MILIONI 5 KILA MCHEZAJI
Taarifa za hivi punde Vigogo wa klabu ya Dodoma Jiji wakishirikiana na wadau wa karibu wameweka mezani bahasha ya motisha katika timu yao ili ifanye vizuri leo dhidi Simba .
Naambiwa hapa kuna ahadi ya kila mchezaji kupata Sh Milioni 5 kama watashinda leo dhidi ya Mnyama.
Wakala wa mchezaji Ellie Mpanzu anayefahamika kwa jina la Papida amesema mchezaji wake bado anadai sehemu ya malipo yaliyobakia ambapo inadaiwa mpaka sasa kuwa hayajakamilishwa.
Papida ameweka ngumu kwamba kama malipo hayo kama hayatakamilishwa mpaka kufikia Ijumaa hii basi wasitarajie kumuona...
Tangu nianze kufuatilia mpira mwaka 1993,mwaka ambao Azim Dewji aliahidi Simba ikishinda kombe la CAF angewapa gari aina ya KIA kwa kila mchezaji,na Simba ikafika fainali na kupigwa chuma mbili pale Taifa na Stella Abidjan,ni wachezaji wengi sana wameenda nje kufanya majaribio lakini huwa...
Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua...
Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika...
Mshambuliaji wa @singidablackstarssc akiri wazi kutamani kucheza @yangasc kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo na Rais wa @yangasc @caamil_88
"Yanga ni nyumbani kwangu Rais wa Yanga ni kama Baba kwa yote aliyonifanyia naamini siku moja nitacheza Yanga kwa mafanikio zaidi.
Yanga ni nyumbani, hata...
Kuna muda inakera sana unakuta wachezaji wa timu nyingine hawapo loyal na team zao, timu ikifungwa wanachukulia poa tu, wachezaji wanarogana ndani ya team, n.k.
Ukija upande wa Yanga hali ni tofauti, wachezaji wengi tumewaona wapo tayari kuifia uwanjani, wapo tayari kuvumilia kupigwa bench...
Sikumbuki ilikuwa ni mechi baina ya Simba na timu ipi, ila nachokumbuka ni katika mechi ya msimu huu ambapo kuna mchezaji alinawa mpira kizembe dakika za jioni na kuwapa Simba penati iliyowafanya watoke na alama 3 na kuzua mjadala.
Kama sio kuunawa mpira, basi alisababisha penati ya kizembe...
Imekuwa ikishangaza hawa watoa tuzo ya mchezaji Bora ni kilevi Gani hutumia
Juzi hapa wamempa Max Nzengeli tuzo ya mchezaji Bora wa mchezo na Max aliingia dakika ya 77😂
Sawa Max Nzengeli ni mchezaji wangu lakini naona Kwa Muda alicheza haustahili angepewa Aucho
Jana kapewa Ateba. Mchezaji...
André-Frank Zambo Anguissa (ANGWISA) Nimeukumbuka huu wimbo wa muimbaji mmoja aliimba alikuwa anasema Angwisa....na huyu mchezaji naona kabisa ni mnyaki sijui wa Kyela,Tukuyu au Mbozi. Mi sijui.
Hawa ndo mngewarudisha na kuwapa uraia. Zamani naambiwa alikuwapo mnaijeria mmoja wa Kinyakyusa...
Beki wa Yanga, Kouassi Attohoula Yao atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kisichopungua wiki nne na kisichozidi wiki sita baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti na enka.
Hayo yamebainishwa na Ofisa Habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Yao...
Beki wa kushoto wa klabu ya Yanga, Chadrack Boka (25) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amefiwa na baba yake mzazi, kifo kilichotokea Januari 11, 2025, nyumbani kwao Kinshasa DR Congo.
Uongozi wa Klabu ya Yanga umetoa pole kwa nyota huyo wa zamani wa FC Saint loi Lupopo ya DR Congo huku...
Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni...
Kajitoa muhunga sana kuisaidia Simba jana. Na sasahivi nasikia timu yake yote inamlaumu na hata Kocha wake ka mmaindi sana.
Katupa furaha sisi Msimbazi hivyo tusimuache kinyonge hivyo, ipo siku atatufanyia jambo lingine la maana kabisa. Pia itahamasisha MAWAKALA WETU WENGINE .
Nitashangaa sana kama TFF hawatamnyang'anya tuzo ya mchezaji bora Ibrahim Bacca aliyoipata katika mchezo wa leo dhidi ya Prisons.
Bacca amepewa credit kwa kufunga goli la 4 ila marejeo ya video yanaonyesha alifunga goli hilo kwa mkono waziwazi kabisa.
Najua mechi imeisha na goli haliwezi...
UTANGULIZI
Katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi mkuu, tumeshuhudia purukushani, vuta nikuvute ya ugombezi wa nafasi mbalimbali za kisiasa katika vyama, hasa vyama vya Upinzani. Zoezi hili, liliambatana na uchaguzi wa Serikali za mitaa, Vitongoji na Vijiji, pamoja na Wajumbe, ambapo CCM...