media

  1. ngara23

    Taarifa za habari kutoka kwenye media zetu zinaboa sana

    Yaani miaka nenda Rudi ukitazama ITV, TBC, ZBC, clouds, wasafi Habari ni zile zile za matatizo. 1. Video 2. Watu kutekwa 3. Mafuriko. 4 Matatizo ya maji 5. Mlipuko wa magonjwa, kipindupindu, suala 6. Upungufu wadawa 7. Ugomvi wa wakulima na wafugaji 8. Ufisadi. 9. Ubakaji 10 Njaa n.k 11...
  2. Jamii Opportunities

    Social Media Moderator- Long-Term Consultancy (Individual Consultant) at Girl Effect September 2024

    Job type: Full-time Who We Are Girl Effect is an international non-profit that builds media that girls want, trust and need. From chatbots to chat shows, TV dramas to tech, our content helps adolescent girls in Africa and Asia make choices and changes in their lives. We create safe spaces...
  3. ukwaju_wa_ kitambo

    Support ya media kwa wasanii wa hip hop jijini Mwanza

    MOVEMENT YA HIP HOP KUPITIA MEDIA ZA MWANZA. Mwanza kupitia Radio Free Africa na Kiss FM walifanya mapinduzi makubwa sana kwenye kuiendeleza Hip hop na hii waliifanya makusudi ili kutoa ile dhana kwamba ukiwa Dar ndio utatoka kimuziki. Kwenye harakati hizi za kuhakikisha Hip hop inafika mbali...
  4. Phovix

    Mtaalamu wa matangazo, graphics, branding & social media management

    Bila Shaka Haujambo Na Unaendelea Vizuri! Kwa Majina Mi Ni Max Ernest Ni Mtaalamu Wa Graphics, Branding & Social Media Management. Nimebarikiwa Zaidi Katika Uandaaji Wa Matangazo! Hapa Namaanisha Matangazo Mazuri Ya Video Na Sauti! Kulingana Na Uzoefu Katika Industry Hii Sifa Nyingi Na Namna...
  5. Pascal Mayalla

    Big Up, TRA Kutumia Media Kuelimisha Umma Elimu ya Kodi na Umuhimu wa Kodi Kila Mtu Alipe Kodi. Je Wajua Viongozi Wetu Wakuu Hawalipi Kodi?. Kwanini?!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo 1/09/2024 Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na swali, hoja kisha jibu utatoa wewe mwenyewe. Mada ya leo ni pongezi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kuwatumia wahariri...
  6. Fredrick Nwaka

    Vipindi bora vya habari kwenye media za Tanzania

    Media za Tanzania zimepitia mabadiliko kadhaa yanayotokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Hivi ni vipindi vya habari ambavyo vinanivutia kwenye media za Tanzania. 1. TBC 1 Aridhio 2. TBC 1 Aridhio 3. TBC 1 Aridhio 4. KAIFA ya TBC Taifa 5. Mirindimo ya asubuhi TBC Taifa 6. Dira ya mchana...
  7. Dalton elijah

    Azam Media yatakiwa kulipa Million 100 Kwa Chief Fred Uisso

    Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu, imeiamuru kampuni ya Azam Media Group Ltd kumlipa kiasi cha shilingi milioni 100 mpishi maarufu nchini Master Chef Fred Uisso maarufu kama ‘Mzee wa Maspatasapta’ baada ya kushinda kesi dhidi yake na wenzake watatu baada ya kampuni hiyo kumtangaza mpishi huyo...
  8. BLACK MOVEMENT

    Kuna Tengua, Hamisha, teua usiku wa leo, lengo kuzima mjadala ya CHADEMA

    Nimepenyezewa habari kutoka chanzo cha kuaminika kabisa kabisa kwamba usiku wa leo, kuanzia mida ya saa 3 usiku kuna mkeka utatoka huo mkea haukuwa kwenye mpango wa Samia ila ni maalumu kwa ajili ya kudivert habari za CHADEMA Mkeka umeanza kusukwa tangu juzi baada ya seke seke la Mbeya na...
  9. S

    Media zikiendekeza ujinga huu familia nyingi zitasambaratika, taifa litajaa wahuni.

    Wanaume nao watajitokeza kulalamika kuwa walibakwa na wake zao. Na itakuwa vipi watoto wakiyasikia ama kuyasoma malalamiko haya ya wazazi wao? N. B . BTW ashakuwa bibi, hii hadithi yake ni ya 2003.
  10. realMamy

    Baadhi ya media siku hizi hazina vitu vya maana. Viongozi mko wapi?

