media

  1. A

    BBC media na Kanisa Katoliki

    Hivi hiki chombo cha habari cha Waangalican hakina habari za kuandika kuhusu dini duniani tofauti na za kanisa katoliki. Hiki chombo sioni kikiandika kuhusu angelican ambayo ndiyo maskani yake kabisa, au Buddha, Uislam, Tao au hata Zen n.k. Madhehebu ya dini ni mengi tu duniani lakini jamaa...
  2. blogger

    Media personnel anawezaje kuandika maneno kama haya mtandaoni na akabaki salama?

    Unawezaje tweza,dhalili,kashifu,tukana na kuuchafua UTU wa binadamu mwenzako kiasi hiki? Kwani huko kwenye media hakuna 'norms', 'rules of conduct'. Au shule ndogo , au mtu hajielewi tu. Au labda mtu anakuwa amevimba kichwa na kusahau kabisa kwamba yeye pia si kitu si chochote. Huwezi andika...
  3. Ngurukia

    Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

    Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji. Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia. Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi...
  4. Msanii

    Ukimya wa vyombo vya habari juu ya unyama wa wanajeshi dhidi ya raia huko Kawe

    Kufuatia tukio lq mauqji ya Luteni Kanali aambaye inasadikiwa alizozana na mwendesha bajaji na kupelekea ugomvi uliogharimu maisha. Imesemwa kuwa mruhumiwa ameshatiwa nguvuni akisubiri sheris kuchukua mkondo wake kuna vurugu zinaendelea Kawe ambapo baada ya shughuli za kuaga marehemu pale...
  5. N

    Media zetu igeni mfano wa media za Kenya

    Habari wana JF! Nimekua nikifuatilia media za Kenya expecially TV stations Citizen TV nikajifunza kua media za Kenya zina uzalendo mkubwa sana. Mfano kama kuna issue ya kitaifa hua wanafanya a national conversation, wanapeleka watangazaji kila pande ya nchi yao halafu watu wanatoa michango yao...
  6. GENTAMYCINE

    Ninapoisema Media za Tanzania na Wanahabari waache ujuha na kujipendekeza muwe mnanielewa

    Tafadhali GENTAMYCINE nakuomba tuliza kabisa Akili yako kisha isome hii taarifa ninayoiweka hapa chini mara mbili mbili na ukiimaliza nitashukuru nikipata mrejesho wako juu ya kile Kisichokuwa cha Kawaida ulichokigundua na Kilichoshusha pia Credibility ya hii Media ya Bamaga Dar es Salaam ya...
  7. Erythrocyte

    Hizi ndio mada chokonozi za Media za Tanzania, kazi ipo!

    Jisomee Mwenyewe halafu toa maoni yako.
  8. Pascal Mayalla

    Hongera Rais Samia kwa Ph.D Nyingine ya Heshima, Akemee Kuitwa Dr? Kuna Haja TCU/MCT/Maelezo Kutoa Ufafanuzi/Muongozo kwa Media Kuita Watu Dr?

    Wanabodi, kama kawa, kila nipatapo fursa huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni pongezi kwa Rais Samia kwa kutunukiwa Ph.D nyingine ya heshima, Je wajua mtu kutunukiwa Ph.D ya heshima, hakumfanyi mtunukiwa kuitwa Dr. as an official title? Ila ni rukhsa kuitwa Dr...
  9. F

    Watoto wa kishua walisumbua sana Dar miaka ya 90s. Via Social media na internet watoto wa uswaz wamepindua meza

    Habari wadau. Nimekumbuka Dar ya miaka ya 90s. Vijana waliokuwa wanatamba mjini ni wale wa kishua. Watoto wa o bey, upanga, mikocheni ndio walikuwa habari ya mjini. Viwanja kama bills, slipway, mikadi beach, coco beach walikuwa wanatamba wao tu. Vijana maarufu ni wale washua wanaosoma...
  10. G-Mdadisi

    Media stakeholders meet with Members of the Zanzibar Law Reform Commission

    Director of the Tanzania Media Association (TAMWA ZNZ), Dr. Mzuri Issa said it is important to adopt friendly media laws in Zanzibar that lead to the existence of freedom of expression and access to information in the society. She said that in meeting is during a meeting held at Takwimu House...
  11. Roving Journalist

    JOWUTA yaiomba Serikali kufikisha Mahakamani madai ya Wafanyakazi Sahara Media

    Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kimetoa maombi hayo baada ya kudai kupokea malalamiko kutoka kwa Wanachama wake kuhusu maslahi yao na haki zao ikiwepo kutolipwa mishahara, kutopewa mikataba licha ya kufanyakazi kwa muda mrefu, kufukuzwa au kusimamishwa kazi bila...
  12. GENTAMYCINE

    Gerson Msigwa sasa Upumzike kuongea na Media, kwani tayari Mobhare Matinyi Kateuliwa na anatosha

    Kwahiyo kuanzia sasa Wewe jikite tu na Kuhangaika na Shughuli za Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ukiwa kama Katibu Mkuu wake. Haya ya sijui kuita Media au Kuisemea Serikali, Kumsemea Rais Samia na hata lile Zoezi la Kugawa Mamilioni ya Motisha kwa Vilabu vya Simba, Yanga, Taifa Stars na...
  13. GENTAMYCINE

    Kama Makatibu Wakuu wa Wizara ni wale wenye Professions za Wizara husika kwanini Gerson Msigwa hajawekwa katika yake ya Media?

