Haya Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe, Wachambuzi na Watangazaji wa Redio wenye Uyanga tafadhali Tangazeni upesi hii Taarifa.
Na huyu Mchezaji wa Club ya Asec ndiyo alikuwa Mchezaji anayetegemewa na Yanga SC na ndiyo Yule Namba 6 aliyokuwa akiimbwa na akinadiwa Kimajigambo na Msemaji wa hovyo...
Ni Mchezaji ambaye sijui Mpuuzi gani ndani ya Simba SC alishauri atolewe kwa Mkopo.
Said Hamis Ndemla ni Kiungp mwenye Kipaji kikubwa cha Soka na ana Faida kadhaa Kukaba, Kupiga Mashuti ni mzuri katika namba zote za Kiungo ile ya Sita na Nane na huzitendea haki.
Anaondoka Mkude niliyemlea...
Mshambuliaji #MarcusRashford yupo katika mazungumzo ya mkataba mpta wa kuwaendelea kuichezea Manchester United unaidaiwa kuwa utamfanya alipwe Pauni 375,000 (Tsh. Bilioni 1.1) kwa wiki.
Anayelipwa kiwango kama hicho ndani ya timu hiyo ni kipa David de Gea ndiye ambaye inadaiwa anaweza kuondoka...
Saidoo hawezi akawa mchezaji bora, magoli 17. kafunga Hat trick 2, goli tano Kwenye mechi moja Maana yake magoli zaidi ya 11 kafunga kwenye mechi 3, na kamfunga nani, Swali la 2!
Fiston Mayele anadeserve kuwa MVP kwa kuwa goli analofunga mechi moja moja ndiyo Wanakuwa Mabingwa.
KWAHERI AUGUSTINE OKRAH
Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza rasmi kuachana na kiungo mshambuliaji Augustine Okrah π¬π baada ya kumalizika mkataba wake ndani ya klabu na mchezaji hataongezewa mkataba mpya.
Hapa nazungumzia saikolojia ya kucheza na refa. Waarabu kitu kidogo wamelalamika na kuonekana kama wameonewa. Mpira katoa yeye anakimbilia atake kurusha na uhuni mwingine mwingi.
Mambo kama haya yanaathiri saikolojia ya refa na maamuzi yake ya baadaye. Ni Morrison pekee ndiye anaweza uhuni huu...
Tafadhali kama huyo Mchezaji wako Nassoro Kapama kakupa Pesa ili Umfagilie na asiachwe na Simba SC acha mara moja au anzisha Timu yako ya Mpira wa Miguu kisha Msajili katika Timy yako akufanyie Kazi sawa?
Tena GENTAMYCINE nikuchane Mubashara hapa hapa JamiiForums kuwa kama kuna mchezaji mbovu...
" Diarra ameleta mapinduzi makubwq sana nchini katika idara ya goalkeeping.
Ana footwoork nzuri, anaweza akapiga pasi ndefu ya mita karibia 60 mpaka 70 na ikamfikia mlengwa pale alipo. Anaweza kupooza presha ya mashambulizi, ni mzuri sana katika kupanga mabeki wake yaani ni kiongozi kutokea...
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga ya Dares Salaam, Stephane Aziz Ki amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Aprili wa Ligi Kuu ya NBC huku Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Abdallah Mohammed, akichaguliwa Kocha Bora wa mwezi huo.
Kikao cha Kamati ya Tuzo za TFF kilichokutana Dares Salaam...
Mara nyingi utasikia hadithi na sifa kwa wachezaji wa Simba na Yanga. Ila kiukweli Mchezaji Price Dube ni bonge la Straika.
Kati ya Mastraika ambao timu nyingi na haswa Simba SC, hawatawasahau basi ni Prince Dube.
Kwa hakika huyu mchezaji (sijapata jina lake) amefanya kazi ya ziada katika upatikanaji wa goli la pili.
Amekimbia kwa speed kali na mpaka anatoa pasi, ni wazi alikuwa ametumia maximum energy aliyokuwa amebaki nayo kwa wakati ule na kidogo aanguke baada ya kutoa pasi ila akamudu vyema.
Pia...
Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali.
Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote.
Inaelezwa kuwa mahakama...
achraf hakimi
duniani
hiba abouk
hii
internet
jifunzeni
kavunja
kisa
kisheria
kitu
kudai
kukwepa
maana
mali
mama yake
mchezaji
mchumba
mke
mke wake
mtu
ndoa
paris saint-german
siku
single
talaka
tuna
utajiri
wake
wake zenu
wanawake
Picha: Mamadou Doumbia
TANZIA: Klabu ya Yanga imepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Baba mzazi wa mchezaji wake beki, Mamadou Doumbia, kilichotokea jana, nchini Mali.
Mamadou Doumbia anatarajia kusafiri asubuhi leo kuelekea Mali kwa ajili ya kushiriki taratibu za mazishi.
βKwa niaba ya...
Chama cha mpira wa miguu wilaya ya songwe (Sorefa) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na mwenzake katika kuwania mpira. Tukio hilo limetokea katika mchezo wa kirafiki kati ya mashabiki wa Yanga na Simba wakichuana katika kusheherekea...
JEAN BALEKE NI MCHEZAJI WA TP MAZEMBE
"Jean Baleke ni mchezaji halali wa TP Mazembe ambaye kwa sasa anacheza Simba kwa Mkopo wa makubaliano ya misimu miwili
"Simba haikumnunua moja kwa moja mchezaji huyu yupo pale kwa Mkopo ila ni mchezaji wa TP MAZEMBE,"Msimamizi wa Mchezaj
MOROGORO: Kocha na mchezaji wa zamani wa Pamba SC, Simba SC na Taifa Stars, Amri Ibrahim amekutwa amefariki jioni ya jana Jumamosi Aprili 08, 2023 baada ya majirani kuona hajatoka nje kwa muda mrefu, wakalazimika kuita mwenyekiti wa mtaa na kubaini kuwa amefariki.
Baadaye polisi walifika na...
Kwa wale Watu wa Mpira Wenzangu hasa mnaokuja kucheza Ndodo na Mechi za Veteran Kinesi na Barafu ni matumaini mnamjua huyu Mchezaji wa Geita Gold FC ni Mnazi tukuka wa Klabu gani Kubwa hapa Tanzania.
Baada ya kuona tumeshtukiwa Kuhonga Marefa na Timu kama Timu sasa tumekuja na Mbinu mpya Mbili...