media

  1. jingalao

    Ni wakati sasa kwa media za Tanzania kuonesha ubora wa nchi na sio majanga na vitimbwi!!

    Sijaelewa ni nani aliyewafunza waandishi wetu wa habari yaani Taarifa za habari kwenye T.v ,redio na magazeti zimejaa habari za majanga tu hakuna ubunifu. Kwa asilimia kubwa yapo mema yanayotokea kwenye jamii kwanini sasa jamii inalishwa taarifa za vitimbwi na majanga tu? Huu ni upuuzi na...
  2. kavulata

    Azam media haina sifa ya kuidhamini ligi ya Tanzania

    Azam media imeshinda tender ya kuidhamini ligi kuu kwenye matangazo, ingawa hatujui ilishindanishwa na kampuni zipi za habari. Azam groups wanamiliki timu ya mpira inayoshiriki ligi kuu pia lakini Ina watangazaji, waandishi na watendaji ambao wanashindwa kutenganisha kati ya kazi ya kuidhamini...
  3. NALIA NGWENA

    Azam Media waomba Radhi kwa wadau wa mpira kwa kurusha interview ya Mahojiano na aliyekua mchezaji wa Yanga Sc Fiston kalala Mayele

    Azam media wameomba Radhi mashabiki, uongozi wa Yanga Sc na wadau kwa ujumla. --- Azam Media Limited imepokea mrejesho kuhusu mahojiano yetu na Fiston Mayele, aliyewahi kuwa mchezaji wa Young Africans Sports Club. Tumejiridhisha kuwa Young Africans Sports Club haikupewa nafasi ya kujibu hoja...
  4. M

    Clouds Media, watangazaji wenu wapimeni kilevi

    Nikiwa kwenye foleni nzito ya Jumamosi ya Jana iliyotokana na Mvua za Dar es Salaam, nimetune 88.5 mbele hapaendi nyuma hapaendi. Gafla bin vuu kinaenda kuanza kipindi cha Rhumba saa 5/6 usiku. Mtangazaji DAKOTA anaingia studio anakarbishwa na wenzako kijiti, anapayuka mnifungulie Mlango...
  5. Nehemia Kilave

    Ni aibu kwa Media, Waziri na Wachambuzi wa Michezo kutoa maamuzi Goli la Yanga bila kujiridhisha

    Mpira ni kitu cha Duara hivyo unapotua chini ni sehemu ndogo tu ya mpira inagusa ardhi sehemu kubwa inakuwa hewani . Kwa maana nyingine ukiwa upande mmoja unaweza ona mpira umevuka lakini ukiangalia kutoka juu ukawa bado haujavuka wote . Na kwa maana rahisi ni kwamba VAR pia haiwezi kuwa...
  6. muafi

    Kuna kitu hakipo sawa kati ya Àzam Media na TFF

    Licha ya Ligi ta azam confederation cup kupata mdhamini mpya CRBD Bank na ligi kitambulika rasmi kama CRDB bank Federation Cup, Azam wamegoma kuitambua benk ya CRDB katika ligi hiyo! TFF ligi wanaitambua kama CRDB bank Federation cup,. Azam ligi wanaitambua kama Azam federation cup! je ni i...
  7. L

    Mwina Kaduguda: Simba wakitaka kuifunga Al Ahly ni lazima washirikishe watu wengine

    Mwina Seif Kaduguda, a socio- scientist cum Journalist anaijua Simba nje na ndani hivyo haiitaji saana kumuelezea. Leo akiongea na Wasaf Fm huku akichagizwa na Mnazi wa Yanga Maulid Kitenge amediriki kusema kuwa Yanga ina umoja sana kuliko Simba. Alisema Yanga inacheza mpira mkubwa sasa...
  8. Tajiri wa kusini

    Hizi media house zinazopiga kwaya asubuhi hawaoni kuwa ni udini? Wakristo wengi tunachukizwa sana

    Nyie media house ambao kutwa adubuhi na mapema mnaanza na kupiga kwaya za kikristo mnatukera na mnatuchukiza sana sie wakristo na tunaona huo ni.udini mkubwa sana kwanini hata siku moja moja mkaweka mawaidha mtapungukiwa nini? Hamuoni huo ni udini Sisi kanisa ni mwanzo na mwisho kuanzia leo...
  9. Nifah