    Leo GENTAMYCINE a.k.a Kiboko Yao na Mfalme wa Uwasilishaji wa Mada ( Threads ) Mtambuka JamiiForums nitakuwa Msomaji zaidi wa Comments / Responses zenu juu ya Mada hii Kuntu na Husika.
  14. GENTAMYCINE

    Media za Kenya na Uganda zinaelezea Fursa za EAC Pamoja AFCON FINALS 2027 za Tanzania zinahoji kwanini jina la Kenya limetangulia!

    Halafu GENTAMYCINE nikiwa Kutwa naidharau Media ya Tanzania mnaona nakosea au siijui jinsi ilivyo rotten Professionally. Hivi kweli kama tayari nchi Tatu za Uganda, Kenya na Tanzania zimefanikiwa kwa pamoja kuandaa Mashindano ya AFCON ya mwaka 2027 kuna haja logically media ya Tanzania kuhoji...
  15. R

    Media za Bongo kimya, American Got Talent, Ramadhan Brothers

    Habari za asubuhi wapendwa. The Ramadhan Brothers kutoka Tanzania wametinga fainali,nashangaa media za bongo zinko kimya..Hakuna asiyefahamu American Got Talent ni moja ya mashindano makubwa Duniani. Hakuna support yeyote imeonyeshwa na media za bongo kuweza kuwahamasisha watanzania kuwapigia...
  16. BigTall

    Kampuni ya Hall of Fame Boxing yaishtaki Azam Media, yataka ilipwe Tsh. Bilioni 2 kwa kurusha maudhui kinyume na mkataba

    Kampuni ya Azam Media inashtakiwa Mahamani na Kampuni ya 'Hall of Fame Boxing and Promotion' ambayo inajihusisha na uandaaji wa mapambano ya ngumi za kulipwa wakiitaka iwalipe kiasi cha pesa Tsh. Bilioni 2 kwa kurusha hewani maudhui yao kwenye kipindi kinyume na makubaliano. Katika kesi hiyo ya...
  17. T

    Jerald Hando wa Wasafi Media amshambulia vikali Salma Said wa DW kwa kuponda tamasha la Kizimkazi

    Mtangazaji wa kituo cha redio cha Wasafi FM amshambulia mtangazaji wa kituo cha redio DW ya Ujerumani, kwamba huyo mtangazaji alikosea sana namna alivyoripoti tamasha la kizimkazi. Akizungumza katika kipindi cha asubuhi huku akikwepa kutaja jina la mtangazaji na kituo anachotangazia lakini...
  18. The Burning Spear

    Azam Media kama hamuwezi Kuvumilia habari za DW Acheni Kurusha..

    Leo nilikuwa sijapanga kuandika chochote hapa JF. ila hawa Azam media wamekuwa wadwanzi sana hasa upande wa radio UFM. Nimekuwa nikifuatlia trend yao ya urushaji matangazo ya DW siku nyingi mwanzo nilihisi ni bahati mbaya. Lakini nimejirizisha pasina shaka.kwamba wanafanya makusuidi huku...
  19. GENTAMYCINE

    Kwa wanaopinga Mkataba wa DP World vijiweni ila kwenye media wanasifia na kumsifia kwa kufuru Rais

    Tunakoelekea sasa Mheshimiwa Rais Samia tutakutajia Watendaji wako (hasa Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya) wenye Unafiki mkubwa ambao GENTAMYCINE huwa napata Taarifa zao kupitia kukutana nao baadhi, Wanafamilia Wao, Ndugu zao, Madereva, Wasaidizi Ofisini na Walinzi wao na hata...
  20. bongo dili

    Kiwango cha ujinga kimeongezeka sana Afrika, chanzo ni mitandao ya kijamii

    Ujio wa social media vijana wa Africa wanautumia in negative way tofaut na vijana wa mataifa mengine ili kupiga hatua za kimaendeleo. Yanayoendelea kwenye media hayana uhai kwa kesho ya Africa. Watu mengi ni uharibifu na uchafu tu wa akili kujaza saver ya akili uchafu tu ambao haujengi fikra...
Back
Top Bottom