mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    Pre GE2025 CHADEMA mko wapi? CCM wanapita mashuleni na kuandikisha watoto wa shule za msingi na sekondari wote kama wanachama wao kwa mfumo wa kidigitali

    CHADEMA na ACT WAZALENDO mko wapi nyie? Msije mkasema hatukuwaambia... Watoto wangu wawili (kidato cha 1 & 2) wanaosoma shule moja ya kutwa hapa Shinyanga Manispaa wamefika nyumbani jana na kuniambia kuwa CCM walifika shuleni na pikipiki zao za kijani na kumtumia mwalimu mkuu wao awalazimishe...
  2. U

    Rais wa Iran asema mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel wa iron dome wa Israel ni mwepesi na laini kama glasi

    Wadau hamjamboni nyote? Mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel wa iron dome ni laini mno na upo sawa tu na glasi ya maji au juice Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: . October 02, 2024 at 08:45 Pezeshkian calls Iron Dome 'fragile,' warns of stronger response if Israel retaliates...
  3. NALIA NGWENA

    Kocha Miguel Gamondi tayari kajaa kwenye mfumo wa viongozi wa Yanga Sc kwa kumpa dakika za kutosha Chama mbele ya Pacome

    Naam wanajukwaa, Goli alilofunga Aziz K dhidi ya CBE na kutoshangilia lilikua na maana kubwa sana tena sana na hilo goli alifunga akitokea Sub baada ya Chama kutoka. labda kuna mashabiki watakua wanauliza hiyo ina maana gani kiukweli Azizi k hakua na Furaha kutokea bench na ndiyo maana ufungaji...
  4. Webabu

    Mfumo wa uendeshaji wa Hizbullah huwa hautingishiki kutokana na vifo vya viongozi wao.

    Imeelezwa kuwa mfumo wa mgawanyo wa madaraka na utayari wa kimapambano ni mmoja ya mifumo bora katika vyama vya utetezi wa haki kwani huwa daima hautingishiki kutokana na vifo vya viongozi wao wakuu. Kutokana na mfumo huo nafasi yoyote inayoaachwa wazi basi huwa kuna makundi ya waliotayarishwa...
  5. Nyaka-One

    Je, hili tangazo kutoka UTUMISHI kwenye mfumo wa ESS kuhusu wenye uhitaji wa kuhama vituo vya kazi kuwafuata wenzao wao limejitosheleza?

    Tangazo halijafafanua ni taarifa žipi hasa zipelekwe kwa mwajiri na kama hizo taarifa zinahitaji kuwekewa barua ya maombi ya kuhama au la. Na kama covering letters zinatakiwa. Je, huo muda uliowekwa unatosha kweli kwa kuzingatia usumbufu wanaokuwa nao hao wanaotakiwa kupitisha maombi kama wakuu...
  6. Roving Journalist

    Wananchi wafunga Barabara ya Babati/Singida wakipinga kuuza mazao yao katika mfumo wa stakabadhi ghalani

    Wananchi Wakulima na Wafanyabiashara wa Kata Masakata Wilayani Hanang mkoani Manyara, wamefunga barabara ya Babati /Singida na kusababisha msongamano mkubwa wa magari kwa saa moja, huku wakipinga kuuza mazao yao katika mfumo wa stakabadhi ghalani, kwa madai ya kucheleweshewa malipo yao kwa muda...
  7. N

    DOKEZO NFRA inahujumu mfumo wa Stakabadhi Ghalani

    Wakala wa Hifadhi ya Chakula ya Taifa, yaani NFRA ni Taasisi iliyoanzishwa mahsusi kuhakikisha kuna kuwepo na Hifadhi ya Mazao ya Chakula muda wote Nchini. Hununua mazao ya Chakula, kuyahifadhi, kuyachakata, kuweka kwenye Vifungashio na Hatimaye kuuza ndani na nje ya Nchi. Mazao ya Chakula...
  8. mzee kokona

    KERO Dodoma mjini mfumo wa majitaka mbovu sana, pananuka kinyesi

    Dodoma mjini kati mitaa ya sokoni inanuka ushuzi kinoma, mitaro inayotiririsha majitaka kupeleka kwenye mtaro mkubwa iko wazi harufu mtindo mmoja.
  9. J

    Mfumo mpya wa iphone utazuia wezi wa simu kuuza vioo, betri na kamera za iphone

    Mwaka huu Apple imebadilisha utaratibu wake wa kurekebisha simu na vifaa vya kutumia simu. Wiki hii katika mfumo mpya wa iOS 18 wakaguzi na mafundi wa simu wamegundua Apple imeweka mfumo mpya wa kuzuia wezi kuuza display, betri na kamera za simu ambazo zimeibiwa. Mfumo mpya wa iOS 18 umeweka...
  10. Aliko Musa

