miaka 75

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mzee wa miaka 75 auwa kwa mapanga kwenye kikao cha familia

    Mzee Thomas Filipi Silayo (75), mkazi wa Kijiji cha Mbomai Juu, Tarakea wilayani Rombo, amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa mapanga wakati wa kikao cha kifamilia kilichokuwa kikijadili mgogoro wa ardhi kati yake na ndugu zake. Tukio hilo lilitokea Mei 8, 2026 katika Kijiji cha Wama, Kata...
  2. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Wastani wa kuishi uwe Miaka 75 yenye afya na furaha

    Waziri Kitila Mkumbo amesema kuwa ifikapo 2050, Mtanzania atakuwa anaishi wastani wa miaka 75 kwa afya na furaha, ikilinganishwa na miaka 68 ya sasa. Aidha, amesema watoto wa kike na wa kiume wanapata malezi sawa, huku angalau asilimia 90 wakiwa katika hatua sahihi za ukuaji, ikiwa ni juhudi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…