Taarifa ya Msigwa ni kwamba TANESCO wanazalisha megawat 1,609. Matumizi yetu ni megawat 1,273. Hivyo tuna ziada ya megawati 336.
Tunaambiwa kuwa ukame umesababisha kupungua megawati 280!
Hii ina maana umeme uliopungua kutokana na unaotajwa kuwa ni ukame, haumalizi hata ile ziada ya umeme...