mchezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Christopher Wallace

    Kila mchezaji wa Dodoma Jiji kulamba Milioni 5 endapo wakimfunga Simba leo

    MILIONI 5 KILA MCHEZAJI Taarifa za hivi punde Vigogo wa klabu ya Dodoma Jiji wakishirikiana na wadau wa karibu wameweka mezani bahasha ya motisha katika timu yao ili ifanye vizuri leo dhidi Simba . Naambiwa hapa kuna ahadi ya kila mchezaji kupata Sh Milioni 5 kama watashinda leo dhidi ya Mnyama.
  2. MwananchiOG

    Tetesi: Mchezaji Ellie Mpanzu amegoma kuhudhuria mazoezi tangu Jumatatu akidai 25% ya malipo yake yaliyobakia

    Wakala wa mchezaji Ellie Mpanzu anayefahamika kwa jina la Papida amesema mchezaji wake bado anadai sehemu ya malipo yaliyobakia ambapo inadaiwa mpaka sasa kuwa hayajakamilishwa. Papida ameweka ngumu kwamba kama malipo hayo kama hayatakamilishwa mpaka kufikia Ijumaa hii basi wasitarajie kumuona...
  3. mdukuzi

    Mchezaji kufanyiwa majaribio,Je,unajua huwa wanajaribiwa nini?,kwanini wachezaji wetu huwa wanafeli majaribio huko nje?

    Tangu nianze kufuatilia mpira mwaka 1993,mwaka ambao Azim Dewji aliahidi Simba ikishinda kombe la CAF angewapa gari aina ya KIA kwa kila mchezaji,na Simba ikafika fainali na kupigwa chuma mbili pale Taifa na Stella Abidjan,ni wachezaji wengi sana wameenda nje kufanya majaribio lakini huwa...
  4. Wakipekee

    Kamati ya masaa 72 yaifuta kadi nyekundu ya Derick Mukombozi

    Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua... Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika...
  5. S

    SOWAH: Kucheza Yanga ni jambo la muda tu!

    Mshambuliaji wa @singidablackstarssc akiri wazi kutamani kucheza @yangasc kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo na Rais wa @yangasc @caamil_88 "Yanga ni nyumbani kwangu Rais wa Yanga ni kama Baba kwa yote aliyonifanyia naamini siku moja nitacheza Yanga kwa mafanikio zaidi. Yanga ni nyumbani, hata...
  6. MwananchiOG

    Mchezaji Ladack Chasambi kutolewa Namungo kwa mkopo

    Tetesi zinasema katika dirisha dogo, mchezaji Ladack Chasambi anatarajiwa kutua Namungo sc. Imeelezwa Namungo wameshatuma maombi ya kumnasa kinda huyo katika kujiimarisha na kuongeza nguvu kikosi hicho.
  7. R

    Mchezaji yupo tayari kucheza Yanga kwa mshahara mdogo kuliko uwezo wake ila anaifia timu, Kuna siri gani wanaitumia Yanga?

    Kuna muda inakera sana unakuta wachezaji wa timu nyingine hawapo loyal na team zao, timu ikifungwa wanachukulia poa tu, wachezaji wanarogana ndani ya team, n.k. Ukija upande wa Yanga hali ni tofauti, wachezaji wengi tumewaona wapo tayari kuifia uwanjani, wapo tayari kuvumilia kupigwa bench...
  8. U

    Nauliza eti mshambuliaji hatari wa wa Simba anayeenda kwa jina la chasambi anaasili ya mkoa gani hapa Tanzania ?

    Wadau hamjamboni nyote? Siku njema
  9. S

    Kisasi kimelipwa:Kuna yule mchezaji alinawa mpira dakika za nyongeza na kuwapa Simba ushindi

    Sikumbuki ilikuwa ni mechi baina ya Simba na timu ipi, ila nachokumbuka ni katika mechi ya msimu huu ambapo kuna mchezaji alinawa mpira kizembe dakika za jioni na kuwapa Simba penati iliyowafanya watoke na alama 3 na kuzua mjadala. Kama sio kuunawa mpira, basi alisababisha penati ya kizembe...
  10. ngara23

