Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.
Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini...
Ukweli ni kwamba kutokana na sakata hili hata wale wanaanchi waliokuwa bado na imani kidogo na hili Bunge, sasa nao watapoteza imani hio kidogo waliokuwa nayo na matokeo yake Bunge zima litadharaulika.
Watu lazima watajiuliza wabunge wa kubebwa na serikali(dola) watakuwa na uthubutu gani wa...
Hivi inakuwaje unakuwa na uchungu Mdee na kundi lake la wanadada 19 kuwa wabunge hata kama wanazama mjengoni kimazabe? Hii ndio sababu ya kukupain mpaka mshipa wa koo unataka kukukatika!
Mbona mnashabikia upuuzi usio na tija yaani bil 11 na ushee zinatumika kushuti filamu ya kawaida kabisa...
Leo Spika angekataa kuwavua ubunge akina mdee Chadema wasingeweza kwenda mahakamani kupinga uamuzi wake. Kupitia Sheria ya kinga kwa spika Basi mahakama isingeweza kabisa kuingilia maamuzi yake. Kunasheria zilitungwa ili kutumika kwa wapinzani tu. Mfano ile iliyoweka zuio la Spika kushitakiwa...
Baadhi ya Wabunge 19 walio na mgogoro walikuwa wanakubalika Sana mtaani.
Toka wapate Ubunge wameondoka majimboni na kwenye mitandao ya kijamii, wamefifia kwenye bunge na mtaani.
Leo Bungeni spika alipotangaza waendelee na Ubunge nikasikia vifijo na nderemo kutoka ccm nikajiuliza siyo Hawa...
Tumetoka kuondoa kesi mahakamani dhidi ya Mbowe serikali ikiwa imechafuka, utaratibu wa kuondoa kesi hiyo ukiwa na maswali mengi KUHUSU uhusika wa viongozi wakubwa. Tumejisafisha lakini Bado atujatakata.
Hali ikiwa Tete tumeingia Tena kwenye mgogoro wa ajabu usiohutaji kujadiliwa. Usiotoa...
Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
HALIMA NA WENZAKE 18 WANALINDWA NA KIFUNGU HIKI
Spika wa Bunge Bunge_tz Dkt. Tulia Ackson ametaja Vifungu vya Sheria vinavyowalinda Wabunge 19 wa Viti Maalum wa ChademaTz kuendelea licha ya kuvuliwa Uanachama
Dr Akandunduma anasema mfumo wa sheria wa Tanzania una mapungufu mengi ndio sababu Katoliki na Bakwata wana Mahakama zao
Dokta anasema Halima Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama na Chadema hivyo wanachopigania mahakamani ni kurejeshewa uanachama.
Suala la ubunge ni lingine kabisa tena ni...
Wakuu Habari!
Leo nimeona tujikumbushe kidogo na lile sakata la Escrow jinsi watu walivyoifaidi na wanaoendelea kuifaidi nchi hii bila kuguswa.
Kipindi ambacho Bunge ni Bunge hasa sio hili la sasa lilopoa kabisa. Inasikitisha Ila ndo vile tena Aluta kontinua.
Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawapo la kozi ya sheria pale UDSM.
Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa "the voices from within" na Maswali Fikirishi.
Angalizo la Mambo ya Sauti.
Kuna mambo ni yetu, na mambo mengine sii yetu, mambo ambayo ni yetu, unaweza kuuliza, lakini kwa mambo ambayo sii yetu, huwezi kuuliza, miongoni mwa mambo ambayo sii yetu ni...
Mwaka 2014, Zitto Kabwe aliitwa na Kamati Kuu ya Chadema akitakiwa kujibu tuhuma za usaliti dhidi ya chama lakini hakuitikia wito huo.
Badala yake Zitto kupitia kwa wakili wake Arbert Msendo alifungua kesi Mahakamani akiomba zuio la muda asivuliwe uanachama wake ambapo mahakama ilikubali...
Swala la Halima linasikitisha na kufundisha pia. Halima wengi tunamfahamu kama shabiki kindakindaki wa CHADEMA tangu akiwa university nilipomfahamia Mimi.
Wengi tunayafahamu yaliyotokea kwenye uchaguzi 2020. Ni mjingaa pekee anaweza kusema kwamba hawa Covid 19 waliingia bungeni kwa baraka za...
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA mh Benson Kigaila amesema amekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika wa Bunge leo saa 2:42 asubuhi
Barua amekabidhiwa Katibu muhtasi wa Spika kea dispatch
Source: ITV
Baada ya Baraza Kuu la Chadema kutupilia mbali Rufaa zao na kuthibitisha kuwafukuza uanachama wa Chadema, Halima Mdee na wenzake hawatathubutu kwenda Mahakamani Kwa sababu zifuatazo;
1. Watakuwa na maswali mengi ya kumjibu Kuhusu walivyoupata huo Ubunge wao, Nani alisaini nyaraka zao, Nani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.