Jana TANESCO wametoa taarifa kuwa kuna upungufu wa Megawati 300 kutokana na ukame na matengenezo yanayoendelea
Sasa nikawaza kama tunazalisha jumla ya Megawati 1600 basi kukitokea upungufu wa Megawati 300 ni umeme mdogo sana ukilinganisha na uzalishaji wetu,
So inakuwaje upungufu wa megawati...
Watanzania tunaotumia mtandao huu wa Jamiiforums, tutoe maoni yetu ni nani anapaswa kulaumiwa kati ya CCM iliyokaa madarakani kwa miaka 62 sasa au ni mabadiliko ya tabia ya nchi.
Karibuni kwa maoni mlioa tayari kushiriki.
Tulionya umeme wa maji sio wa uhakika kwa sababu mvua hazitabiriki siku hizi kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani.
Umeme wa uhakika ungekuwa ule wa gesi kule kusini.
Lakini watu wakatia pamba masikioni na kutekelekeza mradi wa gesi uliokuwa umegharimu mabilioni tayari.
Hayo...
Jana wamekata saa 1 asubuhi. Umerudi usiku saa sita. Saa hizi saa moja wamekata. Huu siyo mgao, ni kama tu hakuna umeme. Nafikiri serikali imeshindwa kuzalisha na kusambaza umeme. Na hata hilo Stigla halitaleta unafuu wowote kama tu gesi tuliyokuwa na matumaini nayo ambavyo haikuleta unafuu...
Mgao wa umeme ni tatizo kubwa na linalogusa karibu kila mtu hivyo kisiasa ni jambo la hatari sana kwa CCM.
Sasa kuibuka kwa Dr. Bashiru na matamshi yake yanayoonekana kumlenga Bi. Mkubwa kipindi hiki cha mgao, lengo ni kuhamisha attention ya watu kutoka kwenye mgao wa umeme waanze kujadili...
Hapa tunaibiwa kiwaziwazi kabisa.
Yaani mkuu wa wizara anayehusika na umeme anatamka wazi kuwa tuna ziada ya Mw 1400.
Halafu ghafla naibu wake anadai kuna upungufu!
Halafu mgao unatamalamaki nchi nzima.
Tuandamane kupinga huu wizi. Tuandamane watanzania.
Imagine leo hii kila mtu ana TV na king'amuzi nyumbani, lakini tunalazimika wote kwenda kurundikana bar za vichochoroni zenye jenereta ili kuangalia mechi ya ufunguzi..!! Kwenye mitandao ya kijamii watu wanaulizana ni bar gani kuna jenereta watu wawahi siti.
Tanesco Arusha, je sasa ni rasmi mgao wa umeme?
Mbona hamjatangaza?
Ndugu wanaJF, ni takriban wiki 3 sasa Tanesco Arusha wanakata umeme kila siku kuanzia saa 3 asubuhi na unarudi jioni sana.
Maeneo mengi yanaathirika na kadhia hii hasa Meru na Arumeru kwa ujumla.
Na maeneo kadhaa ndani ya...
Huduma ni pamoja na kujua kuzichanga karata!
Cha msingi lengo ni huduma bora!
Dakitali mzuri ni yule anaepambana OP room halafu akitoka inje anarudi na jibu la kueleweka kwamba mgonjwa kafa au kapona!
Lakini dakitali anaetoka O.P room kila muda kuongea na ndugu kwamba mgonjwa kapiga chafya...
Habari wadau
Ninajiuliza why chuo kikuu chenye wasomi wengi.. cream of the nation kinashindwa kutatua tatizo la maji hata kwa matumizi yao tu ya chuo kikuu
Udsm wanategemea dawasco.. yaani dawasco wakikosa maji.. na chuo kikuu nacho kinateseka sawa sawa na mitaa yetu ambayo imejaa la 7b...
Kadri siku zinavyoenda mgao wa maji unazidi kuwa mkali, na kwa sehemu kubwa maji hayatoki kabisa zaidi ya wiki mbili na wengine mpaka tatu.
Bei ya maji tunayouziwa mtaani inatisha, kwa jinsi gharama za maisha zilivyopanda tutafika kweli? Dumu moja la lita 20 linauzwa 1,000 mpaka 2,000, lita...
Walianza kwa kusema kutakuwa na mgao wa maji na wakatoa ratiba lakini maeneo mengi ambayo nina ndugu jamaa na marafiki hapa Dar sasa ni zaidi ya wiki mbili hakuna maji.
Ni vyema sasa serikali isitishe kulipa mishahara kwa wafanyakazi wa Dawasa kwasababu huwa wanalipwa kwa kutoa huduma ambayo...
Kuna watu wanahisi huu mgao labda ni kitu cha muda mfupi, yani labda by December mambo yatakuwa shwari.
Hii imenikumbusha ile scene ya movie ya Rango ambapo Rango anakutanishwa na Mayor wa kijiji cha Dirt kwa mara ya kwanza.
Kijiji cha Dirt kimekuwa kina shida ya ukame na watu hawana maji kwa...
Kasema Tanzania kuna Ziwa Nyasa, Tanganyika, Ziwa Victoria lakini tunadai kuna upungufu wa maji na kuna mgao Dar na Mwanza. Eti Jangwa la Kalahari huko Botswana maji yapo hakuna mgao.
Anasema Tanzania hakuna Viongozi wenye maono sababu wananunua Magari ya Bil 500 wakati Dar Bil. 200 inamaliza...
Waziri wa maji majuzi mlitoa ratiba ya mgao wa maji. Ratiba yetu ilikuwa leo tupate.
Kulikoni mpaka muda huu hapaeleweki na ulijifanya kusisitiza kuwa mgao utekelezwe as planned?
Punguzeni janja janja mbele ya camera na uwongo, watanzania siyo wajinga siku hizi.
Kujiuzulu pia ni option.. Kama...
Ikiwa ni Wiki ya Pili sasa mgao ukiendelea kimya kimya, hatimaye DAWASA yatoa ratiba ya Mgawo wa Maji.
Nanukuu kiongozi wa Mkoa: "Naomba niwaambie wananchi kuwa mgawo haupekuki kutokana na ukame ambao tayari TMA ilishatangaza kuwepo kwa hali hii muda mrefu kulikosababishwa na kunyesha kwa mvua...
Mamlaka ya Huduma za Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) imetoa agizo la kusitisha biashara ya usambazaji wa maji ya visima katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es salaam ndani ya siku thelathini (30) kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa kwa wahusika.
Agizo...
Wananchi wajipange na kununua majenereta.
Wasio na uwezo wa majenereta wanunue taa za kandiri na koroboi.
Wenye pesa za uhakika wanunue Solar power.
This is too much.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.