mchele

Samuel Mchele Chitalilo (born June 15, 1965) is a former Member of Parliament in the National Assembly of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Mpunga wageuka kuwa ndio zao kuu la biashara Tanzania, Uganda, na Rwanda ndio wanunuzi wakubwa

    Dar es Salaam. If you believe that growing rice, maize and other crops that have traditionally been grown for food would not make business sense, then you far off the mark. While it is true that Tanzanians have traditionally grown rice, maize, sweet potatoes, bananas, beans and sorghum mostly...
  2. Serikali imeondoa kodi kwenye magari yenye friji. Tuleteeni basi dagaa mchele na pweza fresh huku mikoani

    Nimesikia Serikali kwenye bajeti kuwa kodi imeondolewa/punguzwa kwenye kununua malori yenye friji ndani. Hii ni habari nzuri kwa upatikanaji wa fresh foods. Mtufanyie wepesi basi tupate dagaa mchele na pweza na sisi huku mikoani. Nasi tutafanya mpango mpate ulanzi, sungura, matunda na mnafu fresh.
  3. Nataka nianze biashara ya kuuza ugali na dagaa mchele

    Wakuu, Nataka nianze kuuza ugali na dagaa mchele wale wa kukaanga, nitaweka na kachumbari kunogesha au mboga za majani. Nimefikiria ugali na nyama ya kukaanga lakini nimeona itanikost sana kwenye nyama. Kwahiyo mbadala nimeona ni dagaa mchele ambao kuwapata ni hapa hapa Kigamboni. Kuna mwenye...
  4. 29% ya Watanzania hawamudu kununua mchele

    Taarifa ya NBS iliyokusanya takwimu za kuanzia Februari 2021 hadi Machi 2021 zimeonesha baadhi ya watanzania wanakosa kumudu huduma muhimu kama Huduma za Afya na Chakula. Katika vyakula, ikiwemo mchele, mahindi na unga wa mahindi zimeonesha mchele unatumika na 55% ya watanzania huku 29% wakiwa...
  5. Serikali haikagui vyakula, kipi kinawazuia wenye migahawa kupika mizoga, mchele wa plastiki, viungo expired, mafuta ya transfoma / nguruwe, n.k

    -kuweka hamira kwenye wali -kupika nyama zilizokaa mda mrefu (kuna namna ya kukata harufu), -kupika mizoga (zipo tetesi kuku wanaotupwa hukaangwa na kuuzwa buku kipande) -viungo viungo viliyo expire kama mchuzi mix, royco na nazi za kwenye makopo. -kutumia mafuta ya transfoma ama ya nguruwe...
  6. Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya Mchele

    Asalamu alykum mandugu, Mimi ni machinga nilikuwa nauza mchele Moshi, barabara ya manyema, lakin baada ya hili jambo wa kufukuzwa mambo yameenda vibaya na biashara ikaharibika kabisa, nimeamua kujiongeza nimekuja arusha kucheki ramani nimeamua nianze biashara tena ya mchele kwa arusha soko...
  7. Mwanza: Mchele mzuri sana unauzwa

    Mchele huu ni wa Daraja la kwanza kabisa. Hauna Chuya Hauna Punje za mchanga hauna chenga unapatikana kwa ubora wa hali ya juu sana Bei yetu ni 2200 Tsh kwa Kilo Tunauza kuanzia Tani 1 na usafiri juu yetu. Tupo Mwanza Mkuyuni 0713096076
  8. Mayele anatafuta mboga, viongozi Yanga jitahidini kutafuta mchele

    Baada ya hapo jana mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga kutoka DRC, Fiston Kalala Mayele kuzawadiwa ng'ombe mwingine na mashabiki huko Mwanza, ni wazi sasa viongozi waanze kutafuta mchele, kwani Mayele anaendelea kutafuta mboga hili siku ya mwananchi day mashabiki wakale uwanjani, mpaka ligi...
  9. Msaada: Kuhusu Biashara ya kuuza mchele jumla kutoa mikoani kuleta Dar

    Habari Ndugu zangu, Napatikana Dar es Salaam nahitaji kuanza biashara ya kununua mchele kutoa mikoani kuleta kuuza jumla DSM, hivyo naombeni msaada kwa mwenye uzoefu wowote na biashara hii ili nami kijana mwenzenu nipate kujiajiri katika biashara hii. Nina mtaji wa chini ya million 5...
  10. H

