Shemeji yangu kanogewa kukaa kwangu. Kamaliza chuo 2020 lakini haondoki, nifanyeje?

Tena matajir ndio hawatak kabisa watu ambao hawajitumi.

Una nguvu uwezo . Why usipambane?.
Tena usikute hajawah kumpa wazo au business plan shemej yake?.

Kama yuko mjini, amuombe shemej akope . Anunue pikpik ya umeme. (4.5 ml) afanye bolt.

Hawez kosa 40k kwa siku.
Anakuwa anarudisha mdogo mdogo.

Matajiri kazi zao zinategemea watu .

Binadamu yoyote ni assets na sio liability ni vile umeamua kumtumia .

Ni nadra sana ukute MTU mwenye akili timamu anaita binadamu mzigo
 
Yes nimepitia hizo phase .

Nilichogundua njaa ndo tatizo ila kukaa na MTU miaka sita na una -provide kwake sioni tatizo kabisa

Kuna watu wanawahudumia wanawake na kuwapa Kila kitu Sasa iweje ndugu yangu nishindwe kukaa nae .

Umasikini ni mbaya sana Kila MTU unakuwa unaona yupo kinyume na wewe .

Ukiwa na uchumi mzuri HAYO maneno ya kumuita binadamu meenzako mzigo utaacha

Lack of humanity inachangiwa na umasikini wa fikra , uchumi mpaka tumbo.

Mkuu naona umenisema Mimi kabisa, hapa umaskini lana mbaya sana tujitahidi kujenga uchumi vinzul.Nimehishi kwa shemeji 4 year, hila shemeji ni mwema sana hata dada yangu hakutaka niishi kwake hila shem halinipambania now sijisifu nipo vinzul mala x 10 zahidi yao hila wema ni akiba na hii thread himenikubusha ngoja niwa bless weekend na wajomba.
 
Bora ume share experience yako hapa.

Waswahili ni watu ambao hutazama mbele ya pua zao.

Angalii kuwa odds zinaweza badilika kwa sekunde Moja tu na huyo MTU akaja akawa msaada mkubwa kwako

Wema ni Akiba kubwa sana

Na umasikini ni mbaya sana maana unakuwa Kila MTU unamuona yupo against you .
 
Yes nimepitia hizo phase .

Nilichogundua njaa ndo tatizo ila kukaa na MTU miaka sita na una -provide kwake sioni tatizo kabisa

Kuna watu wanawahudumia wanawake na kuwapa Kila kitu Sasa iweje ndugu yangu nishindwe kukaa nae .

Umasikini ni mbaya sana Kila MTU unakuwa unaona yupo kinyume na wewe .

Ukiwa na uchumi mzuri HAYO maneno ya kumuita binadamu meenzako mzigo utaacha

Lack of humanity inachangiwa na umasikini wa fikra , uchumi mpaka tumbo.
Kiukweli binafsi naona kama nyinyi mnaokubali kuwalisha wenzenu miaka sita ndio mna hiyo lack of humanity na mna roho mbaya pia na ni selfish!!Umeshajiuliza ndani ya hiyo miaka 6 angekuwa kapiga hatua kiasi gani?ushajiuliza future yake itakuwaje?

Ndugu yangu Huruma sio Malezi
 
Mkuu huyo ni rasilimali mtu sema tu hujajua kumtumia.

Ukija usukuman, watu wakuja kukaa huwa ni wengi ukijipata, kinachofanyika hapo ni kuongeza mashamba tu, msim wa mvua unapereka shamban.

Bwana shem wetu mtafutie namna umtumie kirafki na hakikisha asikwazike
 
Mambo yote hayo ni njaa na umasikini , unakuwa unamchukia Kila MTU
Ya kwamba mwanaume mzima una miaka 25 una ndevu,mavuzi,una nguvu,una viungo vyote vya mwili utoke hapo uende kukalisha matako kwa shemeji yako miaka zaidi ya 6 bila juhudi zozote za kijukwamua ili ajitegemee eti uendelee kumkalia kimia eti usionekane una njaa?
Hata ningekuwa na hela zaidi ya bakharesa siwezi kurusu huo usenge.
 
😀😀 Kuna vitu vinashangaza sana Mkuu.

Huyo jamaa anajiongelesha tu hapo. Lakini kiuhalisia maisha hayapo hivyo.
 
Na sijajua kwa nini akatumia hilo neno umasikini. Lol.
Nadhani hata yeye ni aina ya vijana kama huyo shemeji wa mleta mada.
Sasa huyo shemiji yake angekuwa kama yeye hata huyo dada yake angekubali aolewe naye?
Kukaa kwa mtu kipindi ambacho mambo yako hayajakaa sawa sio tatizo lakini unatakiwa kuishi kimkakati ukiwa unajua kuwa hapo sio kwako hivyo unatakiwa kuhakikisha unatafuta cha kufanya ili ujitegemee uache kuwabana watu kwenye majumba yao.
 
Back
Top Bottom