Mchungaji Msigwa ambaye ni mbunge wa Iringa mjini amesema alishawishiwa na mgombea urais wa TLP mwaka 2000 kuingia kwenye siasa.
Up dates;
Mchungaji Msigwa anasema baada ya kumpigia kampeni Mrema aliachana na siasa na kujikita kwenye mambo ya Kanisa.
Mwaka 2005 Chadema walimwomba agombee...
Nimemsikiliza kwa makini ndugu yangu PETER MSIGWA kwenye hotuba yake na vyombo vya habari ambapo yeye na viongozi wengine wa Chadema waliokuwa gerezani wameachiwa huru baada ya kulipa faini.
Kilichonishangaza ni MSIGWA kushindwa kutambua mchango wetu wa kifedha uliokuwa unaratibiwa na kaka...
Nipo katika utalii wa ndani mbugani Ruaha na la muhimu kabisa ni kutembelea maeneo ya kihistoria ya Isimila na Lugalo nikihadithiwa habari za maisha ya Chifu Mkwawa.
Cha ajabu wadimi (vijana) wa hapa Kalenga wanamrefer mchungaji Msigwa kama ndiye mbunge wao badala ya Godfrey Mgimwa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally, akiwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Iringa, amewahakikishia wanachama, mashabiki na wakereketwa wa CCM kuwa Chama hakipo tayari kupoteza jimbo la Iringa Mjini kama ilivyofanyika miaka michache nyuma.
Ameyasema hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.