media

  1. Mjomba Nchumari

    Biashara ya Online Media: Natafuta Patner

    Habari za kazi wakuu !! Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uhai na kuendeleza harakati za maisha, niko hapa kutafuta mtu aliye serious tufanye biashara ya Online Media. Mimi nina uzoefu wa miaka 5 kufanya kazi hizi ninaweza kuendesha (manage) page zote kuanzia Facebook, YouTube, Instagram...
  2. S

    Ni uchawa na uzwazwa wa media za hapa nchini kushindwa kurusha "live" kesi ya bandari kule Mbeya

    Kesi iliyofunguliwa na jopo la wanasheria wazalendo kule Mbeya kupinga mkataba wa bandari kila mtanzania ana hamu ya kufahamu nini kitaendelea mahakamani katika kesi hiyo. Lkn cha kushangaza media za hapa bongo zimekaa kimchongo, kichawa na kinafiki badala ya kujipanga na kurusha kesi hiyo...
  3. rutajwah

    INAUZWA Pata Logo na Social Media Posters kwa bei nafuu

    Habari wanajf, Kwa wanaohitaji huduma ya Logo/nembo kwa ajili ya Taasisi na Biashara Karibu nikuhudumie. Vile vile nadesign Social media Posters Kwa ajili Ya kupost kwenye page ya biashara/taasisi kwenye mitandao ya Facebook, Instagram, Linkedin etc. Bei za Logo ni 50, 000 TZSH Bei za...
  4. BARD AI

    B Dozen (B12) arejea Clouds Media Group

    Ni vibe la hela yote, ni shangwe za volume yote, ni cheers za glasi zote kwa Mashabiki, Wafuasi na Wa-Cloudsnia wote ndani na nje ya Tanzania leo baada ya Mfalme wa show za mchana Mtangazaji Hamisi Mandi maarufu kama B Dozen, B12, B Twangala kutangaza kurejea rasmi Clouds Media Group baada ya...
  5. Mr Why

    IPP Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana, bado mpo kizee sana

    Ipp Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana wafumue na kuunda upya vituo vyenye muonekano wa kushawishi vijana kutazama channel zenu kwasababu mpo kizee sana channel zenu zimekaa kizee ndio maana vijana wamewakimbia na kwenda Wasafi Media ninyi mmeabaki na wazee na vijana...
  6. Njegele

    Kuendelea kulalamika kwenye social media kuhusu bandari kutawashitua watawala?

    Kwenye social media kwa kiwango kikubwa mijadala ni kuhusu mkataba wa bandari. Sasa najiuliza hizi kelele tunazopiga kwenye social media zitasaidia kweli? Au tunajadili Ili kuriwadha mioyo yetu? Ikiwa tayari Tulia na rafiki zake wameshaafiki.
  7. SAYVILLE

    Clouds Media acheni uhuni, mahojiano yenu na Feisal Salum siyo professional!

    Baada ya kuangalia mahojiano ambayo Feisal Salum amefanya na Clouds Media, nimeshangazwa sana na kitendo chao cha kuachia mambo ya "off-air" yaruke hewani tena kwa muda mrefu. Kuna video ambayo imekuwa inasambaa ambayo inasikika Feisal akizungumza na Wakili wake pamoja na watangazaji wa Clouds...
  8. Advocate_Silayo

    The Influence of Social Media on Global Connectivity and Personal Accountability

    Since the inception of social media, it has become an easy and convenient way for people to connect quickly, even if they are far apart. Today, someone living in Tanzania can speak and see someone living in many other countries around the world. This convenience has been brought about by the use...
  9. Termux

    Kuna vijana wanawaongezea watu followers

    Habari wana JF, kuna habari nmekutana nayo uko instagram, kuna vijana wanawaongezea watu followers, like, views, na vitu venginevyo katika page zao za mitandao ya kijamii. Mambo yanaenda mbio sana, AI mara uku kuna hiki mara kile kuna kile ilimladi tu dunia ipitue mabadiliko. Mfano facebook...
  10. M

