mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada: Mfumo wa Polisi unatoa invalid control number unapoomba loss report online

    Habari wakuu! Leo ni siku ya pili naomba loss Report bila mafanikio nikifika hatua ya kulipia nikiingiza control number inaandika number does not exist. Nini kinaweza kuwa changamoto hapo wataalam?
  2. SoC04 Kuimarisha Uchangiaji Damu Tanzania kupitia Mfumo wa Tehama: Suluhisho la Changamoto za Upatikanaji wa Damu Salama

    Utangulizi Uchangiaji damu ni kitendo muhimu cha hisani ambacho huokoa maisha ya wale wanaohitaji damu. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mahitaji ya damu yanakadiriwa kuwa asilimia moja ya jumla ya idadi ya wananchi. Kwa Tanzania, hii inamaanisha chupa za damu 550,000 zinahitajika...
  3. SoC04 Matumizi fanisi katika teknolojia ya kidijitali ili kuchochea ukuaji wa mfumo wa elimu Tanzania (e-Student App)

    UTANGULIZI. Taifa lolote ili liendelee linahitaji watu ambao watapandikizwa elimu sahihi, Elimu sahihi inajengwa na mfumo bora wa elimu. Kulingana na ulimwengu tuliopo sasa ili kupiga hatua tunahitaji matumizi ya sahihi ya kiteknologia katika mfumo wa elimu ili kuchochea ukuaji wa elimu yetu...
  4. A

    KERO Mfumo wa Gesi uliopo Ubungo Interchange unavuja na kuleta kero kwa Wanafunzi Chuo cha Maji

    Kuna kero ya mfumo wa Gesi kuvuja katika eneo la darajani Ubungo Interchange (Fly-over) ambapo mkondo wa bomba la gesi umepita imekuwa kero kwa wanafunzi hasa wa Chuo cha Maji na wafanyabiashara wa maeneo ya karibu. Tunaomba Serikali ifanye uchunguzi juu ya suala hili
  5. Urusi Yapeleka Mfumo wa Ulinzi wa Anga Chapa S-500 Huko Crimea Baada Ya Mifumo Ya S-300&400 Kushindwa Kazi

    Urusi Baada Ya Mifumo yake Ya ulinzi wa Anga Chapa S-300&400 Kushindwa kufua dafu mbele ya makombora ya ballistic ya Kimarekani Chapa ATACMS,yanatumika na vikosi vya Ukraine, imeamua kupeleka Mfumo wao wa Kisasa na ghali zaidi huko Crimea. Mytake :Tusubiri tuone matokeo ya hayo machumachuma...
  6. J

    SoC04 Mageuzi ya Mfumo wa Elimu Tanzania: Kutoka Kutegemea Ajira Hadi Kujiajiri kwa Vijana

    Ili kuharibu taifa lolote, anza kwa kuharibu mfumo wake wa elimu. Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa sasa unawaandaa vijana kuwa wafanyakazi wa serikali au taasisi binafsi, jambo ambalo limepelekea wengi wao kuishi maisha duni huku wakisubiri ajira kutoka serikalini na kwenye taasisi binafsi...
  7. LETA WAZO LAKO TUKUTENGENEZEE MFUMO WA BIASHARA

    Ni rahisi sana kumiliki App yako ya biashara. Njoo na wazo lako Syslog Company Limited tutalifanyia kazi. Tupigie /WhatsApp 0754446773 | Email: info@syslog.co.tz
  8. Jerry Silaa anatuonesha jinsi mfumo wa utoaji haki ulivyooza...

    Kila maamuzi anayotoa Waziri wa Ardhi na Makazi na maendeleo ya Nyumba, Jerry Silaa ujumbe anaoutoa ni kwamba mifumo ya utoaji haki kwenye Taifa letu imeoza. Mabaraza ya Ardhi mpaka mahakama zetu zinatoa maamuzi yake kuhusu migogoro ya Ardhi kwa kuegemea zaidi mambo ya kiufundi (technicalities)...
  9. Hamisi Kigwangalla huna "moral authority" ya kupigania mabadiliko sahihi ya mfumo Simba SC.

    Huyu mbunge wa Nzega na waziri wa zamani wa Maliasii kwa wiki nzima sasa amekuwa akiendesha harakati zake mtandaoni na kwenye redio akidai Simba inaendeshwa ndivyo sivyo na "tajiri" au sijui mwekezaji Mo. Kigwangalla amelikomalia sana hili suala kana kwamba ana maslahi yoyote Simba zaidi ya kuwa...
  10. SoC04 Serikali iwaangalie wahitimu wa vyuo vya ufundi stadi VETA kwa kuwapatia nyenzo za kuwawezesha vijana kuendeleza fani zao

    Kutokana na ukosefu wa ajira katika nchi yetu ,Elimu ya ufundi stadi imekuwa mkombozi wa vijana wengi sana ndani ya nchi yetu kwani wamejengewa uwezo wa kazi mikononi mwao lakini uwezeshwaji wa vijana kimitaji ili waendeleze shughuli zao za kiufundi kwa kufungua karakana zao binafsi na kufanya...
  11. L

