Timu bora siku zote huwa na wachezaji bora wa akiba. Baadhi ya makocha huangalia utayari wa mchezaji aliyepo benchi wakati mechi inaendelea. Miongoni mwao vitu wanavyofatilia ni;
Timu yake inapopata bao anaonesha hisia gani
Timu yake inapofungwa anaonesha hisia gani
Timu yake inapokosa bao...