    Mfumo bora wa kusimamia nyumba za wageni wa kipato cha chini na kipato cha kati

    Nyumba za wageni (guest houses) ni aina ya malazi ambayo yanatoa huduma za muda mfupi kwa wageni, sawa na hoteli lakini kwa kiwango kidogo zaidi. Nyumba hizi zinaweza kuwa na vyumba vichache ikilinganishwa na hoteli kubwa, na mara nyingi zinamilikiwa na kuendeshwa binafsi. Nyumba za wageni...
  11. Roving Journalist

    Hotuba ya Biteko, ufunguzi wa Jukwaa la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki na Uzinduzi wa Mfumo wa NEST

    HOTUBA YA MHE. DKT. DOTO BITEKO, NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI, AKIMWAKILISHA MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA JUKWAA LA 16 LA UNUNUZI WA UMMA LA AFRIKA MASHARIKI NA UZINDUZI WA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA UNUNUZI WA UMMA (NEST), TAREHE 9 SEPTEMBA 2024...
  12. Nehemia Kilave

    Mfumo wa vyama vingi ni mfumo uliofeli kwa Nchi za Afrika na haukuja kuisadia Afrika, Tuuboreshe kabla hali haijawa mbaya

    Mwalimu nyerere aliwahi sema kwamba Demokrasia inabidi iendane na sehemu husika akiwa na maana Nchi moja inaweza tofautiana na nchi nyingine mfumo wake wa Demokrasia. Marekani wana Demokrasia yao ,wameamua kuvipa nguvu vyama ili kusaidia vyombo vya usalama kufanya kazi yake au vetting kwa ajili...
  13. Ustadh tongwe

    Ni mfumo wetu wa elimu mbovu au wanafunzi uelewa upo chini? Nchi nyingi duniani vijana waliosoma ICT ndio matajiri ila kwetu wanazunguka na bahasha

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hebu tutoe maoni kwanini vijana wa sayansi especially ICT wanahangaika sana wakati Kwa elimu yao wangekuwa na uwezo wa kubuni apps ambazo zingewakwamua kiuchumi badala yake wanahangaika na bahasha kama wahitimu wa procurement & supply. Mfano wa kijana wa...
  14. Kikwava

    Uhamisho wa watumishi kwa njia ya Mfumo tunaomba u-refrect teknolojia mpya, kwa maana ya Kasi na uharaka zaidi

    Nitumie fursa hii kuishukru serikali yetu kwa huu mfumo wa ESS kwakweli nasema kutoka moyoni mwangu. God bless this 6th regime
  15. M

    Nataka kufunga CCTV camera ya mfumo camera16

    Habar wakuu, Naomba msaada wenu nataka kufunga CCTV camera 16 naomba maelekezo kampuni ya camera zipi Zina onyesha picha angavu mchana na usiku kati ya DAHUA,HIK VISSIOn. Natakiwa ninunue nin na nin,poa kwa camera 16 natakiwa vifaa vya uwezo Gani na vingap ninunua maana ni eneo kubwa wastani...
  16. 1987SANAWA

    Maafisa mikopo wa crdb hawajapenda mfumo wa ESS ambao unawapunguzia ulaji

    Habari wanajukwaa! Kuna mfumo wa watumishi wa umma unaitwa employee self service ess, kupitia mfumo huo watumishi hawahitaji kubeba nyaraka nyingi ili kukopeshwa mambo yanaishia online. Kutokana na maendeleo hayo maafisa mikopo hawajafurahi hivyo kuamua kukwamisha mikopo na kuwataka watumishi...
  17. B

    Katambi ampongeza rais samia kutoa fedha za kuwezesha usimikaji wa mfumo cma

    Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amempongeza Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya shilingi Bilioni 2 kwa ajili ya kuwezesha usimikaji wa Mfumo wa uendeshaji na usimamizi wa mashauri kwa njia ya mtandao. Mhe...
  18. ndege JOHN

    Hivi ndoa huwa zinasajiliwa kwenye mfumo?

    Kurahisisha swali langu tutolee mfano umefunga ndoa ya kiserikali kwa jina lako halisi then ukaenda kanisa fulani ukataka ufunge tena ndoa je watu wa kanisani huwa wana utaratibu wa ku check kwenye mfumo huo ili wagundue kuwa uliwahi kufunga ndoa??nachojua ni uzazi na vifo ndo labda RITA wana...
  19. C

    Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri.

    Wakuu..Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri. Hii ni changamoto kwa utumishi...
  20. I

    KUINGILIWA MFUMO WA MATOKEO WA CHUO UDSM NA IFM

    Suala la kuingiliwa kwa mfumo wa matokeo wa chuo kikuu, kama ilivyodaiwa kutokea katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni jambo la kusikitisha na lenye madhara makubwa kwa uaminifu wa taasisi za elimu. Hili linaweza kudhoofisha uaminifu wa vyuo vikuu na kuathiri vibaya mfumo mzima wa...
Back
Top Bottom