hauna kashamba mahali?
ili ukienda nae na kushinda nae huko kwenye kakibanda ka shamba, kisha unamwambia unatoka kidogo, ila yeye asitoke shamba mpaka urudi,
na siku ukirudi,
unaenda na vikuku vya kufuga, hata vitatu au vinne hivi, awe anashinda navyo huko shamba, taratibu atazoe kazi za kilimo na ufugaji kuku na kuipenda hasa hivyo vikuku vikianza kutaga huku akipata mayai ya kula yeye na kuuza ili apate hela ya bando na kumuondolea stress za unyonge wa kiuchumi.
utakua umemsaidia sana na hatakusahau kamwe