Naona kabisa moja Kati ya redio iliokuwa na power Sana kwenye enteinment Ni hii.Ukiangalia miaka ya nyuma ukipita nyumba 7 basi Kati ya hizo 5 utakuta zinasikiliza clouds fm ila kwasasa hiv Hali ya imebadilika clouds imepata ushindani mkubwa kutoka Wasafi media na Efm ila hasa hasa Ni Wasafi...