Kwa sisi tunaotumia majina yetu na CV zetu halisi tumeweka wazi, humu ndiyo connections zinapoanzia unakuta linked link, kuna anaekuhitaji akiona CV anakuunganisha mara umepata mchongo.
sasa kuna wale anakuona jina lako anakumbuka mlisoma wote Wailes, ana request friendship, unamuona ni Queen...