Salaam waungwana,
Kumekuwa na kasumba ya baadhi ya wenye mamlaka kuingilia michezo mbalimbali.
Sote tutakubaliana tangu 2015 tunayo aina ya viongozi ambao katika kila jambo wanaelekeza sifa na shukrani kwa raiya namba moja.
Juzi wakati nasikiliza michezo waziri aliyepo kwenye hii wizara...