Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yesaya (A.Y), ameeleza mtazamo wake kuhusu mjadala wa “mdundo wa taifa” katika mahojiano na kituo cha redio cha East Africa Radio, Aprili 10, 2026 akisisitiza kuwa muziki hauwezi kulazimishwa kuwa na mwelekeo mmoja bali hujijenga na kukua kiasili.
AY...
Wakuu!
Hivi suala la Mdundo wa Taifa limeishia wapi? Au fedha za Watanzania zilitumika bure?
Kamati iliundwa, ikazunguka nchi nzima kukusanya sampuli na elements kutoka kwa kila kabila, juhudi zilizolenga kuunda Mdundo wa Taifa, utambulisho wa kipekee wa muziki wa Kitanzania. Lakini Je, huu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.