    Wanaotoa tuzo ya mchezaji Bora wa mchezo, hawajui mpira

    Imekuwa ikishangaza hawa watoa tuzo ya mchezaji Bora ni kilevi Gani hutumia Juzi hapa wamempa Max Nzengeli tuzo ya mchezaji Bora wa mchezo na Max aliingia dakika ya 77😂 Sawa Max Nzengeli ni mchezaji wangu lakini naona Kwa Muda alicheza haustahili angepewa Aucho Jana kapewa Ateba. Mchezaji...
  11. T

    Mchezaji Mtanzania, Mnyakyusa anayecheza Ligi Kuu Italy akichezea Napoli

    André-Frank Zambo Anguissa (ANGWISA) Nimeukumbuka huu wimbo wa muimbaji mmoja aliimba alikuwa anasema Angwisa....na huyu mchezaji naona kabisa ni mnyaki sijui wa Kyela,Tukuyu au Mbozi. Mi sijui. Hawa ndo mngewarudisha na kuwapa uraia. Zamani naambiwa alikuwapo mnaijeria mmoja wa Kinyakyusa...
  12. sergio 5

    CHALLANGE NJOO UTAJE MAJINA MATATU AU MANNE YA KUZALIWA YA MCHEZAJI WA ULAYA UNAE MUHUSUDU NAANZA

    1. JUDE VICTOR WILLIAM BELLINGHAM 2. LAMINE NASRAOUI YAMAL EBANA 3. PHILP WALTER FODEN
  13. GENTAMYCINE

    Kibwana Shomari nilipokuona tu uko karibu na Mchezaji Mmoja Mstaafu wa Simba SC na Bingwa wa Miba nikajua tu Yao Kwasi amekwisha na limetimia

    Beki wa Yanga, Kouassi Attohoula Yao atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kisichopungua wiki nne na kisichozidi wiki sita baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti na enka. Hayo yamebainishwa na Ofisa Habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Yao...
  14. Lupweko

    Sio uungwana kumchezesha mchezaji aliyefiwa na mzazi wake

    Beki wa kushoto wa klabu ya Yanga, Chadrack Boka (25) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amefiwa na baba yake mzazi, kifo kilichotokea Januari 11, 2025, nyumbani kwao Kinshasa DR Congo. Uongozi wa Klabu ya Yanga umetoa pole kwa nyota huyo wa zamani wa FC Saint loi Lupopo ya DR Congo huku...
  15. Mwanadiplomasia Mahiri

    Huu mchoro unamuhusu mchezaji gani? Wakongwe karibuni

  16. MwananchiOG

    JKT Tanzania, TAKUKURU na Bodi ya Ligi ichunguze bank account na kumhoji mchezaji Mohamed Bakari

    Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni...
  17. M

    Simba Tumlipe mchezaji wa jkt kwa uzalendo wake kwetu

    Kajitoa muhunga sana kuisaidia Simba jana. Na sasahivi nasikia timu yake yote inamlaumu na hata Kocha wake ka mmaindi sana. Katupa furaha sisi Msimbazi hivyo tusimuache kinyonge hivyo, ipo siku atatufanyia jambo lingine la maana kabisa. Pia itahamasisha MAWAKALA WETU WENGINE .
  18. SAYVILLE

    Ibrahim Bacca anyang'anywe tuzo ya mchezaji bora katika mechi ya leo dhidi ya Prisons

    Nitashangaa sana kama TFF hawatamnyang'anya tuzo ya mchezaji bora Ibrahim Bacca aliyoipata katika mchezo wa leo dhidi ya Prisons. Bacca amepewa credit kwa kufunga goli la 4 ila marejeo ya video yanaonyesha alifunga goli hilo kwa mkono waziwazi kabisa. Najua mechi imeisha na goli haliwezi...
  19. A

    Mbowe; Mchezaji mzuri asiyejua muda sahihi wa kuondoka jukwaani?

    UTANGULIZI Katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi mkuu, tumeshuhudia purukushani, vuta nikuvute ya ugombezi wa nafasi mbalimbali za kisiasa katika vyama, hasa vyama vya Upinzani. Zoezi hili, liliambatana na uchaguzi wa Serikali za mitaa, Vitongoji na Vijiji, pamoja na Wajumbe, ambapo CCM...
  20. errymars

    Ademola Lookman Amestahili tuzo ya mchezaji bora wa Mwaka kwenye Tuzo za CAF 2024?

    https://youtu.be/2nc32h40PQg
Back
Top Bottom