikika akimuambia mchawi Karaba

    Sijamtaja mtu nimekumbuka katuni ya Kirikuu. Chama cha kijani kinaandwa na laana ya kuropoka ropoka Alianza Waziri Pena, Akaja, Mama yangu Kumwita Mnyama jina la Binadamu. Mara Mbwa. Chura Simba Muwe na usiku mwema. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika...
  12. Kwenye biblia kuna Yesu wawili Yesu kristo na Yesu mchawi ,Manabii wanamtaja Yesu mchawi

    Nataka Ufahamu Neno Moja wewe mwana wa Mungu Ambaye Umekuwa ukitishwa na Hawa manabii wa Uongo na wanataja Jina la Yesu na Umekuwa ukichanganyikiwa Sana unapo sikia Jina Hili likitajwa na huenda Umekuwa ukijiuliza Kama Ni washetani mbona wanataja Jina la Yesu, ngoja Sasa nikufungue macho leo...
  13. Scientifically, kama wewe ni wa aina hii tambua wewe ni mchawi

    Five Signs of witchcraft Here are ways to know if you are involved in witchcraft: 1. You are happy when others fail 2. You secretly wish for others downfall 3. You trivialize the pain of others 4. You wish to use people’s downfall to create social media content 5. You want others to fail to...
  14. Tetesi: Chini ya zulia waziri wa sukari alalamika kwa watu wa karibu waziri wa zamani wa misitu mapori na wanyama ndio mchawi wake!

    Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
  15. View Once: Yarudisha penzi la mchawi

    🤣
  16. Ahmed Ally ndiye mchawi namba moja Simba

    Najua wengi itakua ngumu kunielewa. Huyu jamaa amewekwa pale Ili kuwapumbaza wanasimba na wanasimba bila kuwa na uelewa wanamuona kama ni Mtu wa maana sana. Hivi hamjiulizi kila siku anaropoka vitu nje ya uwanja ila ndani ya uwanja timu inachofanya nadhani mnakijua halafu baada ya mchezo...
  17. Umri wa uzee lazima uitwe mchawi au mwanga

    Hii tabia ya kuwaita wazee ni wachawi au wanga haijaanza juzi ila imekuzwa na vijana kuona wazee ndio washiriki wa mambo hayo. Je ukifika umri wa uzee na wewe utakubaliana kuitwa mwanga au mchawi. Tukomeshe:
  18. Binafsi siwezi kuishi na mtu anayeenda kwa Waganga wa kienyeji na Mchawi

    Habari Wakuu! Watibeli ni bora tufe lakini kamwe hatuwezi kuwafuata waganga au wachawi. Ushirikina na uchawi kwetu ni kama kosa la mauaji, au kosa la usaliti. Binafsi siwezi ishi na mtu ambaye anapenda mambo ya kishirikina, anaenda kwa waganga, au anadalili za uchawi uchawi. Mke akijihusisha...
  19. Mchawi mtu mbaya sana, anaweza kumuonea wivu muuza genge huku yeye ana hardware anawapanga foleni wateja

    Mchawi ni mtu mshenzi, hapaswi kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Uchawi dhima yake kuu ni wivu. Anaweza akawa na duka kubwa la vifaa vya ujenzi akapanga wateja kutwakutwa lakini akapandwa na pepo la wivu (uchawi) juu ya mtu anayeuza mihogo ya kukaangwa pembeni yake eti kisa Jamaa anauza...
  20. M

    Chelsea wasitafute mchawi: Wanachokutana nacho ni laana ya kumdhurumu Abramovich timu yake!

    Timu Iko hoi taaban! Suluhisho pekee ni kumrudishia timu yake. Vinginevyo endeleeni kula jeuri yenu!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…