Alikuwa kijana baro baro mwenye harakati nyingi Sana,akijulikana kama Walter Miller, enzi za ujana wake alikuwa mkorofi Sana huku akijiingiza katika makundi ya uhalifu, alikuwa mporaji WA vitu mbali mbali na kufurahia Maisha ya kuwa na pesa,anasema kitendo cha kuwa na pesa kilimfurahisa Sana...