“Wakati tunaendelea na mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast nikamuuliza kwanini mmemuacha Pacome akaniuliza Pacome ndiyo nani? Nikamjibu ni Mchezaji wa Yanga na ni nyota wa Ligi Kuu”
Mheshimiwa Damas Ndumbaro, Waziri wa Michezo akieleza moja ya mahojiano yake aliyoyafanya na Waziri...