Nataka nikuhakikishie Mrisho Ngassa, mchezaji mwenye kipaji aliyeishia kuwa lofa kuwa Feitoto hakuna wa kumrushia majini.
Feitoto kule kwao ndiko waliko hao majini, ushindi wa timu zetu unategemea sana wataalamu kutoka hukoooooo.
Mayele ni mgeni wa mambo hayo lakini sio feitoto, kama...
Hello heshima kwenu ndugu zangu!
Mimi ni kijana Mtanzania mpenda michezo, na katika kujihusisha sana na michezo, Mungu amenijalia kujipata kwa kuja na aina mbili za michezo.
Mchezo wa kwanza utakuwa ukijulikana kama FENCEBALL au Mpira wa uzio. Na mchezo wa pili utajulikana kama REMAVOLLY...
Baada ya majaribio kadhaa kushindwa kuingiza satelite kwenye orbit,leo Iran imefanikiwa kurusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio.
Mafanikio hayo yamekuja siku chache baada ya taifa la Saudi Arabia kutangaza kufungua duka kubwa la kisasa la kuuzia ulevi.
Iran successfully launches 3...
“Wakati tunaendelea na mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast nikamuuliza kwanini mmemuacha Pacome akaniuliza Pacome ndiyo nani? Nikamjibu ni Mchezaji wa Yanga na ni nyota wa Ligi Kuu”
Mheshimiwa Damas Ndumbaro, Waziri wa Michezo akieleza moja ya mahojiano yake aliyoyafanya na Waziri...
Na kuna mahala nimemuona Mtetemaji wa Kihistoria kamuomba Mwalimu amuanzishe ili amalize Kazi mapema kwani anamjua vyema Aishi na Beno.
Kazi ipo leo nyie Jidanganyeni tu Ok?
Moja ya agenda za ajabu ambazo sizielewi katika taifa hili ni kuamini katika mchezo wa soka kama njia pekee ya kututambulisha kimataifa.
Hii agenda imekwisha shindwa mara nyingi hakuna maajabu yoyote yatapatikana katika mchezo wa soka katika nchi yetu.
Tubadili fikra zetu na kuamua kuuweka...
kabla ya Taifa Stars kucheza na morocco leo katika michuano ya AFCON huko nchini ivory coast waandishi wa habari za michezo wa Tanzania walituaminisha kuwa morocco atafungwa tu huku wakiwapa sifa kem kem za uwongo na kweli wachezaji wa Taifa Stars na kuna wapuuzi na majuha waliwaamini
Cha...
Mwaka huu kumekuwepo na mjadala wa uraia pacha ila ilipokuja issue ya AFCON kuna baadhi wa wachezaji hata haifahamiki wametoka!!.
POINT: Kuna mchezaji anacheza team ya daraja la tano huko uingereza kuja kucheza kombe kubwa la mataifa ya Afrika.
Soma mwenyewe hapo 👇🏾
Inasikitisha kuleta humu lakin naona imekuwa kama mchezo unaojiriudia.
Ndugu zangu wa tigo haya mnayotufanyia hayapendezi.
Binafsi n mteja wenu wa siku nyingi miaka mingi. Hiki ndicho kinaendelea kuntokea mara ya nne leo.
Ninaponujua vifurushi vya internet mnaaniandikia kifurushi chako...
Viwanja vya kuandaa Afcon 2027 vimefikia hatua gani Arusha na Dodoma? Au bado vipo kwenye upembuzi yakinifu?
Zanzibar inaenda kasi sana kusema miradi yote inategemea pato lake ni ngumu kuamini, yote kwa yote pongezi kwao kwa Amani Sports Complex
Ukitaka habari zako za michezo ziuze hapa Tanzania, andika au toa habari za kuisifia au kuitukuza Yanga.
Hakuna mashabiki wanaonunua habari za michezo hapa Tanzania kuliko mashabiki wa Yanga.
Kwa hili mashabiki wa Yanga mheshimiwe.
Habari wanajukwaa
Nimeangalia michezo ijayo ya Simba katika michezo 4 jayo kwenye ligi. Aiseeee 😁😁
Niseme tu kwa hii Fixture Simba itapata ushindi mmoja na itasare michezo 2 na itapoteza mchezo moja. Sitaki kuwambia kwanini nimetabiri hivyo ila subirini.
Na ikifanya mzaha huenda ikapata...
Aliwahi kusema Ndugu. Haruna Rashid Juma Kahena almaaruf kama Inspekta Haroun kwenye wimbo Ngangari kwamba
" KULONDA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ambayo ni maneno ya kizaramo yanayo maanisha " KUTAKA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE"
( KIZARAMO : Kulonda = kutaka).
Hapo Inspekta alikuwa...
Hapo vipi!
Ninachoamini waziri wa michezo anauwezo wa kuingiliia jambo ambalo halipo vizuri na linaonekana kuvuruga au kuharibu vilabu zetu kubwa hususani Club ya Simba na Yanga.
Tukumbuke michezo hususani mpira wa miguu inauwezo wa kuitangaza nchi huko Duniani na watu wengi ulimwenguni...
Saa nyingine utawasikia wakisema kwenye kipindi chao cha usiku wa manane "leo washindi 30 usiku huu watajishindia kila mmoja sh. milioni 5, bodaboda 1, TV screen ya nchi 40 na jezi pair 2 kwa kila mmoja". Hii ni baada ya kutoa ahadi kama hiihii kwenye vipindi vyao vingine kama vile vya sports...
Changamoto nyingi zilizoko katika Sanaa na Utamaduni utaanza kuzikabili lini?
Halafu Gerson Msigwa (Mkinga Wewe) kwanini unatumia Nguvu Kubwa sana kutaka Rais Samia aendelee Kukukubali hasa kwa Kujipendekeza na Kujikomba Kwake wakati wenye Akili tunajua kuwa amekuweka hapo Wizarani kama Katibu...
Najua GENTAMYCINE ni Mwamba ila popote alipo ajue kuwa nami MINOCYCLINE sasa nimekuja rasmi Kuupindua Ufalme wake hapa Jamiiforums kwa kuja na Taarifa za Ndani, Uchambuzi na Kulichangamsha Jukwaa na naamini mpaka atoke BAN yake atakuta Mimi sasa ndiyo Natamba hapa na hata Tuzo ya mwaka huu...
Tanzania wanyama tunaoishi nao wanateseka sana kwakweli, ni kama vile waliumbwa na shetani wakati tumeumbwa nao na Muumba wetu alietupa mamlaka tumsaidie kuwatunza, Watanzania tunasali sana na kuomba dua ila ya nini hivi vyote kama hatupo tayari kuukubali uumbaji wa viumbe vingine vilivyoumbwa...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Wizara anayoiongoza itaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa Kituo Cha Michezo katika Chuo Cha Maendeleo ya Michezo Malya mkoani Mwanza kama ilivyopanga.
Dkt. Ndumbaro amesema hayo Novemba 6, 2023 Bungeni Jijini Dodoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.