Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amefunga mashindano ya mpira wa miguu ya KNK CUP 2024 yaliyotanguliwa na Bonanza la michezo mbalimbali ambapo amempongeza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Dotto Biteko Kwa kuendelea kuunga mkono kwa kasi jitihada za Mhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan...
Habari zenu wakuu. Natumaini mko salama humu jukwaani. Bila kupoteza muda, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Jana nilikutana na mjadala mtandaoni kuhusu uzinduzi wa kadi mpya za mwendokasi, ambapo sasa bila kadi hii huwezi kufanya safari kwenye usafiri wa mwendokasi. Hii imenifikirisha...
Tanzania, kama taifa, kuamini kwamba tunawapenda watoto wetu, tunazidanganya nafasi zetu, ukweli hatuwapendi.
Kuna matukio mengi yenye kuthibitisha kuwa hatuwapendi watoto wetu, ama viongozi wa taifa hili hawawapendi watoto wa wanaowaongoza maana wao wa kuwazaa hawapitii mapito ya wale wanao...
DAHA ILE SEHEMU ILIKUWA KAMA GAZAA
YAAN USITEMBEE RIVERSIDE KUIONQA UBUNGO WANAUME HAOOO WAMEKUPITIA NA SIMU
WAKIKUKOSA SIMAMA KWENYE KARATA USHANGAE MIUJIZA WANAKUPITIA
DAH..YAAN ILE SEHEMU NILIHESHIMU JAMAA MMOJA ALIIBIWA JAMAA AKAENDA PALE KWA .......KURIPOTI
AKAITWA JAMAA MMOJA AKAHOJIWA...
Nawasalimu,
Wote mmesikia kuwa tuliwakilishwa na wachezaji kadhaa kwenye Olympic huko Paris France.
Hakika hatukufanya vizuri na hawakurudi na medali hata moja.
Nimejaribj kufuatilia nchi za wenzetu majirani hususani Kenya wenzetu wana training ground inaitwa Kasarani kama sijakosea. Hii...
Tume ya Kamari ni chombo cha udhibiti kinachowajibika kwa kusimamia shughuli za kamari na kuhakikisha kuwa zinafanywa kwa haki na salama. Kuhusu wachezaji, majukumu yake muhimu ni pamoja na:
Kuhakikisha Haki na Uaminifu: Tume inahakikisha kwamba waendeshaji wa kamari wanakidhi viwango...
Serikali inatumia mpira wa migumu na sekta ya burudani kupitia bongo fleva,kulaza fikra za watu,chunguza ushiriki wetu Olimpiki,uhamasishaji Ili kupata washiriki wenye viwango, unapeleka washiriki Saba kwenye nchi yenye takribani watu 60m?
Angalia kiongozi wa nchi anavyohangaika na Yanga na...
Michezo ya mwaka 2024 ya Olimpiki imefungwa wiki iliyopita huko Paris, Ufaransa. Tovuti ya maoni ya kisiasa ya Australia “Lulu na Misisimko” hivi majuzi imetoa makala ya uchambuzi ikisema wakati wa Michezo hiyo, Marekani ilitoa madai yasiyo na ukweli dhidi ya China katika suala la matumizi ya...
Wakuu nimeona hii youtube.Binafsi nimeumia sana.
“washiriki wa Tanzania wameendelea kurudisha ukame nyumbani kwa zaidi ya miaka 50 bila midali ya dhahabu.”
Ni huzunini kwa kweli.
https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/sports/tanzania-at-the-olympics-50-years-of-missed-opportunities-4722068...
Katika Kiswahili sanifu, "utabiri" na "ubashiri" ni maneno mawili ambayo yana maana zinazokaribiana, lakini kuna tofauti ndogo katika muktadha wa matumizi yao, hasa linapokuja suala la michezo ya mpira wa miguu.
1. Utabiri:
- Maana: Utabiri unahusisha kutumia data, takwimu, na uchambuzi wa...
Kutokana na ushabiki wa Mchezo wa Mpira kukua kwa kasi ni muhimu sana wakumbuke pia kufanya mikoani ili kuwapa raha mashabiki.
Ningeshauri hata matamasha hayo yakafanyika kikanda na kuwa na mpangilio mzuri na wa Kisomi.
Kama inashindikana basi kabla ya Tamasha kubwa yatangulie matamasha madogo...
Julai 26, 2024:
Bendera ya Olimpiki ilipandishwa ikiwa imegeuzwa, huku baadhi ya vituo vya televisheni vikionyesha bendera hiyo kwa mbali.
Julai 27, 2024:
Wanariadha wa Korea Kusini walitambulishwa kama raia wa Korea Kaskazini, na kupelea waandaaji kuomba radhi kwa lugha ya Kikorea kwenye...
Ndugu zangu wanaJamiiForum
Nakusalimuni huko huko mlipo.
Nijikite kwenye hoja
Hii wizara ya Utamaduni na michezo sijui inatuchukuliaje watanzania.
Nimesikitishwa sanaa na hawa wawakikishi wa taifa letu kwenye michezo ya Olympic hakuna hata msimu mmoja uliowai kuwa salama kwa taifa letu.
Kila...
Huwa naona michezo ya mpira wa miguu ya timu za wanawake na ngumi inayohusisha wanawake kama haina mvuto mkubwa sana kwa watu wengi.
Hili suala lisichukuliwe kama ni ubaguzi wa kijinsia kwa sababu hata wengi wa wanawake wenyewe wanavutiwa zaidi na timu za mpira wa kiume kuliko timu zao.
Mimi...
Wakuu,
Tumeendelea kuweka taarifa kama tunavyozipokea, kama mlivyoona zoezi la kupiga kura limesimama kwa muda mpaka wakati huu naweka uzi huu hapa kutokana na karatasi za kupigia kura kupelea, ambako imebidi zikachapishwe nyingine ili zoezi liendelee.
Sasa wakati hili linafanyika ukurasa wa...
Huyo binti pichani Angela Carimi kutoka Italy aliangua kilio mapema leo baada ya kula kichapo kitakatifu kwenye ndondi ya wanawake huko nchini Ufaransa kwenye ile michezo ya olimpiki.
Wakati wa round ya pili alionekana kuweza kumudu mpinzani wake Imane Khelif ambaye anadai kuwa ni mwanamke...
C-spire kampuni ya mawasiliano ya Marekani imejitoa kuadvertise michezo ya Olympic inayofanywa huko Ufaransa.
Sababu wameitaja kwenye akaunti yao ya X kuwa ni kebehi iliyoonyeshwa na mashoga kuhusu "last supper" wakati wa ufunguzi wa michezo hiyo jijini Paris.
Kufuatia tukio hilo kwa aibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.