Wamesema kwamba wanafungua kesi hiyo ili kulinda heshima ya Wafungwa wawapo Jela, ambako haki na utu wao unapuuzwa.
Walalamikaji hao ambao pia ni wabunge wa Zamani na WAFUNGWA WASTAAFU wanadai kwamba Wafungwa wa Tanzania wawapo gerezani wanalazimishwa Kupima Ukimwi huku Majibu ya vipimo hivyo...
Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana.
Yafuatayo ni maelezo kwenye mkutano huo kuanzia mwanzo...
Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyanda za Juu Kusini mchungaji Msigwa anaomba michango kugharamia nauli na mahitaji muhimu ya wakili anayemwakilisha Kamanda Nyangali Mdude katika kesi inayomkabili mahakama kuu Mbeya.
Michango itumwe kwa mwenyekiti mchungaji Msigwa na unaweza kutuma kiasi...
Binafsi nampongeza aliyekuwa mbunge wangu wa Iringa mjini mchungaji Msigwa kwa kutoyumba wala kuyumbishwa na siasa za kutamani madaraka.
Pamoja na kufuatwa jela na Mwenezi Polepole na kulipiwa faini na wanafamilia bado mchungaji Msigwa alibakia kuwa mwanachama mtiifu wa Chadema.
Nina imani...
Kuna clip iko kwenye mitandao ikionyesha mahojiano aliyofanyiwa mchungu Msigwa na Darmpya tv, ambapo mchungaji Msigwa anasikika akiongelea swala la critical thinking.
Msigwa anasikika akisema, wakati wa Mwalimu, vijana wa chuo kikuu walikuwa na uhuru wa kusema chochote wawapo maeneo ya chuo na...
Akiongea na Darmpya, mchungaji Msigwa amekosoa vikali hatua ya Maalim Seif na Zitto Kabwe kujiunga na serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, Mchungaji Msigwa amekiita kitendo hicho kama ni flipfloping. Amesema ni kuwachanganya wananchi kutoa misimamo inayokinzana katika jambo lilelile.
Kwa...
Wakuu, poleni sana na Majukumu yenu ya kila siku, Naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote mliochangia kusambaza taarifa zote za uchaguzi za Chadema ikiwa ni pamoja na kusambaza kampeni kali za kiwango cha juu za Tundu Lissu Mgombea Urais wa Chadema, ambaye anatajwa kama Mgombea bora kabisa...
Mgombea Urais wa Chadema anafanya kampeni kata kwa kata. Usikose kuyasikia madini ya Lissu, leo kata ya Isman.
=====
"Mafurikoo Ya Wananchi Wa Iringa Kwenye Viwanja Vya Mwembe Togwa KatiKati Ya Mji Wa Iringa.
Mheshimiwa Tundu Lissu Akiwa Jukwaa Amenadi Sera Zifuatazo...
1. Itakuwa Jambo La...
Mchungaji Msigwa ametweet kwa mbwembwe sana na huwa nashangaa kwa nini haji kupost humu JF kwa Great thinkers?
Amesema Bunge lilitekwa,Mahakama ilitekwa,wanahabari wametekwa na sasa Kanisa limetekwa(sijui aamaanisha hadi kanisa lake??)
AMESAHAU:wabunge wa chadema walitekwa,wasanii...
Wakuu, MAENDELEO HAYANA CHAMA
Rais Magufuli akiwa safarini kutoka Mtwara, ameombwa na mwanakijiji Jimbo la Kilwa kwamba hawana Stendi ya Magari hivyo anaomba wajengewe. Rais Magufuli amejibu kwamba siku nyingine waangalie wawakilishi wanaowachagua ili waweze kufanya vile yeye anavyowaagiza...
Mlihama CUF na CHADEMA kwa mbwembwe sana kuhamia CCM. Mkatupa karata zenu kuwania Ubunge. Sasa mmeshindwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Tena mmepigwa 'kipigo cha mbwa koko'.
Sasa mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao waliowapita kura za maoni na waliowakataa kupitia kura zao...
Siyo kwamba RC Albert Chalamila hautaki ubunge wa jimbo la Iringa mjini la hasha bali ameisoma historia ya mchezo.
Haya mambo siyo ya kuyaamini sana eti " lazima nitashinda" kuna maeneo yana visiki hadi unashangaa kwanini huwa having' oki pamoja na figisu zote.
Hongera RC Chalamila.
Maendeleo...
Katika hali isiyoeleweka kama ni figisu za mchungaji Msigwa ama la, Mwalimu Andrew Palagio aliyetia nia kugombea ubunge Iringa mjini kwa tiketi ya Chadema amesimamishwa kazi.
Andrew ni mwalimu katika shule ya St Dominic Savio katika manispaa ya Iringa.
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Siasa ni sayansi.
Ni dhahiri mgombea wa Chadema atakuwa Lazaro Nyalandu na mchungaji Msigwa yeye ni msindikizaji tu.
Ikumbukwe Mh Mbowe na Nyalandu walisafiri hadi Ubelgiji aliko Lisu na kufanya mazungumzo ya kina.
Hivyo Mwenyekiti na makamu wake pamoja na waziri kivuli wa Utalii wakati...
Wote mnakaribishwa
Labda kwa faida ya wageni na wengine , Mchungaji Msigwa ndiye mbunge aliyekomesha siasa za kishamba Iringa mjini , huyu ndiye kiongozi aliyeifuta ccm Iringa , ambapo uchunguzi unaonyesha kwamba bei ya madiwani wa Chadema walionunuliwa Iringa inazidi bajeti ya mwaka ya wizara...
JOTO la mgombea urais ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limeendelea kupamba moto baada ya kuwepo tetesi kuwa kada wa chama hicho Lazaro Nyalandu anafikiria kujitosa kwenye kinyang’iro hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam (endelea).
Nyalandu ambaye ni Mwenyekiti wa...
Katibu mkuu mstaafu wa CCM Mzee Kinana amemsifu Mchungaji Msigwa kwa uungwana wa kuomba radhi kwa uzushi aliomzushia.
Kinana anasema baada ya uzushi huo alimshtaki Msigwa Mahakama Kuu ambapo alikutwa na hatia na kutakiwa kumlipa fidia Mzee Kinana.
Baada ya hukumu mchungaji Msigwa alimtafuta...
Eid Mubarak wadau!
Kiukweli ni heri tu Mungu alituepushia vinginevyo hali ingekuwa tete.
Naiangalia kwa makini safu ya wabunge wa Chadema sipati picha eti hawa ndio wangekuwa mawaziri wetu. Labda Mnyika pekee na msemaji wa Ikulu Pascal Mayalla ndio wangeitoa kimasomaso.
Mawaziri wengine wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.