Mbali na dhambi kadha wa kadha zinazozalishwa baada ya mtu kuingia katika mfumo huu jambo kubwa na baya zaidi kwa mtu huyu ni kwamba mfumo utamdai UMASKINI in long term hata kama atafanikiwa kubutua hata bilioni 1+ bado mfumo utamdai awe MASKINI
Kama sio uchumi kuporomoka basi atabaki na pesa...
Matukio mengi yametokea mwaka huu 2024, Je kwa upande wako ni matukio gani unadhani ni makubwa na kwa namna moja ama nyingine yameacha alama au kumbukumbu fulani kwako?
Habari zenu Wana Jamvi, hope ni wazima. Ebana, hatimaye katika harakati za hapa na pale, baada ya kuona washkaji stori zinazoongelewa ni za masuala ya kubeti, ikabidi na mimi niwaombe wanielekeze kutokana na kwamba nina ujuzi wa kutosha wa masuala ya soka.
Basi msela mmoja aka-download app moja...
Miaka minne kasoro ya Uongozi wa serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais wetu mpendwa Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekuwa na mafanikio makubwa sana katika sekta ya michezo, sekta ambayo imebeba matumaini makubwa ya vijana waliojiajiri kupitia vipaji mbalimbali walivyonavyo.
Si tu katika michezo...
Habari za muda huu wadau .
Moja kwa moja kwenye mada ipo hivi mimi ni baba wa familia mwenye mke na mtoto mmoja .
Nimekuwa nikiacha matumizi hapa nyumbani sasa ajabu kila siku ninaacha matumizi hapa nyumbani nakuta mboga za ajabuajabu.
Nikaanza uchunguzi wangu taratibu katika fukunyuafukunyua...
Wale wazee wa simba waliitisha press na waandishi wa habari baada ya kichapo na kutoa siku 7 kuombwa radhi vinginevyo wangefanya jambo but mpaka sasa ishapita miezi karibu mitatu tunajiuliza waliishia wapi?
Tunalisema hili mapema maana zile kelele ziko njiani Tena kurudi kwa namna mambo...
Katika siku nyingine, siku ya Jumapili ya tarehe 22/12/2024 timu ya Young Africans almarufu wananchi watakuwa dimbani KMC complex kuzitafuta alama tatu dhidi ya Tanzania prisons almarufu kama wajela jela.
Timu ya Young Africans inajitafuta kurudi kwenye makali yake baada ya kupata vipigo...
Hii imekaaje,CEO Mrwanda aliyeletwa na Simba amekula shavu katika serikali ya Rais Kagame ameteuliwa kuwa katibu waziri wa michezo.
Ikumbukwe hakupata vibali vya kazi tangu Simba imlete,naona serikali hapa iliona mbali.
Fujo Uwanja wa Benjamin Mkapa: Aibu kwa Taifa na Tishio kwa Mafanikio ya Michezo
Leo, Desemba 15, 2024, mashabiki wa CS SFAXIEN ya Tunisia walifanya vitendo vya fujo na uharibifu mkubwa kwenye Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Temeke, Dar es Salaam, wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho la...
Bei: TZS 33,111.39 (Original: TZS 57,089.89, punguzo la 42%)
Bonyeza na Nunua
Sifa kuu:
Muundo wa 2-in-1: Suruali za nje za kukimbia na suruali za ndani za compression kwa msaada wa ziada.
Kupumua na Kaukaji Haraka: Huzuia joto na inakaukaji haraka baada ya kuingia maji, hivyo inafaa kwa...
Kumeibuka wimbi la michezo ya kamali katika vyombo vya habri hapa Tz mfano BUTUA PESA (REDIO FREE & KISS FM) MCHONGO PESA (CLOUDS MEDIA GROUP) CHEZA PESA (BONGO FM) katika vyombo hivyo vya habri watangazaji wamekuwa.
wakisisitiza wasikilizaji wait wacheze pesa na watashinda lakini kinacho...
Naheshimu sana mamlaka za uteuzi wake
Naheshimu taalumu, wasifu na uwezo wa Professor Paramagamba Kabudi ila nadhani huku hapamfai
Natoa tu maoni na mtazamo wangu wala neno langu sio sheria
Waziri Paramagamba Kabudi ana umri wa miaka 68, na wizara anayokuja kutumikia inashirikisha vijana yaani...
Na Zurima Ramadhan, Zanzibar.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma amesema kuandaliwa kwa mpango mkakati pamoja na muongozo wa ulinzi katika michezo utasaidia kuimarisha ulinzi na usalama katika Sekta ya michezo na kuboresaha mazingira wezeshi ya michezo kwa...
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Urusi Mhe. Mikhail Degtyarev na kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kwenye sekta ya michezo baina ya nchi hizo.
Viongozi hao wamekutana Desemba 3, 2024 katika ofisi za...
Kuna michezo mingi ya muhimu ambayo inastahili kuwekewa LIVE updates, michezo ya FIFA, AFCON, UEFA Champions Leaague, CAF Champions League, Ligi kuu bara, nk. Hii michezo mingine inayohusisha timu zisizojulikana na zisizokuwa na michango yoyote katika maendeleo ya soka Tanzania ni vyema ziwe...
UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA WAFIKIA 11%
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amesema anaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 ambao hadi sasa umefikia 11% za ujenzi.
Msigwa...
Kuna wanawake wamejiingiza kwenye vikoba, michezo, upatu ambao umewafanya wawe ni watumwa wa
Maisha.
Imefikia hatua mpaka wanaume anapotaka kumsaidia mtu anambiwa unamapaje mtu hela hiyo mimi nadaiwa kikoba
Mtu anayecheza michezo sawa na mtu anabet kila pesa huiwazia kamari tu akaizalishe😀🙌🏿...
Ndugu wana Jamiiforums
Kwanza nianze kwa kuipongeza timu yetu ya taifa (Taifa Stars) kwa kufuzu kushiriki fainali za kombe la Mataifa ya Africa zitakazofanyika nchini Morocco. Ni hatua nzuri na ya kujivunia kuona soka la Tanzania linazidi kukua na kuonesha mwanga mwema wa mafanikio. Pia ni...
BALOZI wa Ujerumani Nchini Tanzania, Thomas Terstegen anatarajia kushuhudia michezo jumuishi itakayoshirikisha vijana zaidi ya 45, michezo itakayofanyika Novemba 25, 2024 kwenye Viwanja vya Filbert Bay, Kibaha Mkoani Pwani.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Mkurugenzi wa Special Olympics...