Shemeji yangu kanogewa kukaa kwangu. Kamaliza chuo 2020 lakini haondoki, nifanyeje?

Shemeji yangu kanogewa kukaa kwangu. Kamaliza chuo 2020 lakini haondoki, nifanyeje?

Anzisha shughuli kama Ufugaji kuku, Kilimo na nyingine ndogo ndogo ili uweze kumtumia, nawewe unufaike na uwepo wake.

Also, ukiona una Shemeji/Ndugu yupo yupo ndio wakati unaanzisha vi-project vingi vingi kwakua utapata kitonga cha mtu wa kuvisimamia (endapo Akili yake ipo timamu).

Jifunze kuwatumia watu kujinufaisha, hii ndio siri ya kusonga mbele, hasa hao wa bure bure. win -win situation.

Be a Man, usiwe mtumwa kwenye nyumba yako kisa kuogopa kufanya maamuzi magumu.
 
Miaka sita ishapita tayari anasuburia mchongo gani?, Kwanza miaka miwili Tu baada ya kuhitimu chuo ni mingi Sana katika muktadha wa kusubiria mchongo, yaani pale anapomaliza isipite miezi mingi tayari alitakiwa awe mtaani anaanza kujifunza ujuzi na kujichanganya ili baada ya miaka kadhaa afanye Jambo.
 
Anza kumgonga dada yake hovyo hovyo, iwe sebuleni, jikoni na kila sehemu na uhakikishe jamaa ana uwezekano mkubwa wa kuwakutaniza. Ikitokea akaona kama mara tatu na bado akaendelea kukaa kwako, njoo uninyofoe oesophagus
Nilipo achaga kuvuta bangi Nika Anza kuwa mtu mwema mpaka Leo mzee..

Ulicho zungumza sio ubinadamu...unaweza mfanyia ivyo siku moja jamaa akaja fanikiwa kupita wewe na ukaitaji msaada wake remember LIFE IS A CYCLONIC PROCESS.
 
Namuambia ajifunze ufundi anasema yeye anasema muda wake maalumu utafika
hauna kashamba mahali?
ili ukienda nae na kushinda nae huko kwenye kakibanda ka shamba, kisha unamwambia unatoka kidogo, ila yeye asitoke shamba mpaka urudi,

na siku ukirudi,
unaenda na vikuku vya kufuga, hata vitatu au vinne hivi, awe anashinda navyo huko shamba, taratibu atazoe kazi za kilimo na ufugaji kuku na kuipenda hasa hivyo vikuku vikianza kutaga huku akipata mayai ya kula yeye na kuuza ili apate hela ya bando na kumuondolea stress za unyonge wa kiuchumi.

utakua umemsaidia sana na hatakusahau kamwe
 
Anzisha shughuli kama Ufugaji kuku, Kilimo na nyingine ndogo ndogo ili uweze kumtumia nawewe unufaike na uwepo wake.

Also, ukiona una Shemeji yupo yupo ndio wakati unaanzisha vi-project vingi vingi kwakua utapata kitonga cha mtu wa kuvisimamia (endapo Akili yake ipo timamu).

Jifunze kuwatumia watu kujinufaisha, hii ndio siri ya kusonga mbele, hasa hao wa bure bure. win -win situation.

Be a Man, usiwe mtumwa kwenye nyumba yako kisa kuogopa kufanya maamuzi magumu.
We jamaa wewe! Umepenyeza code kali sana
 
Nilipo achaga kuvuta bangi Nika Anza kuwa mtu mwema mpaka Leo mzee..

Ulicho zungumza sio ubinadamu...unaweza mfanyia ivyo siku moja jamaa akaja fanikiwa kupita wewe na ukaitaji msaada wake remember LIFE IS A CYCLONIC PROCESS.
Fata huu ushauri hautajuta.

Odds sio za kuziamini one second is a lot of the time .
 
Back
Top Bottom