Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mhe. Timotheo Mzava ameipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kukamilisha Mfumo wa e-Ardhi na kuanza kutumika katika halmashauri 20 nchini.
Mhe. Timotheo Mzava ametoa pongezi hizo Januari 21, 2025 jijini...