Wanaukumbi.
MBOWE KATAPIKA MAPEMA SANA WAKATI KAZI NDIYO INAANZA
NI KICHEKESHO sana kwa Mbowe ambaye ni kinara wa kuropoka kauli za hovyo na za uongo juu ya CCM ,serikali na Rais Samia ambazo wangeamua kumpeleka mahakamani basi angekuwa na kesi mpaka mahakama ya mwanzo Buguruni kwa kuwa...
Fikiria jinsi Mchungaji Msigwa alivyoaminiwa na Chadema pamoja na Wanachama wote
Kumbe ni Fursa ya Vyeo na kupata Fedha ndio ilimuweka Chadema lakini hakuwa na Mapenzi yoyote na kile Chama
Mchungaji Msigwa alipokosa cheo na Fedha akajisalimisha Chama Dume faster
Na hii ndio Tabia ya wapinzani...
Ndugu zangu Watanzania,
Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahia maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kujuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa muelekeo,Dira na hata sera zenye kugusa maisha ya watanzania.
Chama ambacho kimejaa udikiteta na kuendeshwa...
Hofu imetanda CHADEMA
tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon.
Imefikia mahali, kila kiongozi mwandamizi wa CHADEMA hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia Mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari, nidhamu...
Siasa tofauti na dini. Dini hata uteswe vipi, uhadiwe mabilioni ya shilingi hutakiwi ubadilike
Nitaoa mifano yaliowakuta watu enzi za tawala za nyuma kabisa
kwa mfano
1.Bilal ibn Rabah (RA): Alikuwa mtumwa wa kipagani wa Kikuraishi, Umayya ibn Khalaf. Alipokea mateso makubwa, ikiwemo kuwekwa...
Kuna Wakati Mchungaji Msigwa akiwa Mbunge alitaka kumpiga DC Richard Kasesela pale Uwanja wa Ndege Nduli Sema kwa bahati Salim ASAS akawaambia
Leo ndio hivyo tena Mchungaji Msigwa anaripoti kwa Komredi Kasesela Mnec
Dunia simama nishuke
Mlale Unono 😀😀😀🔥
Ukiangalia Mbowe anaruka na helikopta halafu anasema mwaka huu kunja ngumi, kunja ngumi tunachukua nchi, nikimwangalia Mbowe anasema atachukua nchi hebu angalia 'line up 'yake unamwona Waziri Mkuu kwenye timu yake? Unamwona Naibu Waziri Mkuu kwenye timu yake? Unamwona Waziri wa Fedha Mwigulu...
Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa.
Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm.
Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo.
Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo...
Shalom,
Kazi ya uzushi ya kubweka, kubwaka na kubwata vyataka ule ushibe
Nimewaza kuhusu kauli za mchungaji Msigwa hasa juu ya tuhuma za Mbowe kuwa fisadi na Chadema kuwa Mali binafsi ya Mbowe.
Tangu kitambo Chadema ni Mali ya Mzee Mtei ambayo sasa iko chini ya Mbowe na familia pamoja na...
Mwanasiasa mkongwe aliyehamia kwenye Chama chetu CCM kutoka CHADEMA hatumwoni kama mwenzetu. Kila akiongea namwona kama hajajua miiko, mtoto unajaa mate, anaropoka tu.
Alivokuwa CHADEMA alikuwa mtu mahiri nondo kweli ila Sasa yupo kama dishi linayumba au amekata tamaa, Makoti hayamtoshi, sare...
Usipange kukosa mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini tarehe 20 July
Mengi ya Chadema usiyoyajua yatawekwa hadharani siku hiyo
Ahsanteni Sana 😂😂
Kwako Mzee Mgaya
JUST IGNORE HIM, MSIMJIBU, MPUUZE, MPOTEZEE (vijana wa mjini wanasema)
What power is there in ignoring someone?
1. Ignoring someone can have a powerful impact since it sends the message that you do not want to engage with the person.
2. Ignoring someone can also have a strong emotional...
Kiuhalisia ukitoa sehemu ndogo ya watu ambayo ni watumishi wa Serikali na wanasiasa Asilimia kubwa ya wananchi wanaamini katika Hayati Magufuli na wanampenda .
Ukiingia humu jukwaani ,ukiwa ofisini na ukiwa kwenye kundi la wanasiasa utaona mnaongea lugha moja kuhusu JPM ambayo ni kama 80% siyo...
Ni kweli kwamba mtu akihama Chama hawezi tena kukisifu Chama alichotoka ama sivyo ataulizwa kwanini alikihama.
Lakini haiwezekani Msigwa azunguke nchi nzima aanze kusema,"Mbowe ni mnafiki,Chadema hawafai"
Yeye amahama Chadema, mambo ya Chadema sasa hayamhusu tena.
Waachane kwa amani na...
Wana Iringa wote nawakaribisha katika maandamano ya kumkaribisha Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa kurejea CCM.
TAREHE: 28 Julai 2024,
MUDA: Saa 12 asubuhi,
MAHALI: Uwanja wa Samora - ofisi Kuu ya Chama Mkoa.
Ndugu zangu kwa sisi tulikulia katika familia za kimasikini huwa tunapitia mateso mengi sana hadi kufikia ndoto zetu.
Hiyo picha hapo chini, ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri sana hapa nchini, ukiitizama kwa makini unaona ni jinsi gani binadamu tunatoka mbali katika hali ya kujitafutia maisha.
Msigwa hakuwa mwanachama wa kawaida Chadema, alikuwa kiongozi mwandamizi mwenye dhamana ya kusimamia makamanda na wanachama wa Chadema kanda ya Nyasa, na alikuwa pia mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa.
Anajua na kufahamu mambo na vitu vingi sana ndani ya chadema. Anajua vema nia, uwezo, malengo...
chadema
hali
kuelekea uchaguzi 2025
kuhama chadema
kukata
kukata tamaa
kuondoka
matukio ya siasa tanzania
mchungajimsigwa
mwingine
peter msigwa
siasa tanzania
tamaa
Wapo manguli wa siasa walifanya kazi kubwa kukijenga chama lakini mwisho walihama vyama na wengine kung'olewa na mwisho walionekana ni wasaliti tu chama kilishinda vita hii.
Kuhama kwa Msigwa kumekuja kitofauti sana na wala haikutegemewa. Baada ya mchungaji Msigwa kudondoka katika uchaguzi wa...
Ni ukomavu, ujasiri na utashi wa kipekee sana kisiasa. Ni uamuzi mgumu na mzito sana kwa mwanasiasa. Kuachana na mazingira ambayo uliishi na watu ulo wazoea vizuri sana, na kuungana na watu wapya na wenye, itikadi, malengo na nia tofauti kabisa na chama ulichotoka. ni uthubutu wa kipekee sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.