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Wakurugenzi wa Wasafi Media, Joseph Kusaga na Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ wanaripotiwa kukosa maelewano kati yao juu ya uendeshaji wa media hiyo inayomilikiwa na wawili hao. Chanzo ni TRA Diamond ambaye amekuwa akitafutwa na maafisa kodi kwa muda mrefu, huku yeye akitumia 'janja janja'...
  10. N

    Social media BOUNCER

    Habari zenu wanazengo. Moja kwa moja nijikite kwenye hii maada aisee ukisitaajabu ya musa utaona ya farao,na mengine mengi. Hizi social media zote zinawatu waajabu sana,hata huku jamii forums kuna watu waajabu sana. Kuna watu wapo nyuma ya button za simu wanajiona mabouncer hata kwenye mkono...
  11. F

    Kwenye biashara usiogope majina makubwa yaliyokutangulia; Hill water, mabasi ya Tilisho ni somo kubwa la kuingia sokoni ukiwa mpya

    Watu wengi tunaogopa kuanzisha biashara fulani kwa kuogopa kwamba ma giant wameshajaa hivyo hatutapata wateja. Soko la maji ya kunywa lilikuwa limetawaliwa na kilimanjaro, kila sherehe ya harusi utakayoenda maji unakuta Kilimanjaro. Kila hotel kubwa ama bar kubwa maji unakuta kilimanjaro, leo...
  12. BARD AI

    Clouds Media yamteua DJ Fetty kuwa Msimamizi Mkuu Mzaidizi wa Maudhui

  13. Raia Fulani

    Wakatoliki mnakwama wapi kwenye media?

    Ukweli ni kwamba nipo home naperuzi stesheni za TV. Ukija clouds unakutana na chomoza, ukurudi chanel ten yupo Mwamposa. TVE yupo kuhani Musa. Wasafi yupo tena Mwamposa. Naperuzi zaidi nakutana na Upendo TV ya walutheri. Sasa Jumapili natoka kanisani kazi yangu ni kutazama maudhui ya madhehebu...
  14. Jamii Opportunities

    Graphic Designer and Social Media Officer at Gaini Company Limited (GCL) February, 2024

    Position: Graphic Designer and Social Media Officer Employment Condition: Full Time Job Gaini Company Limited (GCL) is among the leading Building Material and Hardware items sellers in Lake Zone, Dodoma and Dar Es Salaam regions. The company is now expanding to Southern Highlands and Northern...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Admin wa Mashujaa FC yuko ni mbunifu kuliko Maadmin wa Social Media zote za michezo nchini, tumpe maua yake

    Tumewafikia wachimba dhahabu
  16. Jamii Opportunities

    Commercial mentor – trainer at BBC Media Action February, 2024

    Position: Commercial mentor – trainer Location: Tanzania Reports to: Senior commercial mentor – trainer Duration: 9 months Special requirements: The right to live and work in Tanzania. Fluent in English and Swahili with ability to write reports in these languages. The post...
  17. M

    Nandy tafuta hela uanzishe media station

    Nikimuangalia Nandy namuona kama mwanangu kwa umri wake. Ni msanii mwenye kipaji kikubwa sana na pia ndiye msanii pekee wa kike nchini mwenye Personality nzuri sana. Ninatamani kuona siku moja akijikomboa kwa kuanzisha media station yake NA HAKIKA INGEBAMBA SANA kuliko Wasafi media. Nimeshauri...
  18. Jamii Opportunities

    Finance Manager at Media Council of Tanzania February, 2024

    Position: Finance Manager Reports to: Executive Secretary Overall Responsibility: To ensure that accounting and financial management of MCT’s operations are in strict compliance with MCT financial policies, regulations, procedures, donor agreements, IFRSs/ IPSAs and best practices. Provide...
  19. B

    Kwanini CCM ya Sasa Imekosa Watetezi kwenye Social Media Mithiri ya Cypirian Musiba na akina Zack wa Twitter?

    Katika hali ya kushangaza kumetoka aidha mgomo au chama kimekosa Mvuto kabisa. Wengine wanadai aaah wapi sio kukosa mvuto bali chama hakitoi maokoto kama zamani hivyo watu wanaovutwa na mafumba wamekikacha. Enzi za huko nyuma tulishuhudia social media zilizobamba kwenye anga la Tanzania...
  20. Roving Journalist

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa mgeni rasmi TASWA Media Day Bonanza 2024, Februari 10, 2024

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimeandaa bonanza maalumu la waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari nchini "TASWA Media Day Bonanza 2024" linalotarajia kufanyika Februari 10, 2024...
Back
Top Bottom