Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge.
Huwezi kula usichopanda.
Maana hiki chama kikiona fedha huwa kinasisimuka
Leo 11:25hrs 05/13/2022
Guru la Sheria nchini Tanzania,na Mwanasiasa nguli wa karne hii, Halima Mdee na magalacha wenzake 19 sasa wamefikia Phase IV ya "the art of political war" kama inavyotafsiriwa kwenye stage 10 za Communist party of China,wakati Baraza Kuu la Chadema likibakia phase III ya...
Wakuu nimetuliza sana akili na kufikiria kauli ya Mbowe kwamba alimwomba aachie ubunge kwa madai kwamba tayari alishamtafutia ajira ya kulipwa USD 15000 kwa mwezi. Kuna maswali kadhaa nimejiuliza nikaona nilete thread hapa huenda tukapata majibu yaliyojaa facts toka kwa wafuasi wa Chama Cha...
CHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.
Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.
Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.
Poleni,
life is hard, byee.
"Freeman Mbowe aliamua kutafuta huruma tu kwa wajumbe wa Baraza Kuu kwa kunitajia wazazi wangu, hajawahi kuzungumza na wazazi wangu hata siku moja kuhusu sakata hili, Nilisikitika, na sikuwa na nafasi ya kujibu," kauli ya Halima Mdee mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kusema...
Dodoma. Baadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiingia bungeni tayari kuendelea na shughuli za Bunge jijini Dodoma, leo Ijumaa Mei 13, 2022.
Jumatano ya Mei 11, 2022 Baraza Kuu la Chadema lilitupilia mbali rufaa za wabunge hao 19...
Leo gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa akina mdee wameonekana bungeni.
Na Mnyika nae akapost kuwa Barua ilishafika kwa tulia.
Swali kwanini wanawang'ang'ania hao Covid19?
Najiuliza maswali mengi nashindwa kupata jibu,hivi Halima Mdee nini kilichomsibu,siamini kama ni tamaa za ubunge au kuna kingine cha ziada, huyu alikuwa Mwenyekiti wa Bawacha mtu mkubwa ndani ya chama ,akizunguka Tanzania na nje ya tz kukipigania chama.
Hawa wenzake walimpa nini mpaka...
Samia hataki uhuni kwenye serikali yake. Anataka haki bin haki itendeke kwa watu, taasisi na vyama vya siasa.
Sitegemei kuona sarakasi za kihuni za akina Mdee zikilelewa na kukumbatiwa na mahakama iliyojibebea umaarufu kwa kutenda haki ktk kesi ya aliyekuwa DC wa Hai Sabaya.
Kwahiyo wale...
Chadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa
Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba mahakama irejee maamuzi ya baraza kuu
Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu mama Henga amesema...
Heshima sana wanajamvi,
Baada ya Wabunge 19 kutimuliwa chamani, ahadi yao ya kupewa ulaji mkubwa na heshima kubwa ipo wazi ni suala la muda tu.
Ni wazi Halima Mdee ni kiongozi wa kundi la wanawake walioamua kujipeleka Mjengoni pasipo ridhaa ya chama wala baraka za viongozi wakuu. Ni wazi pia...
Kufuatia Baraza Kuu la CHADEMA kutupilia mbali rufaa ya Wabunge 19 wakiongozwa na Halima Mdee, kauli za majibizano baina ya pande mbili zimeendelea kutolewa, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amewaambia waliofukuzwa kuwa waache mambo ya kihuni.
Awali Mdee alinukuliwa akisema...
Wanawake mashujaa wa CHADEMA waliofukuzwa kihuni, Halima Mdee na wenzake bado wana nafasi ya kuipata haki yao.
Nawashauri waende mahakamani kuipata haki yao.
Kilichotokea kwenye mchakato wa kuwafukuza uanachama ni uhuni kwa kuwa katiba ya CHADEMA haikufuatwa tangu kikao cha CC ya chama...
Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo ni uhuni. Na Mbowe anajua ni Uhuni. Nitaongea siku nyingine kwa Urefu leo sio siku mwafaka. Mimi...
Wakati akina Halima Mdee wanakuja ukumbini, walisindikizwa na wanawake Kama 30 ambao sio wajumbe wa mkutano, wakawa wanaimba tunamtaka Halima wetu.
Hilo lilikuwa dosari kubwa Sana. Hata Kama Kuna wajumbe wa baraza kuu walikuwa na lengo la kuwasamehe baada ya kuona kile kitendo, wakaamua...
Katika makosa ambayo Hayati Magufuli aliyafanya kwa kujua au kutojua ni kutoa vyeo kwa wapinzani wanajiunga CCM kutokea upinzani. Ni ukweli usiosemwa lakini unawaumiza wanaCCM, watu walioshirika kupunguza kura leo wanafikiriwa zaidi.
Kuna wale wabunge 19 wa CHADEMA ambao maamuzi pengine...
HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA
Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila baraka za chama
======
UPDATE:
Halima...
Kazi ya mwanasiasa ni kufanya siasa.
Maamuzi ya mwisho ya kuwavua uwanachama wa CHADEMA wabunge Halima Mdee na wenzake 18 baada ya rufaa yao kukataliwa, huenda yakawatoa rasmi kwenye siasa za vyama, hivyo kulazimika kutetea ubunge wao mahakamani kwa ajili ya kusogeza siku mbele kuelekea 2025...
Zikiwa zimesalia saa kadhaa mkutano wa baraza kuu la Chadema Kuanza,wabunge 19 wa bunge la Jamhuri ya Muungano wanaotokana na Chama hicho wamewasili maeneo jirani na kunapofanyika mkutano huu hapa Mlimani City.
Awali kulikuwa na sintofahamu ikiwa watahudhuria mkutano huo,walioalikwa kwa barua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.