Habarini wna JF ni matumaini yangu nyote ni wazima wa afya tele, ningependa ku share hii experience wakati nikiendelea kuishi kwa hofu sana baada ya kukutana na mdada ambae ni muathirika baada ya kumpima.
Story iko hivi nilikutana na mdada sehemu akiwa na rafiki yangu pamoja pia na dem wa...
Kama kichwa kinavyosema nahitaji mdada anaejua kazi za saloon (ya kike)
Kuosha wateja
Kuweka Dawa
Kusuka Misuko Tofauti
Make Up kwa wateja
Kubana styles tofauti
Na Nyingine nyingi ambazo atakua ana uelewa nazo.
Saloon ni MPYA imekamilika inahutaji tu mtu wa kazi.
OFISI/SALOON ipo MBEZI...
Ukinitapeli mara ya kwanza aibu iwe kwako unaenifanyia hayo mabaya, lakini ukinipiga mara ya pili kwa style ile ile nikiwa na utimamu wa kujua kinachoweza kutokea basi aibu iwe kwangu, Niliapa sitoweza kuangukia kwenye mtego wa jaribio la kwanza kwa mara ya pili.
Niliweka binti wa kazi...
Nina mpenzi wangu kutoka kaskazini (mchaga) ambaye kwa sasa tumetimiza mwaka 1 katika mahusiano huyu dada ni mpambanaji haswaaa nimemkuta na biashara yake hivyo anajimudu
SIFA ZA HUYU DADA
1. Si mtu wa vizinga nazani kwa sababu ana biashara yake kuna muda akija nitembelea gheto nikimaliza...
Jamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani.
Nawaza kutumia protein powder ila sina uhakika nayo sana kama inafanya kazi.Naombeni ushauli kwa alie na experience
Amekwama - anataka msaada wa pesa aka maokoto
Amepotea - anataka mtu wa kumwelekeza sehem anayoenda
Malizia....
Bandugu tusalimie sio hadi mkwame ndo mnarudi kutusalimia - tutawapotezea!
Salaam Wakuu,
Katika pitapita zangu za hapa na palehuko mjini instagram nimekutana na mdada mmoja ambaye ameni inspire sana kutokana na kitu alichoamua kufanya kwa jamii ya watanzania. Jina lake halisi sijalifahamu bado ika la instagram ni Mentor_Cherry.
Sasa kwa harakaharaka nimegundua kuwa...
Habari zenu ndugu na jamaa katika jukwaa hili
Mdada wa kazi anahitajika Bububu, Zanzibar.
Majukumu yake: Kupika tu
Vigezo:
1. Awe anafaham lugha ya kiingereza. Anaowapikia wanatumia lugha ya kiingereza kama njia pekee ya mawasiliano.
2. Awe mkristu
3. Awe msafi
4. Ajue kupika vyakula mbali...
Yaani mengine ni siri ila ,sasa naanza kupata wasiwasi kuwa wanaake ninaopata ni wagonjwa ,inakuwaje tupo katika heka heka nyumba ya pili wanasikia ila gafla ,kijanajike anaachia kojo zito na kuchafua kila kitu na hapo huwa kesharizika au sijui keshachoka ,nawashangaa au itakuwa sijui...
Hii habari nimeiona Millard Ayo, wazee baada ya hili tukio Shivaz, kuna usalama kweli sasa hivi hapo, si patakuwa panawaka moto. Doria za 24 hours za polisi plus malaya wengine kuhama hiyo sehemu
Inakuaje unamnyonga mtu halafu unakimbia, story doesn't add up.
---
Wakizungumzia tukio hilo...
Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala ya Tigopesa.
Vigezo
awe na uzoef kwenye kazi hiyo au uzoef katik tasnia ya uwakala.
awe mtu wa kujituma na mwenye lugha nzuri kwa watu wote.
asiwe mtu wa hasira au dharau.
awe na uwezo wa kujisimamia mwenyewe na kupangilia mambo katka ofisi...
Mfano, wewe mwanaume una hela, Unasukuma gari nzuri kiasi, laki mbili tatu za bata kila wiki hazikupigi chenga, una kazi nzuri na biashara, una nyumba nje ya mji, kibongobongo watu tunaassume umetoboa..
Unakutana na binti maisha yamemchapa, kwasababu unampenda, unamtakatisha kwa kumpa vihuduma...
Mwanamke mmoja mjini Stockholm nchini Sweden amevuruga shughuli batili ya kuichoma Quran iliyokuwa ikifanyika mjini humo.
Kitendo hicho kilikuwa kikifanywa na Salwan Momika mkimbizi kutoka Iraq ambaye amekuwa akipewa vibali vya kuchoma Qur'an kama anavyopenda.
Momika anasema anataka azuie watu...
Hii ni theory yangu nimeiwaza kichwani, sijajua kama ina efficiency ya walau asilimia 98% ya kutoa accurate results:
Mfano umempenda mdada ambaye unaishi naye mtaa mmoja, college moja, darasa moja n.k mchunguze anapenda kinywaji gani especially soda za take away, mfano mdada anapenda Kunywa...
Habari za mda huu wakuu, Leo nimeamua kulileta suala Hili ili tupeane experience ya jinsi Gani unaweza kumtambua mdada kuwa ni mdangaji au Malaya. Kwa mimi binafsi huangalia vitu vifuatavyo,
1.nywele huwa Wana zibreach
2.huvaa vile viskin vya kubana, kirefu au kifupi
3.huvaa Yale masuruali ya...
Hapo kwa jirani zangu wa Love Connect wanafurahisha sana. Unakutana na uzi wa mdada ni H.I.V postive anatafuta mwenza wa kuendana nae ili wayajenge, matokeo yake unakutana na replay za pole na usijal utapata!
Ila ngoja ifike kesho, unakutana na uzi njemba inatafuta mwenzi ambaye ni H.I.V...
Mwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha zinajaa masizi.
Saloon unakuwa unazipita tu kama kituo cha polisi maana wewe nywele husuki bali unakata...
Husika na kichwa Cha habari hapo Juu, anahitajika Mdada mwenye Uzoefu na Kazi za Microfinance.
Sifa awe na Elimu Diploma ya Finance, Business Administration or Marketing. Awe na uwezo wa kufanya kazi bila kuhitaji kusimamia, Awe na uwezo wa Kutumia computer programm eg Excell , access, or...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.