mdada wa kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Mdada wa kazi ana dimpoz na tacle la maana

    Wakuu nimepata mdada mnyamwezi wa Tabora nimegundua nahitaji ujasiri wa hali ya juu kuepuka hiki kishawishi. Mtoto anaumbo tamu na viji dimpoz kiuno chembambaaa. Nawatakia kazi njema.
  2. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu kanogewa kukaa kwangu. Kamaliza chuo 2020 lakini haondoki, nifanyeje?

    Shemeji yangu sasa kanogewa kwangu, amemaliza chuo 2020, bado anasema anasikilizia mchongo. Shemeji Anashindia TV, kupiga stori na mdada wa kazi na vijiweni Namuambia ajifunze ufundi anasema yeye anasema muda wake maalumu utafika
  3. AmKATRINA

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kujiuliza Msichana wenu wa kazi 'wa Miaka hiyo' yuko wapi?

    Je, ulishawahi kujiuliza msichana wenu wa kazi wa kipindi hiko yuko wapi na anafanya nini? Habari zenu wapendwa wana Jf na guests mnaosoma kimya kimya. Ulishawahi kujiuliza hili swali? Yuko wapi, Yu hai au alifariki? Je, kama ana watoto....huwa anakuja kuwatembelea siku moja moja? Najua wengi...
Back
Top Bottom