Mheshimiwa Susan Kiwanga na wenzake Monica Nsaro na Aisha Luja wameshindwa kurithi nafasi ya Halima Mdee ya mwenyekiti wa BAWACHA kitaifa. Kwa msingi huo, Sharifa ambaye ni kama makamu mwnyekiti wa Bawacha-Zanzibar, ndiye amechukua nafasi ya mheshimiwa Halima Mdee ya mwenyekiti wa Bawacha taifa...
Wakati wa uchaguzi mkuu 2020 aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Kawe kupitia Chadema Halima Mdee aliutangazia umma kuwa amekamata mabegi yenye kura feki akasema hatotambua matokeo yake leo kaungana na waliomuibia kura.
Jana kwenye uchaguzi mdogo wa majimbo ya Muhambwe na Buhigwe.
Asubuhi: Zitto...
Sina hakika kama mahakama ya Tanzania inaweza kusema Rais wa JMT amekosea katika jambo fulani au iseme Rais anapaswa kushtakiwa kwa kuvunja katiba
Mahakama ya Kenya iko huru, inaweza.
Ingekuwa ni Kenya swala la Halima Mdee na wenzake lingekuwa dogo sana na huenda wasingekuwa bungeni kabisa...
Ulinzi wa ubunge wa akina Halima James Mdee na wenzake ulisimama katika mafiga matatu ya "kimkakati" yaani Spika, AG na DPP tena kikujuana zaidi.
Figa moja binafsi limetenguliwa lakini litaletwa figa lingine kiofisi zaidi.
Siku zote utatu mtakavitu ukitibuliwa kinachofuatia ni majanga...
Msafara wa Bawacha unatarajiwa kuondoka Geita kesho asubuhi kuelekea bungeni Dodoma kumshinikiza Spika Ndugai awatimue bungeni akina Halima Mdee na wenzake.
Ni msafara wa mabasi kadhaa ambapo mengine yataunga msafara njiani kama Kahama, Nzega na Singida huku Husna Said wa Chato akiongoza...
Taarifa zaidi zitawajia hivi punde
=====
Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021 .
Walioachiwa huru ni Watu 27 akiwemo Halima Mdee , ambaye ni Mbunge asiye na Chama chochote , wote...
Uwepo wa Halima Mdee na wenzake bungeni msingi wake ni barua ambayo Chadema wameikana kuiandika wao yenye majina ya wanawake 19 waliopelekwa bungeni.
Mchawi wa CHADEMA ni Tume ya uchaguzi wala siyo ofisi ya Spika wa bunge Mh Job Ndugai.
Kama Mdee na wenzake walighushiwa barua ya kuwaingiza...
Spika wa Bunge Job Ndugai, amemuagiza Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, kuandika barua ambayo ataambatanisha na katiba ya chama chake pamoja muhtasari wa kikao kilichofanya maamuzi ya kuwafukuza uanachama wabunge 19 wa chama hicho.
"Aandike barua...
Pamoja na kuwa Ndugai kawahakikishia kuwa atawalinda lkn ukiwaangalia machoni hawana amani kabisa mioyoni mwao, kwa vile ni vigumu kwao kurudi Chadema wanatamani aidha waache ubunge wawe raia wa kawaida au wajiunge CCM.
Tatizo kubwa linalowasumbua vichwani ni kupoteza ubunge wao, kungekuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.