    Serikali Kuja na Mfumo Maalumu wa Kusaidia mamlaka ya Uteuzi kufanya uteuzi kwa Usahihi

    Ndugu zangu Watanzania, Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu, amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi kufanya maamuzi sahihi katika uteuzi wa viongozi mbalimbali wa mashirika na taasisi za Umma. Ameyasema...
  12. P

    SoC04 Tanzania tuitakayo yenye mfumo bora wa kukomesha ukatili kwa watoto

    UTANGULIZI Nchini Ta nzania, tangu tupate Uhuru Mambo ya ukatili kwa watoto yamekuwa yakiripotiwa siku Hadi siku na vyombo mbailimbali vya habari. Ukatili umekuwa ukitokea kwa njia mbalimbali ikiwemo kimwili Kama vile ukatili wa kingono. Licha ya serikali kuweka Mambo mbalimbali kukabiliana na...
  13. W

    SoC04 Tanzania ibadili mfumo wa siasa ili kuchochea maendeleo

    Nadhani ili taifa liweze kuendelea na kupambana na matatizo ya kiuchumi nilazima mfumo wa utawala ubadilike. Kwanza idadi ya vyama vya siasa ipungue Pili iundwee selikali ya kitaifa ambayo vyama vyote vitakuwa na nafasi serikalini. Hii italeta ushindani na uwajibikaji wenye tija zaidi. Tatu...
  14. SoC04 Upangaji wa uzazi kuelekea Tanzania tuitakaayo

    Kupanga uzazi ni kitendo cha mtu kuamua kuwa na idadi maalum ya watoto kwa ustawi wa familia yake. Wapo wanaotumia njia hizi wakiwa pia hawajabahatika kua na watoto. Kuna aina kuu mbili za njia mbali mbali za kupanga uzazi ambazo ni njia za asili na zisizo za asili. Njia za asili ni njia...
  15. Mbunge Mavunde Atengeneza Mfumo wa Kidigitali wa Wenyeviti wa Mitaa Kuwasilisha Kero za Wananchi

    MBUNGE MAVUNDE ATENGENEZA MFUMO WA KIDIGITALI WA WENYEVITI WA MITAA KUWASILISHA KERO ZA WANANCHI - Ni mfumo wa haraka zaidi wa kufikisha kero kupitia simu janja - Wenyeviti wote kupatiwa simu maalum za kuwasilisha kero kwa uharaka - Wenyeviti wa mitaa wampongeza kwa ubunifu Mbunge wa Jimbo...
  16. Mfumo wa ununuzi ardhi (TAUSI) kuna katabia ufanywa na wafanyakazi halmashauri zenu

    Kuna hujuma zinazotendeka kwenye mfumo wa TAUSI kipindi wanapoweka kuhusu upatikanaji wa maeneo yanayouzwa kupitia mfumo wenu. Wanapo tangaza kuhusu maeneo wanayo yauza cha kushangaza hiyo tarehe uwezi kuona wameweka mda wa asubuhi mpaka saa 12 jioni ila mpaka inapofika usiku saa sita ndio...
  17. SoC04 Tanzania tuitakayo: Tuwekeze sasa kwenye mifumo ya uwajibikaji, tuache kutegemea mtu atutatulie shida zetu bali Mfumo ndio utatue

    TUJENGE MIFUMO YA UWAJIBIKAJI, KAMWE TUSITEGEMEE KUWA NA NAMBA ZA OCD AU ASKARI WA USALAMA BARABARANI. Taifa tunapaswa kuwekeza sasa kwenye mifumo imara ya uwajibikaji ili leo na kesho hata kama kiongozi hayupo basi mifumo ifanye kazi, tuweke mifumo tukifikiria kwamba kuna siku viongozi wote...
  18. M

    SoC04 Fedha za HESLB kuunganisha na mfumo wa NSSF

    Jambo hili huweza kusaidia Kwa namba moja au nyingine katika kujikwamua kimaisha mara baada ya masomo hivyo Kwa Tanzania tuitakayo Kwa kipindi Cha miaka 5 Hadi 25 jambo hili linaweza kuwa chachu ya mabadiliko miongoni mwa wanamabadiliko.
  19. D

    Changamoto katika mfumo wa PEPMIS

    Huu mfumo bado haujakaa sawa kwani kuna mambo kadhaa yanapaswa kutafutiwa ufumbuzi. Kwanza katika siku zilizopendekezwa au mara nyingi ukifungua mtandao huu speed au kasi ya ufungukaji ni ndogo hadi inakatisha tamaa sijui ni kasi ya inteneti iliyopo haikidhi mahitaji ya taasisi zinazojaza au...
  20. SoC04 Serikali tusaidieni wasomi kwa kutekeleza mfumo huu

    Chanzo: mtandaoni Tatizo la ajira ndugu wa Tanzania limekuwa janga kubwa sana kwa vijana waliohitimi vyuo mbali mbali nchini ,Serikali inajaribu kifanya juu chini kuweza kupunguza makali yake.Wahitimu wengi wamekuwa wakitapatapa kujikwamua kimaisha kwa kutafuta ajira pamoja na mitaji kwa ajiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…