mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANCIS DA DON

    Napendekeza mfumo wa ‘Bluetooth GPS Parking System’ katika kukusanya ada za maegesho ya magari Dar es salaam

    Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how? Ni kwamba zile sehemu zote za parking za kulipia, zitafungiwa ‘Sensor’ za ‘Bluetooth’, ambapo magari yote Dar nayo yatafungiwa ‘Bluetooth ID...
  2. B

    Serikali boresheni mfumo wa kidigitali kupokea maoni ya watu kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu nchi yao

    Ni jambo lisilopingika kwamba watu wote wenye maono kuhusu wapi tuipeleke Tanzania hawawezi kupewa dhamana ya uongozi au ufanya maamuzi.Hii ni kwa sababu nafasi za uteuzi au uwakilishi ni chache na wananchi tupo wengi. Binafsi nimeitafuta muda mrefu fursa ya kuwa mwakilishi wa wananchi au...
  3. Mhafidhina07

    hivi kuna uwezekano wa mfumo wa ujamaa kufanya kazi kukiwa na wastani mkubwa wa ongezeko la watu?

    tunafahamu kuwa ujamaa ni mfumo bora ambao ndani yake kuna baraka kubwa kutoka kwa mungu,kawaida mungu hutaka watu wake wajumuike ili kumuabudu na kumsifu kwa pamoja,kuishi,kumiliki na hata kufa na kuzikana kwa pamoja,lakini naweza kusema ujamaa ni mfumo wa mbinu/mchakato katika kujenga ubepari...
  4. Meditator

    Hivi kuna kipengele cha ku-attach affidavit unapofanya maombi Bodi ya Mikopo (HESLB)?

    Habari wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavo jieleza tajwa hapo awali. Mimi ni kaka na nina wadogo zangu wawili, mmoja kamaliza Kidato cha sita mwaka huu na mwingine yupo Kidato cha nne. Mi Sina elimu kubwa sana kitu ambacho huwa na wapambania sana madogo wasome wafike mbali ili watimize...
  5. Kaka yake shetani

    Kampuni za simu bado zinatumia 3G mfumo data japo zinashindwa ku update minara Tanzania acha nieleze ukweli hapa

    Ili jambo lipo afrika na linaigizwa kwa mtindo wa kudanganywa kuwa kifaa chako sasa kina 4g au 5g. Ghalama za kuendana na hiyo mifumo nikubadilisha vifaa vyote kwa wakati ili kumudu vifaa hivyo. Leo niko kijiji X kina mnara tokea wa 3G ila hakuna changamoto ya kuharibika kifaa kina niambia...
  6. K

    KAA TAYARI: Wateja wa LUKU wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Kuna zoezi la Maboresho ya Mfumo

    KAA TAYARI: Ni zoezi la Maboresho ya Mfumo wa LUKU kwa wateja wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Sasa ni zamu yenu, tunawafikia hivi karibuni..! USIBAKI NYUMA Usiache kufuatilia Taarifa kwenye Mitandao ya kijami na vyombo vya habari kuhusu zoezi hili...
  7. Roving Journalist

    Mwananchi awaambia TESEMA warekebishe haraka mfumo wa ukataji tiketi Busisi upande wa Serengeti

    Mdau wa JamiiForums.com ametoa maoni katika taarifa inayohusu ujenzi wa Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo – Busisi) ambapo ameelezea changamoto ya mfumo wa ukataji tiketi. Ujenzi wa Daraja la Magufuli wafikia Asilimia 90
  8. Black Butterfly

    Askofu Dkt. Bagonza: Kuna watu wanataka kuirudisha nchini kwenye mfumo wa Chama kimoja

    "Ninaona na ninaamini mchakato ule wa maridhiano umetekwa, siwezi kusema Rais ndiye ameuteka kwa sababu yeye ndiye aliyeuanzisha ila ninahisi kuna nguvu nyingine tusiyoiona ambayo imeteka mchakato ule wa maridhiano na kutaka kulirudisha taifa letu katika sintofamu"- Dkt. Bagonza. Dkt. Benson...
  9. Teslarati

    Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

    Kuwa off wiki ambazo walevi wenzio ndo wamebananika kazini shida sana. Ngoja nipoteze muda kuongelea hili swala la raraa reree Huyu ndugu yetu ana kiwanda cha likes, hebu nipe siri na mm niwe natoa likes hvo, au jamaa ni BOT?
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Vitu kama vyeti vya kuzaliwa na barua ya maombi ya kazi vimepitwa na wakati kwenye mfumo wa kuajiri

    Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena? Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital...
  11. A

    KERO Viongozi wa Idara Morogoro hawajauelewa vizuri Mfumo wa PEPMIS, tunaumia sisi Watumishi wa chini

    Serikali ilinzisha Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System – PEPMIS lengo likiwa ni kurahisisha utendaji kazi na kuweka uwazi kwa kuwa inajulikana wazi suala la Urasimu ndani ya Taasisi za Serikali zipo kwa kiwango cha juu. Kwa wenzangu ambao hawafahamu, Mfumo huu wa...
  12. Full charge

    Baadhi ya Wanawake badilikeni kwenye utaratibu wa kuanika nguo za ndani (Chupi) maeneo ya wazi

    Inshu iko hivi: Kuna mwanangu mmoja kapanga chumba kawaida tu kama watu wengine wanavopanga Sasa kuna dada mmoja huyo ni mpangaji mwenzie ila chumba cha mbali Amekuwa na tabia ya kufua chupi kibao halafu anakuja kuanika katika kamba iliyo mbele ya mlango wa mshikaji Sasa leo mwana kafua boksa...
  13. Yoda

    Ulanzi umeingia kwenye mfumo, gongo nayo ipate nafasi ya kurasimishwa

    Ulanzi na pombe maarufu ya ndizi kama "banana wine" nazo ni wine? Ninavyofahamu wine inatengenezwa kwa zabibu tu. Hongera kwa huyu mzee kupaki ULANZI katika hali ya kisasa. Watengeneza gongo nao wapate fursa kama hii.
  14. Mystery

    Kuna manufaa makubwa, tukiiga mfumo wa uteuzi wa mawaziri unaofanyika nchini Kenya

    Huko nchini Kenya, uteuzi wa mawaziri unachukua mchakato mrefu, Hadi Waziri huyo aapishwe. Hatua anazopitia Waziri huyo baada ya kupendekezwa na Rais kuwa Waziri ni jina lake kupelekwa Bungeni, Ili apitie katika "chekecho" ikiwa nafasi hiyo anastahili na iwapo wabunge hao wataridhika kutokana...
  15. G

    Wakazi wa Dar, ulishawahi kuitwa na kuingia kwenye mfumo wa huyu muuza juice pale Karume?

    Unatembea zako ghafla unaitwa, Zinaanza stori "Vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... Mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu Mnaendelea na story unajua pengine labda mliishi eneo moja huku ukizidi kuvuta picha umkumbuke. Mwisho wa...
  16. K

    Mfumo wa Uajiri JWTZ umepitwa na wakati, ufanyiwe maboresho

    Nimejaribu kufuatilia michakato ya usajili na uajiri wa vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama. Kikubwa nilichokigundua ni kwamba mfumo wa uajiri wa JWTZ bado ni wa kizamani sana, jambo ambalo linaweza kusababisha kuwepo kwa mianya ya rushwa. Mpaka leo kwa taasisi kubwa kama JWTZ kuendelea...
  17. COARTEM

    KERO Bodi ya mkopo mfumo wenu wa olams unamatatizo gani kwa waombaji wa diploma?

    OLAMS ya Bodi ya Mkopo haikubali kukamilisha kutuma maombi kwa njia ya mtandao. Mwanafunzi amejaza kilakitu na ameambatanisha kila kitu lakini mfumo huo uko doro kabisa. Kiasi wametafutwa kushughilikia mfumo ili wanafunzi wa DIPLOMA wakamilishe maombi yao jamaa hawajigusi hata kidogo. BODI YA...
  18. GENTAMYCINE

    Nauliza tu kipi kilitakiwa Kitangulie kuwa Imara Kwanza kati ya Umeme wa uhakika katika Mfumo au Jongoo aanze 'Matembezi Kasi' tupate Sifa za haraka?

    Mkuu Mtani wangu Mwerevu Arovera nitafurahi sana kama ukija na kuanza kutoa Muongozo wako wa Kimaoni hapa.
  19. Murashani GALACTICO

    Changamoto ya mfumo wa nactvet kushindwa kutoa avn

    Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER. USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa notification kwamba USER NAME na NAMBA YA SIMU sio Sahihi. Mwenye uelewa wa hii changamoto naomba...
Back
Top Bottom