    Ni uhuru umezidi au? Yaani watoto wanajifunza nini Jamani? Ukijaribu kuwaza kuwa wanamaanisha nini hata huwezi kuelewa. Mambo ya ajabu ajabu yamezidi hakika. Yaani kipindi kinaendeshwa siku nzima hakuna la kujifunza. Viongozi mko wapi? Ifike mahali Viongozi washushe Rungu Lao.
  11. Mturutumbi255

    Je, Clouds Media Imevunja Sheria kwa Kuonyesha Simba na SportPesa Pamoja?

    Kama picha inavyoonyesha hapa chini,tunatambua kwasasa Timu hizi mbili Simba na Yanga zina wadhamini wao tofauti kabisa.Simba kwasasa inadhaniwa na M-bet na Yanga inadhaniwa na Sportpesa. Kitendo cha Clouds kupost picha huku ikionyesha timu zote mbili zinadhaminiwa na Sportpesa kitu ambacho sio...
  12. D

    Ni msimuliaji gani kwenye online media ambaye yuko vizuri kwenye simulizi za Kijasusi na Intelijinsia??

    Napenda sana kufuatilia hadithi za ujasusi na Intelijensia ni Msimuliaji gani aliye bora katika eneo hili? Na katika digital platforms anapatikana kwa jina lipi?
  13. mirindimo

    Yanga Digital Media acha kushambulia watu binafsi kwa maslahi ya Yanga

    Kupangaia mtu wa mwana habari aandike nini wapi saa ngapi kuhusu Yanga hii sio sahihi, endesha mambo ki ethical usiweke emotional binafsi wewe unawakilisha taasisi unapovamia mtu ni sawa tuone kua taasisi inavamia mtu na kushinikiza isikilizwe vile inataka. Kama mlimlipa sawa mna haki ya...
  14. kajamaa kadogo

    Meena Ally wa Clouds media na Aaliyah Mohammed wa Wasafi media yupi ni Presenter Mkali?

    Tasnia ya habari hasa upande wa Ma-presenter wa kike naona bado hakuna wale wa kukiwasha sana atleast hawa wawili wamejitahidi sana pia wana-knowlegde ya mambo mengi tofauti na wengi Mwana Jamiiforums yapii maoni yako kwenye ili yupi ni mkali hapa 🎤 🎙️ Meena Ally(Clouds FM) Aaliyah...
  15. BabaMorgan

    Crown Media ni kama wamepania sana

    Team ya Crown Media ni kama wapo serious na kazi kama watakuwa na consistency kwa muda mrefu basi ni wazi kuwa atachange tasnia ya media bongo Tz(game changer). King Kiba anastahili kupewa pongezi kuanzisha project kama hii sio jambo dogo licha ya uhitaji wa rasilimali muhimu kama fedha pia...
  16. Ghost MVP

    Namna Wadukuzi wanavyoweza Kudukua Account zako za Social Media

    Usifate maelekezo Kutoka kwa Watoa huduma 'FAKE' Njia kubwa wanayoitumia Kwa sasa ni hii Mdukuzi hukutafuta kama Mtoa Huduma kutoka katika Kitengo cha huduma kama instagram, facebook na mitandao mengine ya kijamii, wakikutaka Uthibitishe Taarifa zako ili 'Account' yako isifungiwe. Watakupatia...
  17. kavulata

    Online Media zinazoongoza Tanzania kwa kuaminika taarifa zake mitandaoni

    Online Media (tv na radio) ni nyingi sana humu mitandaoni. Watu wanapata taarifa mbalimbali kwa haraka kupitia vyombo hivi kuliko Redio na Television za kawaida. Instagram na YouTube ndio mitandao inayotumika kupata habari na taarifa nyingi za vyombo vingi vya habari. Lakini Kuna social media...
  18. BARD AI

    Is social media emerging as the primary platform for holding politicians accountable?

    In an event that brings to light the evolving role of social media in political communication, Kenya’s President William Ruto on Friday, July 5 apologized for police brutality during an online forum with anti-tax protesters on X formerly known as Twitter. The apology came in response to a...
  19. K

    Mabomba ya maji kutoa matope; Media zimenyamaza kimya!

    Media ya Tanzania haisaidii jamii kazi yake kubwa ni uchawa tu! Yaani huku Tegeta maji yana matope kabisa lakini hakuna hata media moja inajadi badala yake wanajali Msigwa na upuuzi mwingine tu wa kichawa. 🙉
  20. Nyamwi255

    EFM sio media ya kurusha simulizi za aina hiii zisizo na maana

    Kipindi cha genge kinachoruka kuanzia saa 3usku mpaka saa 5 usiku, mnamo tarehe 19 na 20-024 Kilirusha simulizi ya mwanadada Natasha katika segment ya NIAZIME SIKIO. Simulizi ambayo ilikosa maadili. Kwenye simulizi hiyo ambayo msimuliaji ni mwanadada natasha alisimulia jinsi alivokutana na...
Back
Top Bottom