Sakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao.
Majina yanayotarajia...
Leo Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kitafanyika ambapo pamoja na mambo engine kitajadili rufaa za Wabunge maarufu kama COVID 19. Ila tu watu wajiandae maana COVID nao wamejiandaa kumwaga mboga.
Iko hivi, wakati wa kuandaa orodha ya Wabunge wa Viti Maalumu, kuliandaliwa orodha rasmi ikiwa na...
Si Jambo dogo kumzungumzia gaidi mbele ya Marekani, Uingereza, Ufaransa na wakakuelewa. Kwao gaidi hatakiwi kuishi.
Mbowe aliposhtakiwa na Ugaidi tuliona serikali za nchi hizo kufuatilia kwa karibu kesi hiyo na yote si kwa Sababu wanaipenda Sana CHADEMA au Mbowe ila ni kuhakikisha usalama...
Ukiangalia kwa makini utaona CHADEMA ni Chama dhaifu sana ambacho hakina dira yoyote zaidi kutanguliza siasa za kibabe, maslahi binafsi, ukabila,ukanda na siasa za utoto utoto tu!
CHADEMA kwa zaidi ya miongo mitatu (miaka 30) imeshindwa kabisa kujenga taasisi imara yenye mifumo imara na chain...
Chadema ya Lisu na Mbowe iliyakataa matokeo ya uchaguzi wa 2020 mpaka Leo hii hawajatengua kauli yao.
Akina Halima na wenzake kama wanawake walitumia fursa Yao ya upendeleo kwenda bungeni badala ya kuiacha fursa hiyo ipotee au ichukuliwe na CCM.
Kuwafukuza wabunge hao wanawake kutoka bungeni...
Spika Ndugai amesema uongo muda mchache uliopita haikuandika barua kwake kumtaarifu juu ya kuwafukuza uanachama wabunge waliofanya utovu wa nidhamu na kukiuka maadili ya chama. Huu ni ushahidi walipokea toka 14 Mei 2020
Chanzo:John Mnyika on twitter.
Zaidi soma: Naibu Spika Dkt. Tulia: Jesca...
Ni taarifa rasmi iliyotolewa na CHADEMA kuwa Halima Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa CHADEMA kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda dhidi ya chama chao. Walifukuzwa na Kamati Kuu ya chama hicho.
Ikaripotiwa na hata kusemwa na mmoja wa waliofukuzwa uanachama Bungeni Dodoma (Jesca Kishoa)...
Sometimes tunapohiji uhalali wa kisheria
wa ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18, huwa najiuliza ina maana wabunge wa CCM waliopo Bungeni ni halali?
Mimi naamini 2020 hatukuwa na uchaguzi, hivyo hata wabunge wa CCM na serikali nzima si vyombo au taasisi halali, kwahiyo kutegemea Spika atasema...
Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari. leo Februari 14, 2022 ameeleza kuwa Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali:
“Uharamu haupo kwasababu hawezi kuwa haramu halafu akawepo mule ndani. Nchi yetu inaendeshwa Kidemokrasia na Kisheria. Jambo moja tu...
Halima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika.
"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika, hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya, sisi ni...
Nadhani huu ni mkakati bora kabisa ambao utasisimua siasa kuelekea 2025, utaua women wing ya chadema na hata ya vijana. Halima Mdee na Easter Bulaya na troop nzima ya wanoitwa Covid ni "dhahabu" ya kisiasa inayomezewa mate na CCM, japo chadema wamekomaa kuwachafua, wamebalansi hali yao...
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema imekuwa utamaduni wa Serikali kuwafukuza Wamachinga kwenye maeneo yao ya biashara na kuwapeleka pembezoni, na maeneo ambayo sio wezeshi kufanya Biashara.
Amesema, "Kuthibitisha Serikali haijali kundi hili la Wafanyabiashara wadogo hata kwenye Mpango...
Mtoto anaitwa Seven Adeoluwa Akinosho
Naaam, mtoto kuingia nchini siku yoyote kukabidhiwa rasmi uchifu.
Hongera dada la dada Vanessa Mdee na shemu yetu
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo kikiwa kwenye maandalizi ya Baraza Kuu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amekitaka kitoe maelezo ya kina kwa nini kiliwafukuza uanachama wanachama wake 19 ambao ni wabunge wa viti maalumu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 14...
Baraza Kuu la Chadema litaketi muda wowote baada ya viongozi wakuu wa chama hicho kumaliza ziara ya vikao vya ndani waliyoifanya zaidi ya mikoa 20 ya Tanzania Bara na Zanzibar.
Pamoja na majukumu mengine, Baraza Kuu la Chadema ndilo lenye jukumu la kusikiliza na kutoa maamuzi juu ya rufaa za...
Halima Mdee nje na ndani ya ukumbi unasutwa. Hata uongee point vipi ni pointless.
Kusutwa na mwanamke mwenzio ni aibu.
Ushauri wangu Jiuzulu Ubunge, kaombe msamaha kwenye chama chako.
Ndugai 2025 ni mstaafu, nani atakukingia.
Mh LUCY MAYENGA Hongera sana kwa kusema ukweli na kuonyesha wazi...
Huenda uwepo wa wanachama waliofukuzwa chadema almaarufu covid-19 ni mojawapo wa sababu za Rais Samia Suluhu Hassan, kuchelewa kutimiza ahadi yake ya kukutana na chadema. Kwa utambulisho wa Nusrat Hanje jana jijini Mwanza kama mbunge wa chadema hii inaashiria mama anawatambua hao covid-19...
Mbunge wa Momba, tena wa chama chetu cha CCM, amedhalilishwa Bungeni. Ametolewa nje ya Bunge kwa aibu kuu akiambiwa kuwa 'hajavaa vizuri'. Amri ya kutolewa nje kwa mwanamama huyo Mbunge wa Momba ilitolewa nawe Spika Job Ndugai. Ni baada ya kuombwa muongozo na Mbunge Ameir akidai kuwa mwanamama...
Katika Awamu hii ya Mama Samia , ingalau Rais anajaribu kurudisha conscience ya jamii, kisiasa kuheshimu ukweli na uungwana.
Suala la Mdee na wenziwe 18 kuwepo Bungeni kwa barua za kughushi linamuondolea heshima Ndugai.
Leo akisimama na majoho yake ati kutetea ukweli wa kitu fulani au issue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.