Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu!
Akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta nikamtia kerebu!
Ndo kwanza akawaka mdomo matusi yakawa yanamtoka, mara aniite mimi nyumbu, mara jitu la...