    Nahitaji supplier wa mchele 200kg leo hii 24th December 2021

    Habari ya asubuhi ndugu zangu, yoyoye anaemjua supplier mzuri wa mchele anichek kwa number: 0783 242247 Tumepata emergency therefore is very urgent to get it today or tomorrow. Vigezo ni kama ifuatavyo: 1. Awe in Dar Es Salaam 2.Mchele uwe in packs of 25kg 3.Mchele uwe na sticker/lable...
  11. Mfumuko wa bei kila kitu bei juu, mahindi, mchele na mafuta havishikiki mtaani

    Habari mbaya sana Mtaani kila Kona Rais anasemwa vibaya na mambo yanaenda Kombo, Bei ya Vyakula kama Mahindi na Mchele vimepanda maradufu Ndani ya Awamu ya Samia. Mafuta ya Kula Bei imeongezeka karibia nusu, Diesel imepanda na kusababisha Nauli kuongezeka Vijijini, Nguo na vitu vya kawaida...
  12. Tunauza na kuprint mifuko ya kuweka unga na mchele

    Mifuko yetu ni imara haina shida aina yeyote, haitoki rangi zake na inadumu muda mrefu. Kama huna nembo tunakudesignia. Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa. Tunapatikana Dar Es Salaam. call& Whatsapp 0683557564
  13. Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  14. Ushuhuda: Biashara ya mchele ni ngumu mno!

    Kijana wenu baada ya kumaliza chuo nikaona nijimix kwenye harakati za maisha nipo Dar es Salaaam japo Nina mda mfupi sana hapa. Nimezunguka masoko yote hapa dsm kuanzia mabibo mpaka mbagala nilikuja na idea nyingine kwa sababu mtaji sikua nao mkubwa nikashindwa kwa sababu ilihitajika sehemu ya...
  15. Wapi nitapata mchele kwa bei nzuri Morogoro?

    Naomba kuuliza wapi nitapata chimbo la mchele mzuri maeneo ya Morogoro. Mimi ni graduate nimejipiga piga nimepata mtaji kidogo around 600k (laki sita) soko la kuuza Dar nimepata maeneo ya Tandale Sokoni nilikua naomba kufahamishwa chimbo la Mchele kwa Morogoro. Nilikua nafikiri niende mbali...
  16. Mchele mzuri kabisa pamoja na mafuta ya kupikia ya alizeti yanapatikana

    Hi guys, Kwa mchele mzuri kabisa, ambao ukipika kiubwabwa chako kwanza kinakuwa kitamu pili kinanukia mpaka mtaa wa 7 huko, usisite kutuagiza, bei inaanzia 1500/= tu kwa kilo moja. Pia tuna mafuta safi na khalisi kabisa ya alizeti Lita 3 kwa tsh. 17,000/= na Lita 5 kwa tsh. 28,000/= tu za...
  17. E

    This woman spiked a drink with mchele targeting some men then unknowingly drunk it

    A woman who was part of a drinks spiking gang had a taste of her own medicine when she unknowingly took a drink that she had laced with a stupefying substance and passed out! In a classic case of the hunter becoming the hunted, Leah Mwenja, 31 was found unconscious together with 3 men at...
  18. Mchele Supa kutoka Mbeya, sampo zote na kiasi chochote

    Nauza mchele nipo Mbeya 1. Kiasi - kuanzia 1kg hadi tani utakazohitaji 2. Bei - kuanzia sample ya 1000 kwa 1kg, 1200 kwa kg, 1400 kwa kg, 1500 kwa kg na kuendelea 3. Pia mpunga na pumba laini za mpunga zinapatikana 4. Nje ya mbeya tunatuma hadi ulipo kwa gharama nafuu Karibuni sana
  19. P

    Ninauza mchele super

    Habari ,ninauza mchele super kwa 1700, hakuna haja ya kuuchambua ni wakuosha tu na kupika ,pia unanukia na kuchambuka vizuri ukipikwa.Ninakufikishia mzigo kokote ndani ya dar es salaam kuanzia 10kgs na kuendelea. Kwa wauzaji wa jumla ,karibuni store kwangu (chanika) ujipatie gunia la kilo 100...
  20. SoC01 Mchele wa Kyela; rasilimali asilia tunayopaswa kujivunia

    “UKIWA Dar es Salaam wauzaji wa maduka ya mchele huwa wanajinadi kwa mbwembwe, ‘mchele safi kutoka mbeya’. Ukishafika Mbeya unakutana na wauzaji wa maduka ya mchele wakijinadi, ‘pata mchele safi kutoka Kyela'. Na ukifika hapo mjini Kyela utakutana na wauzaji wa maduka ya mchele wakijinadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…