Habari za jumapili wakuu?
Nipo hapa na wazee wangu ambao walikuwa mabaharia hapo zamani (walistaafu ubaharia kutokana na umri pamoja na kipato kuwa limited), tukipata moja moto moja baridi huku tukibadilishana mawazo hasa kuhusu wanaume kuhonga michepuko, huku familia zao zikiwa hazina ramani...