Sioni sababu na nashangaa kwanini UTUMISHI wamekimbilia kutumia ESS na huku ukweli haufanyi kazi, unaingia Online wanakwambia wanashidnwa ku-retrieve taarifa zako, unaomba uhamisho, unajaza kila taarifa then unakuta hakuna kiytu chochote na hakuna mtu wa kukusadiai.
Naupenda sana Mfumo wa NEST...
Habari ya J3 wadau wa JF.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, mfumo w E-sponsorship wa Wizara ya Afya ambao hutumika kujisaijri na kutuma mombi ya ufadhili, upo chini haufanyi kazi na unasumbua katika process za kujisajiri, hivyo kuwia ugumu kufanya usajiri katika mfumo huo.
Ombi maIT wa...
Habari wadau. Mfumo wa loss report wa online ulibuniwa ili kuweza kusaidia wananchi kupata huduma kwa haraka.
Mfumo huu kwa sasa umeingiliwa sijui na mdudu gani, unaweza pata control number ukalipia lakini ukitumia same control number kutafuta loss report yako inskuambuia hakuna record. Sasa hii...
Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoa wa Katavi kimebaini dosari katika mabasi yanayotumiwa kusafirisha Wanafunzi katika Shule za watu binafsi ikiwemo baadhi ya mabasi kukutwa yamefungwa mipira kwenye mfumo wa breki ambayo ni hatari kwa usalama.
Dosari hizo zimebainika wakati...
Nimezoea kuona bongo watu wakibomoa bomoa msingi au kuta walizojenga ili wapitishe mabomba ya maji na choo.
Hivi haiwezekani kutengeneza plan ya maji safi na taka na kujenga mfumo maji na taka mapema kabisa katika hatua ya kujenga msingi ili kila kitu kiwe sawa?
Kampuni ya kuunda Ndege za Boeing imehimiza mashirika ya ndege duniani kufanya ukaguzi wa ndege za 737 Max kutafuta "Bolt inayowezekana kuwa imelegea" katika mfumo wa udhibiti wa rudda, tatizo jipya la ubora linaloathiri ndege inayouza zaidi ya mtengenezaji huyo.
Kampuni hiyo iliagiza ukaguzi...
Katika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu.
Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje.
Wafanyie WATU surprise ila usiwape ahadi.
Avoid entitlement trap -this life is yours hakuna MTU aliapa kuwa atakupa chochote unachokitaka...
Niseme kuwa hizi taarifa anazozitoa mara Kwa mara kuhusu tahadhari mbalimbali za afya ...ni nzuri Sana lakini pia zinaibua maswali mbalimbali..
Ni vizuri Dkt Janabi au Muhimbili kama Taasisi waweke mfumo nzuri wa taarifa......ili mtu akihitaji source iwepo...na asitokee mtu akapotosha ..hizo...
accounting
bei
biashara
computer
duka
fedha
jumla
kumbukumbu
kusimamia
kutunza
maduka
malipo
management
management system
mapato
matumizi
mauzo
mfumo
mwaka
mwezi
offa
pharmacy
rejareja
software
supermarket
system
wamiliki
yako
Napenda kuipongeza tume kwa kufanya kazi nzuri ya kuhakikisha walimu wanapatiwa huduma kuendana na mahitaji ya kiteknolojia ya sasa. Jambo hili kwa kweli linatia moyo na limeisogeza huduma mikononi mwa walaji.
Masikitiko yangu makubwa ni kuona mfumo huu muhimu wa Taarifa za walimu ukiacha ombwe...
Rais Yoweri Museveni amezindua Mfumo wa Kielektroniki wa Kulinda Wawekezaji (EIPP) ambao unalenga kuwasaidia Wawekezaji wa Nje na Ndani kuripoti moja kwa moja katika Ofisi ya Rais malalamiko ya Rushwa, Ubadhirifu na Ucheleweshaji wa aina yoyote katika Miradi.
Taarifa ya Ikulu ya Uganda imesema...
Mdudu chawa hupatikana kwa watu wachafu, hakika kwa sasa hali sio shwari kwani chawa watu wamevamia kila sehemu. Chawa watu hawana umri ni yeyote tu anaweza kuwa chawa mtu ili mradi apate anachokitaka.
Wapo wa miaka 80 mpaka 15 ili mradi awe na uwezo wa kupaza sauti. Chawa watu wapo wenye elimu...
Mfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme.
Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa rangi nyekundu kama sensor zinasoma moto, na rangi ya kijivu kama sensor hazisomi moto. Hivyo moja kwa...
Nimeona niulize kutokana na mfumo huu kuwa mgumu kukamilisha maombi na ugumu kwa watendaji kuwajibika na kufany kazi zao kama ku-proove maombi kwenye mfumo.
Maana maombi mengi yanaishia kwa supervisor na hayatoki huko ndo nauliza kuna mtu aliyefanikiwa walau kufikisha maombi utumishi au...
Habari wanajamvi,
Leo tangu saa moja asubuhi najaribu kununua umeme kwa simu inashindikana, baada ya kujaribu mara kadhaa bila mafanikio kwa kutumia Vodacom, nikasema labda Voda wanazingua network.
Nikaopt kununua kwa Tigo, still imeshindikana. Nimepiga simu huduma kwa wateja Tigo wamenambia...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma, Ridhiwani Kikwete amesema Mfumo Mpya wa Tathimini ya Watumishi wa Umma (SAU) hauna lengo la kumuondoa kazini ama kuwaonea watumishi wa umma hivyo hawana sababu ya kuuhofia mfumo huo.
Kikwete amebainisha hayo leo Desemba, 13, 2023 wakati wa ufungaji...
Kufungua kampuni ilikuwa kero miaka ya nyuma lakini naona kero imerudi licha ya kuwa kuna mfumo rahisi kabisa wa kusajili kampuni.
Yaani business name inachukua hadi mwezi mmoja kama umejaza kila kitu sawa. Kuna Tabia ukikosea tu review inakuwa haraka kabisa na unaambiwa kurekebisha, lakini...
Habari wana JF,
Moja kwa moja nende kwenye swali langu hapo juu.
Katika mtaa wetu tulibahatika kupitiwa na zoeli la anuani za makazi kama serikari ilivyotangaza.
Na ni kweli tuliandishwa na kupewa namba na majina ya mtaa yaliyochaguliwa. Cha ajabu ni kwamba watu tumebaki na namba lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.