mfereji wa hormuz

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya kukutana na upinzani mkali kutoka Iran Trump asema Marekani imesimamisha mradi wa kuongoza meli kupita Mlango-Bahari wa Hormuz

    Wanaukumbi. Operesheni ya Marekani ya kuongoza meli zilizokwama kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz itasitishwa kwa "muda mfupi," Rais Donald Trump alitangaza Jumanne jioni. Trump alisema kwamba "Uhuru wa Mradi", ambao ulianza siku chache zilizopita, utasitishwa na "makubaliano ya pande zote" kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mfereji wa Hormuz: Marekani ameomba msaada wa kijeshi kutoka Korea Kusini

    The Financial Times linasema: Marekani imeisisitiza serikali ya Korea Kusini kujiunga naye kijeshi katika kusaidia kufungua mfereji wa Hormuz. Hili limekuja baada ya Raisi Donald Trump kuwataka Korea Kusini kuingia kwenye oparesheni ya kijeshi iitwayo PROJECT FREEDOM kwasababu Manowari zake...
  3. JamiiForums Tanzania Mfereji wa Hormuz: Meli zaidi ya 470 zimepata shambulio kubwa la mfumo wa GPS

    Meli zinazopita kwenye mfereji wa Hormuz zimepata shambulio kubwa kwenye mfumo wake wa Global Position System (GPS). Inasemekana hili limepelekea meli nyingi kupata changamoto katika kujiongoza zikiwa baharini. Wataalamu wanasema hii inatokana na shambulio la maksudi (Jamming) ambalo linazuia...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Marekani yapiga boti za Iran zilizotaka kuzuia meli kupita kwenye mfereji wa Hormuz. Iran Yasema Watu 5 Wamekufa

    Baada ya tangazo la Trump kuwa Marekani inaufungua mlango wa Hormuz kwa nguvu na kuwa itazilinda meli zitakazopita, meli za Marekani zimekuwa zikipita bila kizuizi, huku meli za mataifa mengine zikihofia kupita. Jana Jumatatu, tarehe 5 May 2026, wakati meli za Marekani zikipita kwenye mkondo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…