mgao wa umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mgao wa Umeme, IPTL, Kinyerezi IV, na Pan African Energy Tanzania (PAET) Ltd: Kwa nini tunarudia makosa ya enzi za Rais Kikwete?

    Mhe. Doto Biteko , Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Tangazo la serikali kuhusu mgao wa umeme unaoendelea limekuja wakati ambapo kuna maswali mengi juu ya "upungufu wa umeme" pamoja na sababu za kusimamishwa kwa Mradi wa Umeme wa Kinyerezi IV, ulioasisiwa na hayati Magufuli. Pia limekuja...
  2. Kwa huu mgao wa umeme unaondelea Hayati Magufuli alikuwa sahihi kuziba masikio na kujenga bwawa la Mwalimu Nyerere

    Nawasalimu Kwa jina la JMT Kwa kweli hakuna kitu kinachokera kama mgao wa umeme unaotokana na upungufu wa uzalishaji wa umeme Mabwa yetu yanayozalisha umeme ni ya kizamani na uwezo wake ni mdogo hivyo hi shida ya upungufu wa umeme Ina mda mrefu hapa Tanzania. Ilipokuja gasi ya Songosongo na...
  3. TANESCO: Tuna upungufu, siyo mgao wa umeme. Wananchi endeleeni kuvumilia

    Akizungumza leo September 18 katika kipindi cha #Supa Breakfast cha East Africa Radio, Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO ndugu Maharage Chande amedai kuwa Tanzania hakuna kabisa mgao wa umeme bali kuna upungufu Wateja na wananchi watuvumilie katika kipindi hiki najua ni kigumu kuvumilika na...
  4. Mgao wa umeme unaivua nguo Serikali

    Hakuna haja ya salamu. Unajua kuna vitu unaweza kupiga siasa, ukapiga porojo, ukatia nakshi nakshi, ukatetea nk na watu wakakuelewa. Ila inapokuja kwenye vitu ambavyo vinaonekana wazi na vinaathiri maisha ya watu MOJA KWA MOJA kunakua hakuna kiasi cha porojo, siasa, mbwembwe wala maneno matamu...
  5. Athari za mgao wa umeme Arusha

    Subject: Kukabiliana na Tatizo la Kutatizwa kwa Umeme Arusha - Wito wa Uongozi na Ushirikiano πŸ”ŒπŸ™οΈ #ArushaCrisisYaUmeme πŸ™οΈπŸ”Œ Wapendwa Wananchi wa Arusha, Tunaingia katika hali inayohitaji umakini na hatua za pamoja. Kutatizwa kwa umeme mara kwa mara Arusha kumegeuka kuwa suala la wasiwasi, na...
  6. R

    Doto Biteko kapelekwa Wizara ya Nishati kipindi cha Mgao wa umeme, achunge yasimkute ya Lowassa

    Kumpeleka Ndugu yetu Biteko pale Nishati na kumwondoa Makamba kipindi ambacho Makamba amevurunda siyo picha nzuri kwa mwanetu huyu. Sisi watu wa kanda ya ziwa tunazungumza na miungu yetu mvua inyeshe shetani asipate nafasi yakumwaibisha Mwanetu. Hizi royal family za Pwani si familia nzuri sana...
  7. U

    Maharage Chande, mgao huu wa umeme wa mwezi wa saba haukubaliki

    Kwanza nianze Kusema kuna Mgao wa umeme. Narudia tena kuna Mgao wa umeme. Napenda kuhoji kwanini Chande Maharage hajatangaza huu mgao wa umeme, ni mara chache mno tunakuwa na mgao wa umeme mwezi wa saba, tunategemea kuwa na mgao kuanzia mwezi wa 10 maana ndo kiangazi kikali kinaanza. Huyu...
  8. Tetesi: Je, kuna mgao wa umeme? Mbona kama umeanza mapema sana mwaka huu?

    Mwezi wa saba ni mapema sana kuanza kugawa umeme. Mwezi wa kumi sijui itakuwaje.
  9. TANESCO: Pamoja na mvua kunyesha bado maji hayatoshi kuzalisha umeme wa uhakika

    SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema pamoja na mvua zinazoendelea kunyesha lakini bado hazijasaidia kutoa kiwango cha juu cha maji kinachoweza kupata umeme wa uhakika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Shirika hilo Elihuruma Ngowi, wamekagua mabwawa mbalimbali ya...
  10. TANESCO Tegeta mnakata na kurudisha umeme mara nne ndani ya dk 1, mnataka mtuunguzie kila kitu?