    Wana habari wengi wa media za Bongo ni mashabiki wa Simba wamejaa fitina

    Mafanikio ya Yanga Mwaka huu hasa katika mashindano ya kimataifa yamedhihirisha jinsi wana habari wengi walivyo mashabiki wa Simba hadi wanashindwa kuficha hisia zao, chuki na wivu kwa mafanikio ya Yanga. Wamekuwa wakijificha kwa kile wanachokiita uchambuzi lakini ukifuatilia chambuzi zao...
  11. 2013

    Ukosefu wa taaluma katika vyombo vya habari vya dini

    Vipindi vingi vya Dini hususani vya Kikristo katika radio mbalimbali nchini vinaendeshwa na watangazaji ama wasemaji wasioweza kuzungumza lugha fasaha ya kiswahili. Inaonyesha hata wanao wasaili hawajui kama hawajui kiswahili Sanifu. Mfano, Unakuta mtangazani anatakiwa aseme Roho Mtakatifu...
  12. OLS

    Tanzania’s Media Services Act: A Manifestation of the Man With the Hammer Syndrome?

    Social control is how societies regulate and maintain social order, enforce norms and values, and promote conformity to group expectations. It involves using various techniques and strategies to influence the behaviour of individuals and groups within a society to conform to the standards and...
  13. F

    Tetesi: Mtangazaji Salim Kikeke anarudi nyumbani Kuwa Mkurugenzi Azam Media

    Wakuu mpo poa? Kwa habari za ndani kabisa kutoka Azama Media, zinadai Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC ameomba kustaafu. Lengo lake kuu ni kurejea Tanzania kufanya kazi na Azam Media.
  14. sajo

    Nini kifanyike ili media na social media zihabarishe umma kuhusu uwajibikaji na kujitambua badala ya kutoa habari kiburudani?

    Kwenye Forum Meeting inayojadili uwajibikaji kutoka ripoti ya CAG, JF imeulizwa na taasisi ya WAJIBU, kuwa Nini kifanyike kuhusu media na social medias kuhusu kuhabarisha umma juu ya uwajibikaji na kujitambua. Msingi wa swali ni kwa kuwa uchambuzi wa ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu...
  15. v0il0r

    Pro social media manager + marketing

    Pata ongezeko la wateja, brand awareness, kuza biashara zako na mtalaam hapa mambo ya mitandao ya kijamii na Masoko kiujumla. Faida za kuwa na social media + marketing manager 1. Nasimamia akaunti zako zote za mitandao ya kijamaa ya baishara yako, kama kuweka bidhaa/ huduma zako, kuwaelezea...
  16. D

    Wasafi media na EFM ni watoto wa baba mmoja na mama mmoja matumbo mbalimbali

    EFM na wasafi media wametofautiana tarehe ya kuzaliwa tu lakini baba ni mmoja na mama yao mmoja! Wafanyakazi wanakula kwa bamdogo wanalala kwa shangazi! Mikataba yao ni copy and paste! Mwaka mmoja kulala kwa shangazi, mwaka mwingine tunarudi kwa bamdogo maisha yanasonga cha muhimu ni kuwa na...
  17. Ngamba

    Msaada Android App nzuri ya kutengeneza cover za social media

    Rejea na kichwa Cha habari hapo juu, naomba Msaada wa app nzuri ninavyoweza kudownload na kuitumia kutengeneza cover za social media post. Asanteni
  18. GENTAMYCINE

    UFM ya Azam Media tafadhali naomba Jina la huyo Mama aliyesema Kauli hii ya Kishujaa niliyoipenda ili nimpe Zawadi ya Mbuzi Jike

    "Mwanamke mwenye Maadili na mwenye Kujitambua ukipigwa na Mumeo hutakiwi Kutangaza kwa Majirani au hata kwenda Kushtaki Kwenu au Ukweni bali unavumilia na unamsubiria Mumeo Hasira zikipungua unamuomba Radhi hata kama unajua kabisa kuwa Mkosaji ni Yeye kwani kwa kufanya hivi utamjengea Kitu Mumeo...
  19. Sky Eclat

    92-year-old media mogul Rupert Murdoch is set to marry for a fifth time.

    92-year-old media mogul Rupert Murdoch is set to marry for a fifth time. He recently got engaged to 66-year-old Ann Lesley Smith - just months after his divorce with his fourth wife, Jerry Hall, was finalised. e. He recently got engaged to 66-year-old Ann Lesley Smith - just months after his...
  20. D

    Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

    Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu...
Back
Top Bottom