    Mnakata na kurudisha umeme ovyo oyvo namna hii, si mzime kabisa tujue moja? Mvua yenyewe iko wapi kwa kutufanyia michezo hii? Yaani manyunyu haya ndio matukatia umeme namna hii? Ingekuwa mvua kubwa iliyoambatana na radi si ndio tungepata na shoti nyumba zikawaka moto? Mnapata na kisingizio...
  11. Tabora umeme unakatika sana, kuna mgao wa umeme?

    Wakuu habari za muda huu, kwanza poleni sana na majukumu binafsi sio mwandishi mzuri saana lakini ntajitahidi kafli niwezavyo kuwakilisha ujumbe huu. Wiki iliyopita nilikua mkoani Tabora kuna mitikasi fulani nilikua nafanya ili mkono uende kinywani, wakati nimefika tu siku ya kwanza nimeamka...
  12. T

    Mgao wa umeme unaoendelea unasababishwa na nini?

    Inasikitisha sana kuona bado kuna mgao wa umeme wakati tumeambiwa maintenance imekamilika na mvua zimeshajaza mabwawa, sasa huu mgao unaoendelea unasababishwa na nini?
  13. Waliofilisiwa biashara zao kwa mgao wa umeme 2022 watafidiwa na nani?

    Mwaka 2022 unaelekea kufikia mwisho ni mwaka ambao watanzania wengi wamefilisika na biashara zao nyingi zimekufa na kupoteza wateja hasa zile biashara zilizokuwa zinategemea nishati ya umeme chini ya uongozi wa Waziri Januari Makamba(MNEC). Watu wa biashara za saluni za kike na za kiume...
  14. Mgawo wa umeme ulivyowaachia umasikini watanzania 2022

    12 Septemba 2021 ni siku ambayo Tanzania iliingia kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi baada ya kuteuliwa Januari Makamba(MNEC) kuwa Waziri wa Nishati. Mwaka 2022 unaelekea kufikia mwisho ni mwaka ambao watanzania wengi wa hali ya chini wamefilisika na wengine biashara zao nyingi zimekufa na...
  15. Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande asema pamoja na kukamilika kwa mradi wa Bwawa la Nyerere, watanzania tutegemee migao zaidi!

    Nilishangazwa Sana na kauli aliyoitoa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande, eti pamoja na mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere, kukaribia kukamilika, watanzania tutegemee mgao zaidi wa Umeme, Kwa kuwa mahitaji ya Umeme wa nchi hii ni Megawatt 60,000😎 Maneno hayo aliyatoa katika mjadala...
  16. Mgawo wa umeme na maji na tozo mbalimbali zimeamua matokeo ya NEC

    Nimetafakari kwa kina matokeo ya NEC nikaona umeme, maji na tozo ndio sababu kuu zilizotuletea matokeo hayo. Nawashukuru wajumbe kwa matokeo mazuri sana! Wahusika wajitafakari kwa mstakabali wa maisha yao ya kisiasa ndani na nje ya chama! Mungu ibariki Tanzania nchi yetu.
  17. Ni aibu kwa chama tawala chenye asili ya ukombozi kuwa na Wazee kama Yusuph Makamba ambao hawana huruma juu raia wanaoteswa na tozo na mgao wa umeme

    CCM ni chama kikubwa hapa Africa na dunia nzima. Bahati nimezunguka mahala pengi hapa duniani. Ulikiwa ukienda Botswana, Zimbabwe au hata South Afriaca ulikuwa ukikutana na raia wa huko lazima wakuukize juu ya CCM ya akina Hashim Mbita (RIP) maana kilikuww ni chama kilichojaa utu na nia thabiti...
  18. Asikwambie mtu, Mgao wa umeme wamiliki wa viwanda wanaisoma Namba

    Hivi ndivyo ninavyoweza kusema kwa ufupi, hali ni mbaya sana kwa wamiliki wa viwanda Tanzania tangu kuondoka kwa uncle mambo yamebadilika sana. inawezekana baadhi ya wawekezaji walifurahia kuondoka huyu mwamba ila wakati wanaopitia kwa sasa mungu mwenyewe anajua. iko ivi viwandani huwa...
  19. Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

    Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na maji mchini, amshambulia vikali mwandishi, asema "Kuwa na shukrani".
  20. B

    TANESCO: Mvua zikiendelea kunyesha katika mabwawa, changamoto ya upungufu wa umeme itapungua

    Changamoto za Upungufu wa umeme Kupatiwa Ufumbuzi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Bw. Maharage Chande akizungumza na waandishi wa habari leo December 2, 2022 kuhusu hatua za muda mfupi na muda mrefu kumaliza upungufu wa umeme . Mkurugenzi ameongeza kuwa mvua zinazonyesha muda huu nchini bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…